baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Mkuu Waarabu waliokuja East Africa ni wa Oman, uisilamu wao unaitwa Ibadhi, kwa Tanzania waisilamu ambao ni Ibadhi haifiki hata 0.1%.sawa uliingia afrika kabla ya ukoloni kwasababu ya wale waislam waliokimbia macca wasiuwawe na kuja afrika kujificha …
Je uislam umeletwa na nani East africa? Kama sio mkoloni..?
Ukifatilia hata ukristo pia ulikuja afrika kabla ya ukoloni…
But East africa ulitwa na ukoloni kama ilivyo uislam..
Waisilamu ambao wapo Tanzania asilimia kubwa ni Sunni, uisilamu ambao upo practiced worldwide.
Ukisoma Historia ya Tanzania wakati wa vita na wareno kabla ya Oman kuja kuwa piga wareno,waisilamu wa East Africa waliomba msaada Kwenye khilafa akatumwa kamanda kuwasaidia wakapigwa, huu ni ushahidi kwamba uisilamu ulikuwepo kabla ya Waarabu/wazungu kuja Pwani hii.
Hii Ramani ya Africa ikionesha connection ya East Africa na Mecca/Madina.
Mfalme Najash ambae alipokea waisilamu wakati wanauliwa Empire yake ya Aksum ilikuwa Eritrea/Ethiopia ya Leo,
Hii picha ya Msikiti wa Somalia ambao unaelekea Jerusalem, Kibla kilibadilishwa toka Jerusalem kwenda Mecca wakati bado mtume yupo hadi, Ushahidi kwamba kulikua na waisilamu ukanda wetu wakati mtume bado yupo Hai