Emmado
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 225
- 276
Wale waleee .. ni magaidi kwasababu USA wamekuambia eeh!!Islam ina historia ya ugaidi gaidi tangu muarabu abuni hiyo dini miaka 500 baada Kristo.
Mpaka leo ni ugaidi kwa kwenda mbele.
je wao ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale waleee .. ni magaidi kwasababu USA wamekuambia eeh!!Islam ina historia ya ugaidi gaidi tangu muarabu abuni hiyo dini miaka 500 baada Kristo.
Mpaka leo ni ugaidi kwa kwenda mbele.
Sawa, unawalaumu waislamu kutokujua historia yao wakati na wewe hakuna unachojua kuhusu historia hiyoNachojua ni kwamba Roman empire founded Catholic church ndio hao hao founder wa Islam Religion don't ask me why and how!
Mwaka mpya hata wakirsto wa ethiopia, waisraeli, Ancient Babylonian and Syrians na wachina walikua nazo.Waislamu wanajua mpaka mwaka mpya wao , unataka kufananisha na vichaa wengine
Sawa magaidi wame leta utaratibu wa kuoga, kupiga mswaki, wakakuletea hesabu etc hio 254 kwenye username yako ni Asante Gaidi ama hujui.Islam ina historia ya ugaidi gaidi tangu muarabu abuni hiyo dini miaka 500 baada Kristo.
Mpaka leo ni ugaidi kwa kwenda mbele.
Waislamu mpaka leo tena wanajua sababu ya kwa nn ni mwaka ule , sasa niambie huu mwaka ulianzaje mpaka unasema dunia leo ni mwaka 2024 , ukijibu nakupa hela dogo !?Mwaka mpya hata wakirsto wa ethiopia, waisraeli, Ancient Babylonian and Syrians na wachina walikua nazo.
Quruani ziko version nyingi ndugu.haimaanishi OG haipo,
Naunga mkono hii mada,maislamu Yana upeo mdogo sana kwenye kuelewa mambo ya kirohoHaina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada,
Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,
Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao,
Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa,
Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)
Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,
Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!
Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!
Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!
Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger
#La gizani!
[emoji16][emoji16]
Hamna version ya Qur an ni moja tu , pia upangliaji wake una mahesabu ukibadili nukta basi inajulikana hii ndio calculation simple .Quruani ziko version nyingi ndugu.
Msahafu wa kwanza umekuwa compiled kwa maandishi wakati wa Outhman, sasa huyo mbuzi labda alikuwa wa marvel na power za Time travel.Vipi kuhusiana na sura zilizopotea, je zile ziko wapi??
Maana Aisha anasema zililiwa na Mbuzi sasa kwa hiyo ina maana kitabu hakijakamilika????
1. Unasema walikua wabishi mbinu zilizotumiwa kuwatawala ndio zilizotumika kuwabadisha .. amka wewe ..Kumbe wewe hujui ? Waaabu hakuleta dini ...Pia weka hili kweny akili watu wa zamani walikuwa wabishi kuliko kiazazi hichi sio rahisi kueneza tamaduni mpya ...Ukiachana na waliosoma elimu ya mzungu .
Kalete picha za watemi wote wa zamani then nikuonyeshe kitu ...Utajua hapo mwanzo Africa walikuwa wanafuata dini gani .
Version kwa maana ya dialect, sio mara ya kwanza kudiscuss hili jambo ila kila mkielimishwa mnalirudia. Quran ni ile ile haijabadilika, dialect hai badili maana bali hubadili tu namna ya kutamka maneno.Quruani ziko version nyingi ndugu.
Ndio maana nilijua akili yako ni ndogo tu , hakuna ushahidi kwamba dini zilienezwa tambua mila nyingi za kiafrica watu waliacha baada ya kuja wazungu , miaka ya 1900 bado .1. Unasema walikua wabishi mbinu zilizotumiwa kuwatawala ndio zilizotumika kuwabadisha .. amka wewe ..
2.Africa kulikua hakuna dini maalumu kama unavyodhani!?
Kila eneo lilikua lina fata tamaduni zao .. na wanaomba Mungu kwa kupitia hizo tamaduni..
Yakiroho yapi wewe!!Naunga mkono hii mada,maislamu Yana upeo mdogo sana kwenye kuelewa mambo ya kiroho
Ila wakristo wengi waliojaribu kuujua uislamu wameishiwa kuvutiwa nao embu cheki story ya huyu muigizaji wa nigeria amehamia jirani na msikiti hadi anataka kupeleka sadaka msikitini kwakuwa umebadilisha maisha yakeHaina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada,
Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,
Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao,
Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa,
Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)
Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,
Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!
Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!
Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!
Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger
#La gizani!
😁😁
Hizo siku zote alizuumba Mungu. Yeye ndie sabato Matayo 12:8wakiristo
Kuna wanaoswali Jumamosi - wasabato
Jumapili - Wakatoliki
Juma tatu - Kanisa la Yohova.
waislam wao siku 1 ni ijumaa.
sasa nani kachanganyakiwa?
YESU NDIE SABATO TULIEPEWA, Mathew 12:8. Yesu aliziumba siku ndie sabato, iwe jumatatu au jumatano zote ni siku zake. Kuabudu siku zote lakini Tenga siku ya kukutana n waumini wenzakowakiristo
Kuna wanaoswali Jumamosi - wasabato
Jumapili - Wakatoliki
Juma tatu - Kanisa la Yohova.
waislam wao siku 1 ni ijumaa.
sasa nani kachanganyakiwa?
Hadith njoo uongo njoo tamu koleawakiristo wakiambia na PAPA wote wanafata- Muislam anafata Quran na Hadithh