ngoja ngoja
JF-Expert Member
- Jun 20, 2024
- 673
- 1,526
Ukiweza kujibu swali nililokuuliza tu utapata hoja yanguToa hoja sasa.
Au ndîo umeshatoa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiweza kujibu swali nililokuuliza tu utapata hoja yanguToa hoja sasa.
Au ndîo umeshatoa,
Surat Al-Baqara (Sura ya 2), Aya ya 269:(Mathayo 13:11)
Sasa mimi na Quran wapi na wapi?Surat Al-Baqara (Sura ya 2), Aya ya 269:
hiyo sura inaendana na hii kwenye Qur'an.
Nimekosea wewe tulia tukutane kule chat all badae😁Sasa mimi na Quran wapi na wapi?
Uje na story sio mikono mitupuNimekosea wewe tulia tukutane kule chat all badae😁
Nina off ya siku mbili usijal😄Uje na story sio mikono mitupu
Kumbe wewe ni WA dini ya Ile!!Surat Al-Baqara (Sura ya 2), Aya ya 269:
hiyo sura inaendana na hii kwenye Qur'an.
Sijawah kuwa na dini yoyote ila nasoma kila ninachovutiwa kukisoma.Kumbe wewe ni WA dini ya Ile!!
Unagundua leo? Nilimshtukia muda huyu kalelewa kuleKumbe wewe ni WA dini ya Ile!!
Nilidhani ni dini Moja na kiranga!!Unagundua leo? Nilimshtukia muda huyu kalelewa kule
Anajitia yupo na kiranga ila moyo wake upo kwa mabikra 72Nilidhani ni dini Moja na kiranga!!
Dini ya kweli ni UpendoDini zote magumashi
Hapa dini Haina nafasi.Dini zote magumashi
Ila huwa nawashangaa sana mnapopigana vijembe wakati ukosoma hivyo vitabu vyenu vimefafa kwa asilimia 90 tofauti tu ni stori fulani imechanganywa na utamaduni fulani na nyingne utamaduni mwingne ambayo ni 10% tu.Kumbe wewe ni WA dini ya Ile!!
Kabisa mdogo wangu.Dini ya kweli ni Upendo
Imani fulani ndio inazaa huo mfumo tunao ita dini.Hapa dini Haina nafasi.
Imani na dini ni mafuta na maji!!
Upendo ni nini?Dini ya kweli ni Upendo
👊👍halafu kuna Kichaa anachukua Mapanga na kujifunga Bomu kwasababu tu ati Allah kasema kwenye Qurani kwamba Makafiri wauwawe na yeye anachukulia serious unakuta kafuga na kamzuzu.Mpaka Mtume Muhammad anaondoka hapakuwa na kitabu kinachoitwa Quran.
Muhammad mwenyewe hajui Qur'an ípoje na unasura ngapi Kwa sababu hakuiandika na Wakati inaandikwa hakuwepo
Kumpenda mwingine kama unavyojipenda wewe! Upendo wa kweli unaanza na kujipenda wewe kwanzaUpendo ni nini?