Ukweli mchungu: Zanzibar tunaishi kwa kudra za Tanganyika!

Wanasubiri kwa hamu kuja kutawaliwa na Mabwana wao wa zamani..

Inawauma nini ? Shughulikieni nchi yenu kwanza iliyooza kila kitu , ziwacheni nchi Za wenzenu zifanye zinavyoona sawa kwao , nyinyi Kama mtamleta hata shetani ni wenyewe hatuwaingilii. Kwa taarifa Laanatullah Nyerere alimpinduwa Waziri Mkuu Shamte mpemba wa Ole Si mwarabu. Msidanganywe na CCM na Nyerere yake
 
Punguani mmja wewe, unadhani Seychelles ni LDC kama Tanzania?

Takwimu zipi? Kama sio Bara kuiba pesa ya Zanzibar,Wanaweza kuwa na Bajeti ya Trilioni 2 Kwa mwaka ,Kitu gani watashindwa

Punguani mmja wewe, unadhani Seychelles ni LDC kama Tanzania?

Takwimu zipi? Kama sio Bara kuiba pesa ya Zanzibar,Wanaweza kuwa na Bajeti ya Trilioni 2 Kwa mwaka ,Kitu gani watashindwa kugharania hapo?
Elewa hoja kabla ya kujibu,nimeeleza kuwa mazingira ya kiuchumi ya Comoros & Seychelles yanafanana na Zanziba.chumi za hizo Nchi sio kubwa ni za kawaida sana.

Utofauti wa hiyo Seychelles na Zanzibar ni idadi ya watu but kwa ukubwa wa uchumi sio lolote. Uchumi wa hiyo Seychelles mwaka 2024 ni 2.2 bilion USD sawa tu na hela alizo nazo Mohamed Dewj 1.8 bilion USD.

*sasa bara waibe hela zipi kutoka Zanzibar??nimekueleza makusanyo ya kodi Zanzibar kwa Mwaka ni 565bilioni.na bajeti 2.8 trilioni hizo hela zingine wanazitoa wapi kama sio huku bara??
 
Ukubwa wa Uchumi wao utawatosha sana tuu na chenji inabakia.
 
Si mtuwache tukila dongo ni afadhali tuko huru kuliko maneno ya kuuza Loliondo kila siku. Shughulikieni nchi yenu Tanganyika iliyooza
 
wadubai waache kuwasaidia yemen waje kuwasaidia hawa wabantu wa zenji?
 
Kwani tukimwita hata Nyoka wewe huko Tanganyika unaumia kitu gani? Kabla 1964 Hakuna kitu kilitoka Tanganyika labda wachumaji karafuu kutoka Tabora
hao wazenji 70% walitoka huku bar kabla ya 1964
 
Siyo kwa huo ukanda wetu comrade. Karibu visiwa vyote vinategemea Tanganyika. Kuna wengine walimpindua Rais, wakaja kuomba TZ imfurushe aliyempindua Rais, na TZ wakaenda kumfurusha.

Ova
Una zungumza Albert Lane wa Seychelles?
 
Mnzanzibari umetisha!!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Watimuliwe kwa sababu gani kama wataamua kuishi huku kwa kufuata sheria za uhamiaji zinavyotaka ?!!!
Mbona raia wengi tu wa Nchi tofauti tofauti wanaishi Nchini kwa vibali maalum. ?
 
Nawaombea Wazanzibari wafungue akili, watazame mambo kwa weledi na dunia ya sasa, badala ya mihemko, chuki na ubaguzi wa rangi. Kweli makosa yamefanyika na yapo, hasa yanayosababishwa na Maficiemu na wanasiasa wanaotaka kufutusha ego zao, lakini wananchi wa Tanganyika hawana ubaya wowote, tena ikizidi hawa hawana ubaguzi isipokuwa udugu tu na kuwakaribisha mfanye biashara, mlime, mjenge bila matatizo. Kama kweli mwaona Waarabu watawasaidia sana, nani kamkataza Mwarabu hivi sasa asije huko?

Hivi kweli Mwarabu aliyewaacha Wasudani, Wayemen, Wamauritania wazame katika limbwi la umaskini, na hata kusaidia kusambaratika kwa nchi kama Sudan wanaoongea Kiarabu, ila wao tu ni weusi....watakuja wajali nyie Waarabu koko? Mbona Comoro wamo kwenye Jumuia ya nchi za Kiarabu na Jumuiya ya nchi za Kiislamu, lakini ni maskini kuliko nyie? Acheni ujinga na uvivu wa kujituma kwa kutegemea kuna mjomba!
 
USITUPANGE, mnatuburuza mnavyotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…