Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
kwani nan amekuambia wanatumia vitabu tofauti ?Kwa kutumia akili hizi hizi,dini gani inatumia vitabu tofauti???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani nan amekuambia wanatumia vitabu tofauti ?Kwa kutumia akili hizi hizi,dini gani inatumia vitabu tofauti???
Hapo kisiwani wakati wanajitawala wenyewe walikuwa na Uchumi kama Ulaya na maisha bora. Si hapo Tu majority ya Nchi za kiisilamu zinazojiongoza bara hili zina Uchumi mzuri zaidi.Fika visiwani utapingana na kipengele chako cha mwisho. Binadamu kiasi kikubwa tunaigiza kuishi kidini lakini deep inside unaujua ukweli.
Sisi hatuamini huu ujinga,ww unaamini Quran imeandikwa na Mungu??So unakubali Biblia imeandikwa na binadamu?
QURAN, Injil, Taurat, Zabur na sahifa mbalimbali za mitume zilishushwa na Malaika Jibreel (Gabriel) kwa mitume husika, hazijaandikwa na Binadamu. Na kitu kuandikwa miaka mingi haimaanishi ni genuine bali vice versa is true.
😁😁😁afadhali sasa unafiki umeanza kukutoka.ni dalili njema.kwani nan amekuambia wanatumia vitabu tofauti ?
Nafikria hamna unachojua , kaangalie vitabu vilivyolewa kweny bible kwanza....Hujui Qur an ni ipi na hadithi ni zipi ndio tatizo 😀 😀😁😁😁afadhali sasa unafiki umeanza kukutoka.ni dalili njema.
Usinasibishe swala hilo la uchumi bora na uislam utayumba.Hapo kisiwani wakati wanajitawala wenyewe walikuwa na Uchumi kama Ulaya na maisha bora. Si hapo Tu majority ya Nchi za kiisilamu zinazojiongoza bara hili zina Uchumi mzuri zaidi.
Kaka bible ni kubwa sana kwenu wacha tuendelee na Quran kwanza😆😆,hata hadith zipo sahihi,labda utaamua wewe kwa hisia zako kuzikataa sababu hazina maana kichwani kwako😁😁Nafikria hamna unachojua , kaangalie vitabu vilivyolewa kweny bible kwanza....Hujui Qur an ni ipi na hadithi ni zipi ndio tatizo 😀 😀
Poleni sana Kwa kudanganywa.Ndiyo msingi wa imani ya uislamu ulivyo! Juu ya wewe kukumbushwa kifo ni kufahamu ya kuwa duniani umekuja kutahiniwa. Hivyo matendo yako yafanye kwa uzuri. Kwa sababu mwisho wa siku sote marejeo yetu ni kwa Mungu. Ni kama nchi ilivyoweka sheria na misingi yake namna ya jamii iishi. Halikadhalika kwa Mungu ni vivyo hivyo! Na kama kwa nchi ukikiuka utahukumiwa nazo, kwa Mungu navyo ni vivyo hivyo! Sasa yampaasa binadamu aishi vyema kabla hajarejea kwa Muumba wake. Kwa msingi huo ndiyo maana tunakumbishwa kifo
Imeandikwa na binadamu waliotumiwa na Mungu, Kuna mitume, Kuna wengine walikua watu wa kawaida pia waliona makuu ya Mungu na kumsifia na kumuelezea kupitia zaburi. Kuna waliotembea na Mungu kama Musa aliandika vitabu vutano, Mungu alimwambia Cha kuandika na aliwafundishwa waisrael kile alichoambiwa.So unakubali Biblia imeandikwa na binadamu?
QURAN, Injil, Taurat, Zabur na sahifa mbalimbali za mitume zilishushwa na Malaika Jibreel (Gabriel) kwa mitume husika, hazijaandikwa na Binadamu. Na kitu kuandikwa miaka mingi haimaanishi ni genuine bali vice versa is true.
Kumbe mnadanganyana sana,So unakubali Biblia imeandikwa na binadamu?
QURAN, Injil, Taurat, Zabur na sahifa mbalimbali za mitume zilishushwa na Malaika Jibreel (Gabriel) kwa mitume husika, hazijaandikwa na Binadamu. Na kitu kuandikwa miaka mingi haimaanishi ni genuine bali vice versa is true.
Mtafute mtu yoyote anaejua jua kiarabu hizo ni dialect tu hazibadili maana yoyote warsh ina extra Alif ambayo unaona hapo zote mbili ni Malik maana moja hakujabadilika maana, Nimewapa Mfano huko juu Mmakonde anasema Nchale sisi tunasema Mshale, vinaandikwa tofauti ila maana moja, mtu wa Mombasa macho anaita Mato hazibadili maana ila zinaandikwa tofauti. Dialect zote hizo zimesomwa toka kipindi cha mtume.Mkuu kwanza uache ubishi usio na msingi,watu siku hizi wanatafiti vitu,unless useme kwamba kwa faida ya mtume wako na imani yako umeamua kuubeba upuuzi hivyo hivyo.
Video hiyo ni kwa ajili ya elimu yako,kama umegoma kuitizama nimekusaidia jambo hapa chini,hii ni misaafu 2,mmoja wa harfs na warsh eneo moja,maneno 2 yenye maana tofauti.
Sijui kama unaweza kufafanua nini kimefanyika hapi zaidi ya kuendelea kukomaa na upuuzi.View attachment 3039391
Mali na Uchumi wa kiisilamu unaenda sambamba na welfare, nenda kote Duniani kuanzia nchi za mbali za Asia kama Malyasia, nenda Nchi za kiarabu njoo hadi Africa.Usinasibishe swala hilo la uchumi bora na uislam utayumba.
Waliondelea wapongezwe kwa kufanya kazi kwa bidii sio dini zao,wachina hawana uislam lakini hao hapo.
Kama waliandika binadamu toka Quran ishuke kama kitabu cha mwisho umeona wapi kitabu kingine chenye mfanano huo?Kumbe mnadanganyana sana,
Zaburi imeshishwa vipi wakati Yale ni maneno ambayo binadamu waliandika kumhusu Mungu. Aliandika mfalme Daudi, Musa, Suleimani na watu wengi tu. Zile ni nyimbo mbali mbali watu walimuandikia Mungu na zilitumika kama nyimbo za sifa. Wewe unatupa porojo kua zilishushwa, zilishushwa juu ya Dari au wapi?
Mpaka hapo unathibitisha Quran sio neno kwa neno wala maana kwa maana,maana Allah akiwa mjuvi wa vyote amekuwezesheni kutumia lugha moja ilo kuepusha hayo,sasa hivi vitu vya Mfalme kuwa ndiye Mmiliki vinatoka wapi???Mtafute mtu yoyote anaejua jua kiarabu hizo ni dialect tu hazibadili maana yoyote warsh ina extra Alif ambayo unaona hapo zote mbili ni Malik maana moja hakujabadilika maana, Nimewapa Mfano huko juu Mmakonde anasema Nchale sisi tunasema Mshale, vinaandikwa tofauti ila maana moja, mtu wa Mombasa macho anaita Mato hazibadili maana ila zinaandikwa tofauti. Dialect zote hizo zimesomwa toka kipindi cha mtume.
Somalia na sudan pia???Mali na Uchumi wa kiisilamu unaenda sambamba na welfare, nenda kote Duniani kuanzia nchi za mbali za Asia kama Malyasia, nenda Nchi za kiarabu njoo hadi Africa.
Hata hapa kwetu mikoa yenye waisilamu wengi utakuta welfare kubwa, watu hata wakiwa masikini ila wana uwezo wa ku afford basic necessities.
Mfanano wa nini??Kama waliandika binadamu toka Quran ishuke kama kitabu cha mwisho umeona wapi kitabu kingine chenye mfanano huo?
😁😁😁kwamba Quran nyingine,ili muikatae hiyo siyo Quran maana haifanani na hii iliyopo,ikifanana mseme ameiga kashindwa kutoa kama hii😆😆.Tuna super computers, machine learning, Ai na tech kibao, ilikua ni rahisi kuproduce chengine ila so far hakuna binadamu mwenye uwezo huo na promise ya mwenyez Mungu hakuna anaweza kuvunja.
Pole sana kwa kupoteza nguvu zako bure kutaka kuelimisha watu wasioelimika. Ni kweli kuwa Waislam wengi hawajuwi ukweli kuhusu dini yao, wao wamekaririshwa tu vitu na kumeza basi na wameridhika. Siku zote mtu asiyejuwa vitu anakuwa mbishi mno hata umuelezee vipi atabisha na hata kujiua anaweza ili iradi tu kabisha na akifa akitetea dini yake anajuwa anakwenda mbinguni kula raha huku akioshwa pumbu na kula gegedo muda wowote autakao toka kwa hao majini (mabikra) 72 alioahidiwa. Just think about it - eti unajiua kisha unapewa majini 72 huko mbinguni uendako kwa ushajaa upi yaani? Vitu vingine hivi, basi tu.😡Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.
Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Ancient civilization ila leo nagusia religious issues,
Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.
Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.
Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)
Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,
Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!
Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!
Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!
Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger
#La gizani!
😁😁
Maliki yaummi din kiswahili chake ni mmiliki wa siku ya Malipo, Malik lina maana nyingi ikiwemo hio Mfalme na maana nyengine, alicho fanya huyo jamaa yako alieweka hio mistari ni kutafuta neno lenye maana nyingi akalipigia mstari. Then kila ukurasa akalitafsiri tofauti. Hakuna conflict yoyote hapo.Mpaka hapo unathibitisha Quran sio neno kwa neno wala maana kwa maana,maana Allah akiwa mjuvi wa vyote amekuwezesheni kutumia lugha moja ilo kuepusha hayo,sasa hivi vitu vya Mfalme kuwa ndiye Mmiliki vinatoka wapi???
Zote ni Nchi ambazo zina vita, Hapo Somalia wamekuja Wamagharibi wamepaharibu wamekimbia, ila wa Somali tu nawajua wanaendesha Uchumi wa Kenya, 1/3 ya Nairobi ni wao, same kwa Tanzania Wasomali wapo on par with Wahindi na waarabu Biashara zao ni kubwa kuliko wazawa.Somalia na sudan pia???
Ni jambo la hovyo sana kusingizia watu wengine kwa ugomvi ambao wewe binafsi bado unauona ni wa maana kuendele nao.Zote ni Nchi ambazo zina vita, Hapo Somalia wamekuja Wamagharibi wamepaharibu wamekimbia, ila wa Somali tu nawajua wanaendesha Uchumi wa Kenya, 1/3 ya Nairobi ni wao, same kwa Tanzania Wasomali wapo on par with Wahindi na waarabu Biashara zao ni kubwa kuliko wazawa.
Ni challenge ya mwenyezi Mungu ipo kwenye Quran kama Quran sio neno la mwenyezi Mungu basi tengenezeni Quran nyengine kama hio, ama hata sura ama hata kama Aya tu, mpaka leo challenge zimesimama miaka 1400 sasa.Mfanano wa nini??
Hivi hii dhana hawezi itumia torkien na vitabu vyake vya lord of the rings au harry potter???
Maana kila kitabu kina maudhui yake na upekee wake??Allah anapojinasibisha kutoa kitabu bora kabisa kisicho na mfano inabidi atueleze kwa vigezo gani maana hata ktk vitabu vilivyotolewa nakara nyingi zaidi ni cha 3 duniani,imepitwa hata na kitabu cha kichina.
😁😁😁kwamba Quran nyingine,ili muikatae hiyo siyo Quran maana haifanani na hii iliyopo,ikifanana mseme ameiga kashindwa kutoa kama hii😆😆.
Logic za kiislam ni balaa.
Kesho nikija kwako nikakuua halafu nikachukua Mali zako na kumuacha mwanao yatima na ufukara bila hata nguo mimi nitakua sina lawama na mwanao ndio wa kulaumiwa?Ni jambo la hovyo sana kusingizia watu wengine kwa ugomvi ambao wewe binafsi bado unauona ni wa maana kuendele nao.
Nchi nyingi sana zenye waislam wengi zenye machafuko anasingiziwa magharibi,ipi faida ya uislam kati yao??kama uislam una mchango ktk wao kufanikiwa nairobi,warudi wakatengeneze kwao wapainue kwao.
Ndio kwanza wanaanza makelele na kenya kuhusu mipaka.
ile picha niliyokutumia ni hii hapa.Maliki yaummi din kiswahili chake ni mmiliki wa siku ya Malipo, Malik lina maana nyingi ikiwemo hio Mfalme na maana nyengine, alicho fanya huyo jamaa yako alieweka hio mistari ni kutafuta neno lenye maana nyingi akalipigia mstari. Then kila ukurasa akalitafsiri tofauti. Hakuna conflict yoyote hapo.
Zote ni Nchi ambazo zina vita, Hapo Somalia wamekuja Wamagharibi wamepaharibu wamekimbia, ila wa Somali tu nawajua wanaendesha Uchumi wa Kenya, 1/3 ya Nairobi ni wao, same kwa Tanzania Wasomali wapo on par with Wahindi na waarabu Biashara zao ni kubwa kuliko wazawa.