Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Fika visiwani utapingana na kipengele chako cha mwisho. Binadamu kiasi kikubwa tunaigiza kuishi kidini lakini deep inside unaujua ukweli.
Hapo kisiwani wakati wanajitawala wenyewe walikuwa na Uchumi kama Ulaya na maisha bora. Si hapo Tu majority ya Nchi za kiisilamu zinazojiongoza bara hili zina Uchumi mzuri zaidi.
 
Sisi hatuamini huu ujinga,ww unaamini Quran imeandikwa na Mungu??
 
😁😁😁afadhali sasa unafiki umeanza kukutoka.ni dalili njema.
Nafikria hamna unachojua , kaangalie vitabu vilivyolewa kweny bible kwanza....Hujui Qur an ni ipi na hadithi ni zipi ndio tatizo πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hapo kisiwani wakati wanajitawala wenyewe walikuwa na Uchumi kama Ulaya na maisha bora. Si hapo Tu majority ya Nchi za kiisilamu zinazojiongoza bara hili zina Uchumi mzuri zaidi.
Usinasibishe swala hilo la uchumi bora na uislam utayumba.
Waliondelea wapongezwe kwa kufanya kazi kwa bidii sio dini zao,wachina hawana uislam lakini hao hapo.
 
Nafikria hamna unachojua , kaangalie vitabu vilivyolewa kweny bible kwanza....Hujui Qur an ni ipi na hadithi ni zipi ndio tatizo πŸ˜€ πŸ˜€
Kaka bible ni kubwa sana kwenu wacha tuendelee na Quran kwanzaπŸ˜†πŸ˜†,hata hadith zipo sahihi,labda utaamua wewe kwa hisia zako kuzikataa sababu hazina maana kichwani kwako😁😁
 
Poleni sana Kwa kudanganywa.

Mungu hakuweka Duniani Ili upoteze muda kuwaza kifo lasivyo asingekuumba uishi. Hakuna binadamu amekuja Duniani bahati mbaya, Kila mmoja wetu Mungu ana kusudi nae ndio maana Leo upo hapa.

Mungu asema,
‭Yer 1:5 SUV‬
[5] Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

‭Yohane 10:10 BHN‬
[10] Mwizi huja kwa shabaha ya kuiba, kuua na kuharibu. Mimi nimekuja mpate kuwa na uhai – uhai kamili.
(Quran yenu inakiri Yesu anauwezo wa kumpa mtu/ndege uhai)

Kama.huo uwezo anao, na ulionekana Kwa kumfufua Lazaro na yule Binti aliekua amekufa unadhani Nini kingwweza kumzuia yeye kuishi Tena. Uhai hauwezi angamizwa. Yesu ndie uhai na anakuita na wewe.

‭Mt 11:28 SUV‬
[28] Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

‭Yn 14:6 SUV‬
[6] Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Imeandikwa na binadamu waliotumiwa na Mungu, Kuna mitume, Kuna wengine walikua watu wa kawaida pia waliona makuu ya Mungu na kumsifia na kumuelezea kupitia zaburi. Kuna waliotembea na Mungu kama Musa aliandika vitabu vutano, Mungu alimwambia Cha kuandika na aliwafundishwa waisrael kile alichoambiwa.

Alafu Quran unasema ilishushwa, kasome vizuri. Mtume wenu alieingia pangoni akasema amedanganywa na mashetani lakini aliekua oembeni akadai ni malaika Gabriel. Nabii yoyote aliewahi kuja hakua peke yake, watu walithibitisha na Mungu mwenyewe alithibitisha kua ni nabii wake. Musa alikua na Aron (Kuhani), Elisha alikua na Elia na manabii wengine, Yesu alikua na Yohanna Mbatizaji aliendaa njia Kwa ajili yake, Huyo mtume alie oa Binti mdogo alikua na nani alithibitisha kua ni Mungu mkuu amemtuma?
 
Kumbe mnadanganyana sana,

Zaburi imeshishwa vipi wakati Yale ni maneno ambayo binadamu waliandika kumhusu Mungu. Aliandika mfalme Daudi, Musa, Suleimani na watu wengi tu. Zile ni nyimbo mbali mbali watu walimuandikia Mungu na zilitumika kama nyimbo za sifa. Wewe unatupa porojo kua zilishushwa, zilishushwa juu ya Dari au wapi?
 
Mtafute mtu yoyote anaejua jua kiarabu hizo ni dialect tu hazibadili maana yoyote warsh ina extra Alif ambayo unaona hapo zote mbili ni Malik maana moja hakujabadilika maana, Nimewapa Mfano huko juu Mmakonde anasema Nchale sisi tunasema Mshale, vinaandikwa tofauti ila maana moja, mtu wa Mombasa macho anaita Mato hazibadili maana ila zinaandikwa tofauti. Dialect zote hizo zimesomwa toka kipindi cha mtume.
Usinasibishe swala hilo la uchumi bora na uislam utayumba.
Waliondelea wapongezwe kwa kufanya kazi kwa bidii sio dini zao,wachina hawana uislam lakini hao hapo.
Mali na Uchumi wa kiisilamu unaenda sambamba na welfare, nenda kote Duniani kuanzia nchi za mbali za Asia kama Malyasia, nenda Nchi za kiarabu njoo hadi Africa.

Hata hapa kwetu mikoa yenye waisilamu wengi utakuta welfare kubwa, watu hata wakiwa masikini ila wana uwezo wa ku afford basic necessities.
 
Kama waliandika binadamu toka Quran ishuke kama kitabu cha mwisho umeona wapi kitabu kingine chenye mfanano huo?

Tuna super computers, machine learning, Ai na tech kibao, ilikua ni rahisi kuproduce chengine ila so far hakuna binadamu mwenye uwezo huo na promise ya mwenyez Mungu hakuna anaweza kuvunja.
 
Mpaka hapo unathibitisha Quran sio neno kwa neno wala maana kwa maana,maana Allah akiwa mjuvi wa vyote amekuwezesheni kutumia lugha moja ilo kuepusha hayo,sasa hivi vitu vya Mfalme kuwa ndiye Mmiliki vinatoka wapi???
Somalia na sudan pia???
 
Kama waliandika binadamu toka Quran ishuke kama kitabu cha mwisho umeona wapi kitabu kingine chenye mfanano huo?
Mfanano wa nini??

Hivi hii dhana hawezi itumia torkien na vitabu vyake vya lord of the rings au harry potter???
Maana kila kitabu kina maudhui yake na upekee wake??Allah anapojinasibisha kutoa kitabu bora kabisa kisicho na mfano inabidi atueleze kwa vigezo gani maana hata ktk vitabu vilivyotolewa nakara nyingi zaidi ni cha 3 duniani,imepitwa hata na kitabu cha kichina.
Tuna super computers, machine learning, Ai na tech kibao, ilikua ni rahisi kuproduce chengine ila so far hakuna binadamu mwenye uwezo huo na promise ya mwenyez Mungu hakuna anaweza kuvunja.
😁😁😁kwamba Quran nyingine,ili muikatae hiyo siyo Quran maana haifanani na hii iliyopo,ikifanana mseme ameiga kashindwa kutoa kama hiiπŸ˜†πŸ˜†.

Logic za kiislam ni balaa.
 
Pole sana kwa kupoteza nguvu zako bure kutaka kuelimisha watu wasioelimika. Ni kweli kuwa Waislam wengi hawajuwi ukweli kuhusu dini yao, wao wamekaririshwa tu vitu na kumeza basi na wameridhika. Siku zote mtu asiyejuwa vitu anakuwa mbishi mno hata umuelezee vipi atabisha na hata kujiua anaweza ili iradi tu kabisha na akifa akitetea dini yake anajuwa anakwenda mbinguni kula raha huku akioshwa pumbu na kula gegedo muda wowote autakao toka kwa hao majini (mabikra) 72 alioahidiwa. Just think about it - eti unajiua kisha unapewa majini 72 huko mbinguni uendako kwa ushajaa upi yaani? Vitu vingine hivi, basi tu.😑
 
Mpaka hapo unathibitisha Quran sio neno kwa neno wala maana kwa maana,maana Allah akiwa mjuvi wa vyote amekuwezesheni kutumia lugha moja ilo kuepusha hayo,sasa hivi vitu vya Mfalme kuwa ndiye Mmiliki vinatoka wapi???
Maliki yaummi din kiswahili chake ni mmiliki wa siku ya Malipo, Malik lina maana nyingi ikiwemo hio Mfalme na maana nyengine, alicho fanya huyo jamaa yako alieweka hio mistari ni kutafuta neno lenye maana nyingi akalipigia mstari. Then kila ukurasa akalitafsiri tofauti. Hakuna conflict yoyote hapo.
Somalia na sudan pia???
Zote ni Nchi ambazo zina vita, Hapo Somalia wamekuja Wamagharibi wamepaharibu wamekimbia, ila wa Somali tu nawajua wanaendesha Uchumi wa Kenya, 1/3 ya Nairobi ni wao, same kwa Tanzania Wasomali wapo on par with Wahindi na waarabu Biashara zao ni kubwa kuliko wazawa.
 
Ni jambo la hovyo sana kusingizia watu wengine kwa ugomvi ambao wewe binafsi bado unauona ni wa maana kuendele nao.

Nchi nyingi sana zenye waislam wengi zenye machafuko anasingiziwa magharibi,ipi faida ya uislam kati yao??kama uislam una mchango ktk wao kufanikiwa nairobi,warudi wakatengeneze kwao wapainue kwao.
Ndio kwanza wanaanza makelele na kenya kuhusu mipaka.
 
Ni challenge ya mwenyezi Mungu ipo kwenye Quran kama Quran sio neno la mwenyezi Mungu basi tengenezeni Quran nyengine kama hio, ama hata sura ama hata kama Aya tu, mpaka leo challenge zimesimama miaka 1400 sasa.
 
Kesho nikija kwako nikakuua halafu nikachukua Mali zako na kumuacha mwanao yatima na ufukara bila hata nguo mimi nitakua sina lawama na mwanao ndio wa kulaumiwa?

Mentality hizo zenu ndio sababu kuu ya Bara hili kuwa masikini
 
ile picha niliyokutumia ni hii hapa.
Hayo maneno ni mawili tofauti ktk vitabu vivili matoleo tofauti.

Sijui kama ulielewa toka mwanza.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…