Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Tunaposema ilishuka ni maneno ndio Qur an sio kitabu yaani yale maneno alikuwa anaambiwa mtume , sio kitabu kwamba kilishuka 😀 😀

Qur an ni yale maneno sio makaratasi .
Alaah sawa sawa shekhe sasa nani alimsikia na kumwona huyo Mungu wenu akishusha hayo maneno?

Hilo tukio lilitokea wapi na wangapi walishuhudia?
 
Umekutana na waislam wangapi mkuu ? Umewahoji wangapi ?
Maana hata ukisema umewahoji 1000 bado idadi ni ndogo mno waislam ni wengi xx cjui takwim zako kama zina ukweli
Zina ukweli haswa sasa mtu anakwambia Uislam ulikuwepo kabla ya Mohammad Bin Abdula Mwaka 600 CE na anakomaa kabisa na ukimpa elimu hataki unataka tumsaidiaje?
 
wakiristo
Kuna wanaoswali Jumamosi - wasabato
Jumapili - Wakatoliki
Juma tatu - Kanisa la Yohova.
waislam wao siku 1 ni ijumaa.
sasa nani kachanganyakiwa?
Vipj kuhusu mwandamo mbona mnatofautiana?
 
Wewe unajua nini ambacho sisi hatukijui?
Yaani wewe na huyo bibi yako Ajuza ndio kusema mnaujua sana uislamu kuliko mimi kwani huo Uislam mlitoka nao Sayari Kepra 154 huko 1000 light years kiasi kwamba ni mgeni kwa wenyeji kama mimi?
Ulichosoma nimekisoma tena zaidi hata yako na sasa nafikiria nje ya box yaani ubongo wangu Ni HmZ 5000 frequency endeleeni kujifungia kwenye shimo la tewa mtajua hamjui!
😁😁
Sawa, Nadhani nimeeleza vyema maana halisi ya uislamu. Hizo Frequency zako ni juu yako na kichwa chako mwenyewe.
 
Ndio ulitakiwa ukae usome kwanza, nenda kagoogle kwanza malaika gani alikuwa anampa ujumbe mtume kutoka kwa Mungu , kama ulivyo .

sasa ule ujumbe ndio Qur an
Ahaa sasa nakubali kumbe hata Yesu Kristo alichokua anakisema ni Mungu kasema na kaagiza ikiwa na maana ni Mungu mwenyewe anasema sasa kuna haja gani ya nyie kuwapinga waliotangulia kupewa maneno kabla yenu yaani christian?
 
Mpaka Mtume Muhammad anaondoka hapakuwa na kitabu kinachoitwa Quran.
Muhammad mwenyewe hajui Qur'an ípoje na unasura ngapi Kwa sababu hakuiandika na Wakati inaandikwa hakuwepo

Hakuna dini isiyo na chawa.
Wakristo NI Chawa wa Yesu.
Waislam NI Chawa wa Muhammad

Angalau kidôgo Wayahudi
Unachotakiwa kujua Kuna stages za Compilation of Quran
1 ilikuwa ikiandikwa kwenye Magome ya miti 2 Ngozi za wanyama 3 Karatasi
mara ya kwanza kabisa ilikuwa ikihifadhiwa kifuani lakn baadae ikaonekana kuwa wale waliohifadhi Quran Wanakufa ikahofiwa isijeikapotea ndio ikawa inaandikwa Kwa stage hizo mpaka kuja kuwa compiled ktk Single book kwaiyo sio kweli hivyo usemavyo
 
Ahaa sasa nakubali kumbe hata Yesu Kristo alichokua anakisema ni Mungu kasema na kaagiza ikiwa na maana ni Mungu mwenyewe anasema sasa kuna haja gani ya nyie kuwapinga waliotangulia kupewa maneno kabla yenu yaani christian?
Yesu hakuwa Mungu , ila alikuwa akifanya ibada kama njia ya kuwasiliana na Mungu , kwani ni wapi waislamu wameikataa injili soma vitabu vinne vya Mungu injili ipo .

Unachobisha wala hakipo maana hakuna sehemu kuna tatizo ....
 
Yesu hakua Mungu kivipi wakati kiumbe chochote huangaliwa Asili yake aliyobeba?
Katika Maandiko yenu Baba wa Nabii Issa Bin Maryam ni nani?
 
Kabisa jamaa ni magenious sana ukisikiliza stori za bible au Quran unajua kabisa walikuwa watu wanaelewa udhaifu wa binadam nao wakaenda kule kule
Jiulize zaman mbona kama malaika walikuwa wanaonekana live lkn nowdays hawaonekan Mungu wa zaman alikuwa mkali sana ukifanya kosa anakuadhibu hapo hapo mfano wa sodoma lkn now days hakuna
Mimi nawakubali watunzi wa bible na Quran magenous wale kwa vilaza na ukiwa na D 2 huchomoki kwao kwa watu wenye uelewa mkubwa dini hazina umuhim sana sana zinachochea vurugu
Unaweza ukanieleza sababu ya hao watunzi kujaza mambo mengi kwenye hivyo vitabu hata ambayo hata waumini wa zama hizo hawakuweza kuyaelewa vizuri? Kulikuwa na ulazima gani kufanya hivyo?
 
Wewe unajua nini ambacho sisi hatukijui?
Yaani wewe na huyo bibi yako Ajuza ndio kusema mnaujua sana uislamu kuliko mimi kwani huo Uislam mlitoka nao Sayari Kepra 154 huko 1000 light years kiasi kwamba ni mgeni kwa wenyeji kama mimi?
Ulichosoma nimekisoma tena zaidi hata yako na sasa nafikiria nje ya box yaani ubongo wangu Ni HmZ 5000 frequency endeleeni kujifungia kwenye shimo la tewa mtajua hamjui!
😁😁
Kama unaujua uislam ni nini maana ya Kashfi?
 
K

hizi Dini zote zilizokuja kwa njia ya ukoloni sio dini zetu sisi wakoloni walijitahidi sana kuficha na kutupotosha kuacha dini zetu za asili na kufata zao..
Sasa hivi kwasababu zilikua ni mbinu za ukoloni wao wameziacha sisi ndio tumebaki kuzishikilia na kusahahau kwamba kabla ya karne ya 18 africa tulikua na tamaduni zetu na maisha … ila tumekuwa brain washed na kufata ya wakoloni …

Ndio maana Mungu alitujalia kila kitu ila mpaka sasa hatujaweza kujisimamia wenyewe … tunatawaliwa…
Sasa kufuata dini ya wakoloni na kufuata dini kisa tu ni ya mababu zako(asili) tofauti yake ni nini hapo?

Binafsi sioni tofauti au ndio utaniambia kwamba mababu walikuwa wanaomba mvua na zikawa zinanyesha?
 
Back
Top Bottom