Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
- Thread starter
- #241
Mtoto wa Anko wa Bi Khadija yule Waraqah Bin Nawfal yulee aliyekua padre na agent wa Roman!Mapepo ndiyo nini we punguani!?..anko wake yupi alikua mkiristo!?
😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa Anko wa Bi Khadija yule Waraqah Bin Nawfal yulee aliyekua padre na agent wa Roman!Mapepo ndiyo nini we punguani!?..anko wake yupi alikua mkiristo!?
Sijaona mifano kutokana na hoja zako, zaidi ya kuanza kujitetea unayosema.Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.
Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,
Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.
Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.
Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)
Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,
Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!
Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!
Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!
Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger
#La gizani!
😁😁
Vyovyote uonavyo mkuu usitegemee kila kitu utaungwa mkono Ili uwe strong challenge lazima itakuja tu!Thread za kutafuta ugomvi hizi
Kumbe wewe ndio haujui bali unekuja kupotosha watu. Kuwa mkristo ndio fact ya historia ya uislam haijulikani.Anko wa Bi Ayesha yule Warraka bin nani vileee aliyekua padre!
😁😁
Ndiyo nini hicho?Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,
Sifa kubwa ya uislamu ni uongo,leo makundi ya kiislamu yanashambulia wakristo makanisani na kwenye maeneo yao wewe unasema kuna viwanja maalumu nonsense.Uislamu ulikuwepo kabla ya hapo kama ungesambaa kwa jihad usingefika hata nusu ya Africa , story za kina othamn don fodia ni uongo kama stori za binadamu wa kwanza kuwa nyani .
Pia wengi mnadanganywa kama jihad ni vita ya kusambaza uislamu , ila jihad ni pana sana ikiwa na maana ya kujitolea ....Jihad ilikuwa waislamu kujilinda na kushambulia sio wao walianzisha jihad walipewa maelezo ya kujilinda .
Jihad haikupiganiwa kweny makazi ya watu , palikuwa na viwanja vya vita mbali na mkazi ya watu ....Nje ya hapo hakuna jihad ni uongo
Ndiyo nini hhic
Hahaha tufanye Ancient Bibie upo active!Ndiyo nini hicho?
Naona umekuja kweny point nyingine 😀 😀 hii ndio point yako , uliona wapi Mtume alipigana vita kweny makazi ya watu wakati kila vita inaonyesha sehemu walipigana .Sifa kubwa ya uislamu ni uongo,leo makundi ya kiislamu yanashambulia wakristo makanisani na kwenye maeneo yao wewe unasema kuna viwanja maalumu nonsense.
Sio najiona ni kitu halisia ninacho nilianzia kusoma Sumerian tablet and Code of gods Annunak,Kumbe wewe ndio haujui bali unekuja kupotosha watu. Kuwa mkristo ndio fact ya historia ya uislam haijulikani.
Kwa taarifa yako ukisoma vizuri historia ya uislam mambo mengi yaneelezwa. Ebu nielekeze mtaalam wewe umesoma kitabu kipi ambacho kimekupatia ufahamu wa kujiona na wewe ni mchambuzi wa maswala la kiroho
Kuna wasiojua mwaka mpya wao?. Uislam sio dini ni political movement. Hoja ya Quaran kushushwa ni hoja isiokuwa na ushahidi kama ilivyo kupaa kwa Mohamed.Waislamu wanajua mpaka mwaka mpya wao , unataka kufananisha na vichaa wengine
Nimesoma secret documents za Roman empire,Sijaona mifano kutokana na hoja zako, zaidi ya kuanza kujitetea unayosema.
Wewe elezea jinsi history ya uislam ilivyo na tupatie reference umesoma wapi???
Waislam wetu si ndio wale wa Kibiti na Tanga? Wengine ndio hawa waganga wavuta majini na waganga. Waislam wengi wazuri ni wale liberals, hawa wengine wa swala tano ni changamoto.Hizi ni propoganda za kimangaribi … zimeshakuingia …
Hakuna muislam anaemriwa kufanya hivyo..
Hizo video na matukio yanayofadhiliwa na mataifa ya magharibi yasikuchanganye ukajua ni uislamu..
Acha kuangalia mbaali angalia waislamu waliokuzunguka hapo je wanachinjana!?
Usiamini kila unachokiona kwenye mtandao mengine ni unalishwa na kuwa brain washed … ili uwe upande walioukusudia…
Maji ya zamzam yanauzwa eti?Wew na wenzako ndio wenye upeo mliokaa bechi la mbele mkisubiria kununua chupa ya maji ya lita moja ya kampun flan kwa gharama kubwa kwa kuamini ni maji baraka
HAKUNA KAFIRI MWENYE ELIMU KATIKA HII DUNIA
UZURI KWA SASA DINI YA KIISLAM INAELEWEKA HADI KWA WASIO WA ISLAM
Hahaha Kafir! Kafir!HAKUNA KAFIRI MWENYE ELIMU KATIKA HII DUNIA
UZURI KWA SASA DINI YA KIISLAM INAELEWEKA HADI KWA WASIO WA ISLAM
Pale unajua imeshushwa kweny makaratsi ndio tatizo 😀 😀 😀 Qur an ni ule ujumbe ndio maana mnapata tabu kuchoka kile kitabu.Kuna wasiojua mwaka mpya wao?. Uislam sio dini ni political movement. Hoja ya Quaran kushushwa ni hoja isiokuwa na ushahidi kama ilivyo kupaa kwa Mohamed.
Ule ni uongo kama ilivyouongo mwingine. Quran imecopy baadhi ya vitu kwenye Bible, vingine wakabadili details zake wakachanganya na taratibu za Kiarabu, tayari Quran ikakamilika.Pale unajua imeshushwa kweny makaratsi ndio tatizo 😀 😀 😀 Qur an ni ule ujumbe ndio maana mnapata tabu kuchoka kile kitabu.
Ukiweka mifano itapendeza zaidi ili wengine nao tujifunze.Ule ni uongo kama ilivyouongo mwingine. Quran imecopy baadhi ya vitu kwenye Bible, vingine wakabadili details zake wakachanganya na taratibu za Kiarabu, tayari Quran ikakamilika.