Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Kumbe wewe ni WA dini ya Ile!!
Ila huwa nawashangaa sana mnapopigana vijembe wakati ukosoma hivyo vitabu vyenu vimefafa kwa asilimia 90 tofauti tu ni stori fulani imechanganywa na utamaduni fulani na nyingne utamaduni mwingne ambayo ni 10% tu.
 
Mpaka Mtume Muhammad anaondoka hapakuwa na kitabu kinachoitwa Quran.
Muhammad mwenyewe hajui Qur'an ípoje na unasura ngapi Kwa sababu hakuiandika na Wakati inaandikwa hakuwepo
👊👍halafu kuna Kichaa anachukua Mapanga na kujifunga Bomu kwasababu tu ati Allah kasema kwenye Qurani kwamba Makafiri wauwawe na yeye anachukulia serious unakuta kafuga na kamzuzu.
 
Upendo ni nini?
Kumpenda mwingine kama unavyojipenda wewe! Upendo wa kweli unaanza na kujipenda wewe kwanza
Matendo ya upendo ni kama kuwaheshimu wengine, kutowafanyia matendo mabaya ya kuwaumiza pia kuwachukulia madhaifu wako
 
Back
Top Bottom