Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Very very complicated
Mara yesu mungu!!!
Mara mwana wa mungu!!.
Mara roho wa mungu.

Sasa yesu aliyekuwa anamuta baba ni nani?
Na salamu ya baba yetu uliyembinguni amesema nani??

Very complicated
Utamu wa Ngoma ingia ucheze mkuu!
Ili uelewe lazima ujue concept ya Uungu kwanza
Hivi Mungu ni cheo,Jina au Asili?
Ukijibu hapo nakuahidi leo utapata majibu juu ya Uungu wa Yesu!
 
Islam imeletwa na Qur'an? Or not?
Quran ni kitabu cha mwisho cha mwenyez Mungu. Obvious ni sheria ya mwisho na sio ya kwanza.

Mtu yoyote aliye submit kwa Mungu ana qualify kuwa/kuitwa Muisilamu.

Mitume wa zamani wote walikuwa ni waisilamu.

Huwa sipendi sana kubishana hii mada fanya mwenyewe practically. Soma vizuri Biblia, jifunze Yesu alivaaje, alikulaje, aliswali vipi, wakristo wa zamani waliswali vipi, Mitume ya Zamani kina Musa, Daudi, Suleiman Wali behave vipi then jaribu kuishi kama wao na kuwafuata Automatic utajikuta ni Muisilamu.

Leo hii wakristo na waisilamu wanatofautiana sana si sababu hivyo vitabu vinatofautiana sana, la Hasha bali ni sababu Wakristo wameacha kufuata Biblia wanasikiliza Kanisa.
 
Leo hii wakristo na waisilamu wanatofautiana sana si sababu hivyo vitabu vinatofautiana sana, la Hasha bali ni sababu Wakristo wameacha kufuata Biblia wanasikiliza Kanisa.

Asipoelewa hapa👆👆👆👆👆 aelewi tena
 
Sio maneno ya Mungu ni fiksi tu,hakuna aliyemuona Mungu.
Kuona ni nini,unaweza elezea!?..halafu niliandika kwamba QUR'AN inasema ikiwa mtu anaona yenyewe haitoki kwa Mungu basi aandike walau sura moja TU Mfano wa QUR'AN,andika mzee
 
Wakristo wa wapi wanatofautiana kwenye Uungu wa Yesu,
Msingi wa Ukristo ni Ubinadamu wa Yesu na Uungu wa Yesu vyote vikienda sambamba kimaandiko na kiuhalisia
Mkristo anaepinga Uungu wa Yesu hayupo labda awe mamluki wa Ibilisi maana hiyo ni common na ndio Ukristo upo hivyo
Uungu wa Yesu hauna mjadala wala longo longo
Tatizo lenu nyie dini mmeipata miaka 600 baada ya Ukristo hivyo mpo non informed na mpo weak theological yaani nyie bado sana kwenye kipengele cha Theology na Spiritual
Hivyo hamuwezi elewa concept ya Uungu!
Hahaha anzisha Uzi unaosema yesu ni Mungu uone Kama hujarukiwa na wakiristo wenzio,wewe ni mlokole/kanisa la kiroho,wasio walokole hawaamini hivyo,ukibisha anzisha Uzi uone
 
Hahaha anzisha Uzi unaosema yesu ni Mungu uone Kama hujarukiwa na wakiristo wenzio,wewe ni mlokole/kanisa la kiroho,wasio walokole hawaamini hivyo,ukibisha anzisha Uzi uone
Hakuna hao watakuja mamluki wa Saudi Arabia trust me hakuna Mkristo anaepinga Uungu wa Yesu Kristo huo ndio msingi wa Ukristo!
 
Hii ni opinion yako badala ya Fact. Ungeelezea kwa mifano zaidi

Sisi waisilamu historia yetu ni safi na imenyooka wala haina shaka, si tu according na waisilamu hata wasio waisilamu, msahafu wa kwanza toka kipindi cha mtume upo Museum ya Birmingham upo Exactly sawa na msahafu unaotumika leo nothing changed nothing added, je unaweza uka sema hili kwa dini nyengine? Biblia ya leo Yesu anaijua? Tora ya leo Musa anaijua?

Pia sisi Tunakuwa Encouraged kuwa na elimu kwa kila tunachofanya, hatutakiwi kufuata mambo kwa mkumbo, dini yetu ipo practical zaidi na tunaiishi dini na sio kama dini nyengine unakuta waumini ni chawa tu wanatukuza wakubwa wao ila wao si wafuasi wa mafundisho ya dini zao.

View: https://youtu.be/d5uE589Npjo?si=b-Af3VkTVEHmR63O

Mkuu hizi hekaya za Quran moja hazina mashiko kwa sasa,na usijerudia kusema hivyo kwa watu wenye akili,ziishie huko huko.
 
Quran ni kitabu cha mwisho cha mwenyez Mungu. Obvious ni sheria ya mwisho na sio ya kwanza.

Mtu yoyote aliye submit kwa Mungu ana qualify kuwa/kuitwa Muisilamu.

Mitume wa zamani wote walikuwa ni waisilamu.

Huwa sipendi sana kubishana hii mada fanya mwenyewe practically. Soma vizuri Biblia, jifunze Yesu alivaaje, alikulaje, aliswali vipi, wakristo wa zamani waliswali vipi, Mitume ya Zamani kina Musa, Daudi, Suleiman Wali behave vipi then jaribu kuishi kama wao na kuwafuata Automatic utajikuta ni Muisilamu.

Leo hii wakristo na waisilamu wanatofautiana sana si sababu hivyo vitabu vinatofautiana sana, la Hasha bali ni sababu Wakristo wameacha kufuata Biblia wanasikiliza Kanisa.
Acha fiksi Uislam umekuja miaka 600 baada ya Ukristo na mwanzilishi wa Uislam ni Mohammad Abdula bin Mutalib kabla ya hapo hakuna dini ikiitwa Islam so don't lie kwamba hao kina Selemani na David walikua muslims ni uongo!
 
Hahaha anzisha Uzi unaosema yesu ni Mungu uone Kama hujarukiwa na wakiristo wenzio,wewe ni mlokole/kanisa la kiroho,wasio walokole hawaamini hivyo,ukibisha anzisha Uzi uone
Ukiona mkristo na anajitambulisha hivyo,halafu hataki kwamba Yesu ni Mungu,jua tu huyo mhuni tu kama mtume.
Hana ukristo wowote anatafuta umaarufu tu.
 
Wewe ni muumini wa propaganda yaani hizi picha unazoonesha ndio uislam unavyoeleza hvyo au just copy and paste tabia za watu.
Katika Magaidi 10 tisa na nusu ni Waisilamu kama sio mafundisho ni nini?!
 
"Is Jesus God?" Is Jesus God?
Soma uchanganyikiwe,na ntakuongeza zingine
Hakika hayo ni mambo mazito kwa Muislam yeyote,Muhammad na hata Allah mwenyewe kama mada inavyosema.
Muislam yeyote ni mchache sana wa elimu ya roho,au hana kabisa.

Lakini usichoke kujifunza inachukua muda utaelewa na kuona hakuna mtu mpuuzi kama mtume,maana amekudanganya muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom