Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
- Thread starter
- #421
Utamu wa Ngoma ingia ucheze mkuu!Very very complicated
Mara yesu mungu!!!
Mara mwana wa mungu!!.
Mara roho wa mungu.
Sasa yesu aliyekuwa anamuta baba ni nani?
Na salamu ya baba yetu uliyembinguni amesema nani??
Very complicated
Ili uelewe lazima ujue concept ya Uungu kwanza
Hivi Mungu ni cheo,Jina au Asili?
Ukijibu hapo nakuahidi leo utapata majibu juu ya Uungu wa Yesu!