Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Wayachimbe sasa, nani kawakataza..Kwa mfano wakichimba mafuta inakuwaje? Tukumbuke pia Zanzibar hawana mambo ya kifisadi kama sisi Tanganyika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wayachimbe sasa, nani kawakataza..Kwa mfano wakichimba mafuta inakuwaje? Tukumbuke pia Zanzibar hawana mambo ya kifisadi kama sisi Tanganyika.
watarudi kuja kuijenga zanzibar yao baada ya kuikimbia.
Wanasubiri kwa hamu hio siku ifike
Wanasubiri kwa hamu kuja kutawaliwa na Mabwana wao wa zamani..
Makampuni ya kuchimba mafuta hayataki matatizo yanataka huu uvamizi umalizwe kwanzaWayachimbe sasa, nani kawakataza..
Punguani mmja wewe, unadhani Seychelles ni LDC kama Tanzania?
Takwimu zipi? Kama sio Bara kuiba pesa ya Zanzibar,Wanaweza kuwa na Bajeti ya Trilioni 2 Kwa mwaka ,Kitu gani watashindwa
Elewa hoja kabla ya kujibu,nimeeleza kuwa mazingira ya kiuchumi ya Comoros & Seychelles yanafanana na Zanziba.chumi za hizo Nchi sio kubwa ni za kawaida sana.Punguani mmja wewe, unadhani Seychelles ni LDC kama Tanzania?
Takwimu zipi? Kama sio Bara kuiba pesa ya Zanzibar,Wanaweza kuwa na Bajeti ya Trilioni 2 Kwa mwaka ,Kitu gani watashindwa kugharania hapo?
Ukubwa wa Uchumi wao utawatosha sana tuu na chenji inabakia.Elewa hoja kabla ya kujibu,nimeeleza kuwa mazingira ya kiuchumi ya Comoros & Seychelles yanafanana na Zanziba.chumi za hizo Nchi sio kubwa ni za kawaida sana.
Utofauti wa hiyo Seychelles na Zanzibar ni idadi ya watu but kwa ukubwa wa uchumi sio lolote. Uchumi wa hiyo Seychelles mwaka 2024 ni 2.2 bilion USD sawa tu na hela alizo nazo Mohamed Dewj 1.8 bilion USD.
*sasa bara waibe hela zipi kutoka Zanzibar??nimekueleza makusanyo ya kodi Zanzibar kwa Mwaka ni 565bilioni.na bajeti 2.8 trilioni hizo hela zingine wanazitoa wapi kama sio huku bara??
Si mtuwache tukila dongo ni afadhali tuko huru kuliko maneno ya kuuza Loliondo kila siku. Shughulikieni nchi yenu Tanganyika iliyoozaElewa hoja kabla ya kujibu,nimeeleza kuwa mazingira ya kiuchumi ya Comoros & Seychelles yanafanana na Zanziba.chumi za hizo Nchi sio kubwa ni za kawaida sana.
Utofauti wa hiyo Seychelles na Zanzibar ni idadi ya watu but kwa ukubwa wa uchumi sio lolote. Uchumi wa hiyo Seychelles mwaka 2024 ni 2.2 bilion USD sawa tu na hela alizo nazo Mohamed Dewj 1.8 bilion USD.
wadubai waache kuwasaidia yemen waje kuwasaidia hawa wabantu wa zenji?Wanasem Wazenji kwamba wakipewa uhuru wao, watawaita Waarabu wa Dubai na Oman wapabadirishe hapo pawe kama Dubai...
Sasa akili zao zilivyo fupi, chakula kinatoka Bara.. na Wazenji wengi hawana kazi za maana nikimaanisha hakuna mzunguko wa hela unaoeleweka ukiweka pembeni shughuli za Utalii na Uvuvi.
Mazao yao hayo ya karafuu, mwani etc havitoshi kuingiza kipato kwa mtu mmoja mmoja.
Ikumbukwe karibu nusu yao wapo huku Bara.. wakipewa uhuru wao na sisi tunawatimua huku warudi kwao hivyo overpopulation itakuwepo na ufinyu wa resources lazima uzidi kuwadidimiza.
I wish siku ifike kila mtu abebe chake.
hao wazenji 70% walitoka huku bar kabla ya 1964Kwani tukimwita hata Nyoka wewe huko Tanganyika unaumia kitu gani? Kabla 1964 Hakuna kitu kilitoka Tanganyika labda wachumaji karafuu kutoka Tabora
akiwa sio mzanzibar , je inaondoa ukwel wa aliyoandika , sijaona sehem akijihita mzanzibarUkweli usemwe wewe sio mzanzibar
Una zungumza Albert Lane wa Seychelles?Siyo kwa huo ukanda wetu comrade. Karibu visiwa vyote vinategemea Tanganyika. Kuna wengine walimpindua Rais, wakaja kuomba TZ imfurushe aliyempindua Rais, na TZ wakaenda kumfurusha.
Ova
hao wazenji 70% walitoka huku bar kabla ya 1964
Ukweli upi hapo ?akiwa sio mzanzibar , je inaondoa ukwel wa aliyoandika , sijaona sehem akijihita mzanzibar
Stpd, mind!.Mtakufa wote, mtaacha ,Zanzibar na Tanganyika itabaki hivi hivi tuzionavyo leo.
Na apa mbele ya Mungu wangu.
Ukweli upi hapo ?
Mnzanzibari umetisha!!😀😀😀Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu.
Kuanzia Ulinzi, Usalama mpaka umeme tunapewa bureee na watanganyika. Kodi na rasimali za watanganyika ndio zinatupa maisha wazanzibar.
Rasimali na mapato yetu ya ndani ya Zanzibar hayawezi kutosha kugharamia ulinzi, usalama, umeme na huduma zingine muhimu za kijamii kwa zaidi ya miezi mitatu, tutaangamia!
Watimuliwe kwa sababu gani kama wataamua kuishi huku kwa kufuata sheria za uhamiaji zinavyotaka ?!!!Wanasem Wazenji kwamba wakipewa uhuru wao, watawaita Waarabu wa Dubai na Oman wapabadirishe hapo pawe kama Dubai...
Sasa akili zao zilivyo fupi, chakula kinatoka Bara.. na Wazenji wengi hawana kazi za maana nikimaanisha hakuna mzunguko wa hela unaoeleweka ukiweka pembeni shughuli za Utalii na Uvuvi.
Mazao yao hayo ya karafuu, mwani etc havitoshi kuingiza kipato kwa mtu mmoja mmoja.
Ikumbukwe karibu nusu yao wapo huku Bara.. wakipewa uhuru wao na sisi tunawatimua huku warudi kwao hivyo overpopulation itakuwepo na ufinyu wa resources lazima uzidi kuwadidimiza.
I wish siku ifike kila mtu abebe chake.
USITUPANGE, mnatuburuza mnavyotakaJapokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu.