Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Sijaona mifano kutokana na hoja zako, zaidi ya kuanza kujitetea unayosema.
Wewe elezea jinsi history ya uislam ilivyo na tupatie reference umesoma wapi???
 
Anko wa Bi Ayesha yule Warraka bin nani vileee aliyekua padre!
😁😁
Kumbe wewe ndio haujui bali unekuja kupotosha watu. Kuwa mkristo ndio fact ya historia ya uislam haijulikani.
Kwa taarifa yako ukisoma vizuri historia ya uislam mambo mengi yaneelezwa. Ebu nielekeze mtaalam wewe umesoma kitabu kipi ambacho kimekupatia ufahamu wa kujiona na wewe ni mchambuzi wa maswala la kiroho
 
Sifa kubwa ya uislamu ni uongo,leo makundi ya kiislamu yanashambulia wakristo makanisani na kwenye maeneo yao wewe unasema kuna viwanja maalumu nonsense.
 
Sifa kubwa ya uislamu ni uongo,leo makundi ya kiislamu yanashambulia wakristo makanisani na kwenye maeneo yao wewe unasema kuna viwanja maalumu nonsense.
Naona umekuja kweny point nyingine πŸ˜€ πŸ˜€ hii ndio point yako , uliona wapi Mtume alipigana vita kweny makazi ya watu wakati kila vita inaonyesha sehemu walipigana .

Ndio maana nakuambia wewe ndio hujui ila waislamu wanajua , Vita ya live kama vita ya kwanza , mauaji ya kimbali haya wamepigana wagalatia live ila husemi .......Kama ingekuwa uislamu u nahusika basi ungeshapotea wengi wanajua ukweli zaidi na zaidi .
 
Sio najiona ni kitu halisia ninacho nilianzia kusoma Sumerian tablet and Code of gods Annunak,
Kemet code mpaka kufikia New Testament the code of Yashua Amasiach Nazarene (Jesus Christ of Nazareth)
Ikawa hitimisho la kua Spiritual enlightenment kwa kiwango cha juu!
Hivyo naongea kwa experience na kujiamini najua nachokisema sijasimuliwa nakifanya kwa mfano!
 
Waislamu wanajua mpaka mwaka mpya wao , unataka kufananisha na vichaa wengine
Kuna wasiojua mwaka mpya wao?. Uislam sio dini ni political movement. Hoja ya Quaran kushushwa ni hoja isiokuwa na ushahidi kama ilivyo kupaa kwa Mohamed.
 
Sijaona mifano kutokana na hoja zako, zaidi ya kuanza kujitetea unayosema.
Wewe elezea jinsi history ya uislam ilivyo na tupatie reference umesoma wapi???
Nimesoma secret documents za Roman empire,
Zilizobebwa na
Napoleon Bonaparte alipo mteka Papa Pius VI,
Ambazo zinaonesha Roman empire under Catholic Church ndio founder wa Islam Religion under secret agent Nestorian Monk Bahira wa Bosra
Ndio waliompa Mohammad Bin Abdula Mutalib utume kwa manufaa yao!

Hili unalifahamu?
 
Waislam wetu si ndio wale wa Kibiti na Tanga? Wengine ndio hawa waganga wavuta majini na waganga. Waislam wengi wazuri ni wale liberals, hawa wengine wa swala tano ni changamoto.
 
TANGU NIINGIE HAPA DUNIANI MTU WA KWANZA KABISA MPUMBAVU BAADA YA IBILISI NAKUWEKA WEWE

UMEJAAA UPEPO TU. Naomba ujiite MJINGA MARA 300
 
HAKUNA KAFIRI MWENYE ELIMU KATIKA HII DUNIA

UZURI KWA SASA DINI YA KIISLAM INAELEWEKA HADI KWA WASIO WA ISLAM

HAKUNA KAFIRI MWENYE ELIMU KATIKA HII DUNIA

UZURI KWA SASA DINI YA KIISLAM INAELEWEKA HADI KWA WASIO WA ISLAM
Hahaha Kafir! Kafir!
Nani anaulewa Uislam nje ya muslims?
Toa magwanda hapa!
😁😁
 
Kuna wasiojua mwaka mpya wao?. Uislam sio dini ni political movement. Hoja ya Quaran kushushwa ni hoja isiokuwa na ushahidi kama ilivyo kupaa kwa Mohamed.
Pale unajua imeshushwa kweny makaratsi ndio tatizo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Qur an ni ule ujumbe ndio maana mnapata tabu kuchoka kile kitabu.
 
Pale unajua imeshushwa kweny makaratsi ndio tatizo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Qur an ni ule ujumbe ndio maana mnapata tabu kuchoka kile kitabu.
Ule ni uongo kama ilivyouongo mwingine. Quran imecopy baadhi ya vitu kwenye Bible, vingine wakabadili details zake wakachanganya na taratibu za Kiarabu, tayari Quran ikakamilika.
 
Ule ni uongo kama ilivyouongo mwingine. Quran imecopy baadhi ya vitu kwenye Bible, vingine wakabadili details zake wakachanganya na taratibu za Kiarabu, tayari Quran ikakamilika.
Ukiweka mifano itapendeza zaidi ili wengine nao tujifunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…