Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
- Thread starter
-
- #181
Alaah sawa sawa shekhe sasa nani alimsikia na kumwona huyo Mungu wenu akishusha hayo maneno?Tunaposema ilishuka ni maneno ndio Qur an sio kitabu yaani yale maneno alikuwa anaambiwa mtume , sio kitabu kwamba kilishuka 😀 😀
Qur an ni yale maneno sio makaratasi .
Zina ukweli haswa sasa mtu anakwambia Uislam ulikuwepo kabla ya Mohammad Bin Abdula Mwaka 600 CE na anakomaa kabisa na ukimpa elimu hataki unataka tumsaidiaje?Umekutana na waislam wangapi mkuu ? Umewahoji wangapi ?
Maana hata ukisema umewahoji 1000 bado idadi ni ndogo mno waislam ni wengi xx cjui takwim zako kama zina ukweli
Vipj kuhusu mwandamo mbona mnatofautiana?wakiristo
Kuna wanaoswali Jumamosi - wasabato
Jumapili - Wakatoliki
Juma tatu - Kanisa la Yohova.
waislam wao siku 1 ni ijumaa.
sasa nani kachanganyakiwa?
Sawa, Nadhani nimeeleza vyema maana halisi ya uislamu. Hizo Frequency zako ni juu yako na kichwa chako mwenyewe.Wewe unajua nini ambacho sisi hatukijui?
Yaani wewe na huyo bibi yako Ajuza ndio kusema mnaujua sana uislamu kuliko mimi kwani huo Uislam mlitoka nao Sayari Kepra 154 huko 1000 light years kiasi kwamba ni mgeni kwa wenyeji kama mimi?
Ulichosoma nimekisoma tena zaidi hata yako na sasa nafikiria nje ya box yaani ubongo wangu Ni HmZ 5000 frequency endeleeni kujifungia kwenye shimo la tewa mtajua hamjui!
😁😁
Ndio ulitakiwa ukae usome kwanza, nenda kagoogle kwanza malaika gani alikuwa anampa ujumbe mtume kutoka kwa Mungu , kama ulivyo .Alaah sawa sawa shekhe sasa nani alimsikia na kumwona huyo Mungu wenu akishusha hayo maneno?
Hilo tukio lilitokea wapi na wangapi walishuhudia?
👇🏾Siyo kweli.
Ahaa sasa nakubali kumbe hata Yesu Kristo alichokua anakisema ni Mungu kasema na kaagiza ikiwa na maana ni Mungu mwenyewe anasema sasa kuna haja gani ya nyie kuwapinga waliotangulia kupewa maneno kabla yenu yaani christian?Ndio ulitakiwa ukae usome kwanza, nenda kagoogle kwanza malaika gani alikuwa anampa ujumbe mtume kutoka kwa Mungu , kama ulivyo .
sasa ule ujumbe ndio Qur an
Unachotakiwa kujua Kuna stages za Compilation of QuranMpaka Mtume Muhammad anaondoka hapakuwa na kitabu kinachoitwa Quran.
Muhammad mwenyewe hajui Qur'an ípoje na unasura ngapi Kwa sababu hakuiandika na Wakati inaandikwa hakuwepo
Hakuna dini isiyo na chawa.
Wakristo NI Chawa wa Yesu.
Waislam NI Chawa wa Muhammad
Angalau kidôgo Wayahudi
Yesu hakuwa Mungu , ila alikuwa akifanya ibada kama njia ya kuwasiliana na Mungu , kwani ni wapi waislamu wameikataa injili soma vitabu vinne vya Mungu injili ipo .Ahaa sasa nakubali kumbe hata Yesu Kristo alichokua anakisema ni Mungu kasema na kaagiza ikiwa na maana ni Mungu mwenyewe anasema sasa kuna haja gani ya nyie kuwapinga waliotangulia kupewa maneno kabla yenu yaani christian?
Yesu mwenyewe hajwahi kuwepoWatu wako bize Yesu sio Mungu, Yesu sio Mwana wa Mungu.
Wako bize kusoma na kuipinga biblia
Yale ya kwao, wala hawana haja ya kuyajua!
Wagaga ndio nani mkuuNyie mkikosa majawabu ya matatizo yenu mnakimbilia kwa wagaga kisirisri
Hadharani mnasema mungu hayuko
Yesu hakua Mungu kivipi wakati kiumbe chochote huangaliwa Asili yake aliyobeba?Yesu hakuwa Mungu , ila alikuwa akifanya ibada kama njia ya kuwasiliana na Mungu , kwani ni wapi waislamu wameikataa injili soma vitabu vinne vya Mungu injili ipo .
Unachobisha wala hakipo maana hakuna sehemu kuna tatizo ....
Waliwasili seat za mbele kabisa weeeee hili balaa lake kudadadadadadeki!
Tuacheni na uislamu wetu
Kweli mkuu fikiria kwa mbali hizi dini zimeletwa kukutawala kifikra tu hakuna kweli yoyote wakristo wanasema w wanasema Yesu hana baba na waislam wanaamini hivyoWe shetani acha uongo.
Unaweza ukanieleza sababu ya hao watunzi kujaza mambo mengi kwenye hivyo vitabu hata ambayo hata waumini wa zama hizo hawakuweza kuyaelewa vizuri? Kulikuwa na ulazima gani kufanya hivyo?Kabisa jamaa ni magenious sana ukisikiliza stori za bible au Quran unajua kabisa walikuwa watu wanaelewa udhaifu wa binadam nao wakaenda kule kule
Jiulize zaman mbona kama malaika walikuwa wanaonekana live lkn nowdays hawaonekan Mungu wa zaman alikuwa mkali sana ukifanya kosa anakuadhibu hapo hapo mfano wa sodoma lkn now days hakuna
Mimi nawakubali watunzi wa bible na Quran magenous wale kwa vilaza na ukiwa na D 2 huchomoki kwao kwa watu wenye uelewa mkubwa dini hazina umuhim sana sana zinachochea vurugu
Itakuwa vizuri ukitupatia na ushahidi ndugu mtanzania.Wako vizuri kiroho pia,wanaweza tengeneza jini la kumdhuru mtu.
Kama unaujua uislam ni nini maana ya Kashfi?Wewe unajua nini ambacho sisi hatukijui?
Yaani wewe na huyo bibi yako Ajuza ndio kusema mnaujua sana uislamu kuliko mimi kwani huo Uislam mlitoka nao Sayari Kepra 154 huko 1000 light years kiasi kwamba ni mgeni kwa wenyeji kama mimi?
Ulichosoma nimekisoma tena zaidi hata yako na sasa nafikiria nje ya box yaani ubongo wangu Ni HmZ 5000 frequency endeleeni kujifungia kwenye shimo la tewa mtajua hamjui!
😁😁
Sasa kufuata dini ya wakoloni na kufuata dini kisa tu ni ya mababu zako(asili) tofauti yake ni nini hapo?K
hizi Dini zote zilizokuja kwa njia ya ukoloni sio dini zetu sisi wakoloni walijitahidi sana kuficha na kutupotosha kuacha dini zetu za asili na kufata zao..
Sasa hivi kwasababu zilikua ni mbinu za ukoloni wao wameziacha sisi ndio tumebaki kuzishikilia na kusahahau kwamba kabla ya karne ya 18 africa tulikua na tamaduni zetu na maisha … ila tumekuwa brain washed na kufata ya wakoloni …
Ndio maana Mungu alitujalia kila kitu ila mpaka sasa hatujaweza kujisimamia wenyewe … tunatawaliwa…