Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Mwaka mpya hata wakirsto wa ethiopia, waisraeli, Ancient Babylonian and Syrians na wachina walikua nazo.
Waislamu mpaka leo tena wanajua sababu ya kwa nn ni mwaka ule , sasa niambie huu mwaka ulianzaje mpaka unasema dunia leo ni mwaka 2024 , ukijibu nakupa hela dogo !?

Wakati wanasema binadamunaliishi miaka million iliyopita
 
Naunga mkono hii mada,maislamu Yana upeo mdogo sana kwenye kuelewa mambo ya kiroho
 
Quruani ziko version nyingi ndugu.
Hamna version ya Qur an ni moja tu , pia upangliaji wake una mahesabu ukibadili nukta basi inajulikana hii ndio calculation simple .

Ilikatazwa kupelekwa lugha tofauti hapo awali haswa kweny makabila ya kiarabu , israel ili isipoteze maana . leo ukisoma basi unaweza kutafsir kweny lugha yake ila OG ni ya kiarabu
 
1. Unasema walikua wabishi mbinu zilizotumiwa kuwatawala ndio zilizotumika kuwabadisha .. amka wewe ..

2.Africa kulikua hakuna dini maalumu kama unavyodhani!?
Kila eneo lilikua lina fata tamaduni zao .. na wanaomba Mungu kwa kupitia hizo tamaduni..
 
Quruani ziko version nyingi ndugu.
Version kwa maana ya dialect, sio mara ya kwanza kudiscuss hili jambo ila kila mkielimishwa mnalirudia. Quran ni ile ile haijabadilika, dialect hai badili maana bali hubadili tu namna ya kutamka maneno.

Leo mmakonde akisema "ukisimama Nchale, ukikaa Nchale" haja badili maana ya neno Mshale bali dialect yake ya kiswahili anatamka Mshale kama Nchale.
 
1. Unasema walikua wabishi mbinu zilizotumiwa kuwatawala ndio zilizotumika kuwabadisha .. amka wewe ..

2.Africa kulikua hakuna dini maalumu kama unavyodhani!?
Kila eneo lilikua lina fata tamaduni zao .. na wanaomba Mungu kwa kupitia hizo tamaduni..
Ndio maana nilijua akili yako ni ndogo tu , hakuna ushahidi kwamba dini zilienezwa tambua mila nyingi za kiafrica watu waliacha baada ya kuja wazungu , miaka ya 1900 bado .

Pia tambua mwaka 1884 Africa ndio ilitawaliwa rasmi , ilikuwa sio rahisi kwa waarabu kusambaza dini kama unavyosoma inadaiwa walikuwa wanafanyabiashaa ya watumwa , sasa iweje waeneze dini wakati watu walikuwa wanawakimbia .

Dini ni mpango wa Mungu ndio maana ilifika Africa ...Hakuna hata mzungu anayeweza kukuambia dini ilifikaje Africa ..

kwa nn wewe ni mjinga , Wzungu wanajua dini chimbuko lake ni Misri , sasa niambie Misri ipo bara gani ?

Licha ya manabii kutokea Mashariki ya kati ila chimbuko la maarifa yote ya dini wazungu wanajua ni misri .
 
Naunga mkono hii mada,maislamu Yana upeo mdogo sana kwenye kuelewa mambo ya kiroho
Yakiroho yapi wewe!!
Tena kiukweli waislamu ndio wanaobudu kuliko wakristo na wanaimani kweli kweli…

1. Leo utaenda majumbani mwa watu unakuta picha wanasema ya yesu … kumbe ya actor wa hollywood …

Halafu jiulizeni neno Jesus limetoka wapi!? Na je ni jina kweli la masihi tunaemfikiria …
 
Ila wakristo wengi waliojaribu kuujua uislamu wameishiwa kuvutiwa nao embu cheki story ya huyu muigizaji wa nigeria amehamia jirani na msikiti hadi anataka kupeleka sadaka msikitini kwakuwa umebadilisha maisha yake
 

Attachments

  • Screenshot_20240709-142728_Facebook.jpg
    381.9 KB · Views: 2
wakiristo
Kuna wanaoswali Jumamosi - wasabato
Jumapili - Wakatoliki
Juma tatu - Kanisa la Yohova.
waislam wao siku 1 ni ijumaa.
sasa nani kachanganyakiwa?
Hizo siku zote alizuumba Mungu. Yeye ndie sabato Matayo 12:8
wakiristo
Kuna wanaoswali Jumamosi - wasabato
Jumapili - Wakatoliki
Juma tatu - Kanisa la Yohova.
waislam wao siku 1 ni ijumaa.
sasa nani kachanganyakiwa?
YESU NDIE SABATO TULIEPEWA, Mathew 12:8. Yesu aliziumba siku ndie sabato, iwe jumatatu au jumatano zote ni siku zake. Kuabudu siku zote lakini Tenga siku ya kukutana n waumini wenzako
 
Kama msomi ilitakiwa upunguze porojo then uje na hoja ambazo zinajieleza moja kwa moja na utafiti wako ambao umeufanya ilitakiwa uje na quotation,citation na referrence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…