Ukweli mchungu: Zanzibar tunaishi kwa kudra za Tanganyika!

Kwa mzanzibari anayejielewa na asiye mnafki lazima azungumze maneno kama haya .

Hongera kwako kwa kulitambua hilo
 
Tatizo kuu ni CCM ndio wanaoung'ang'ania.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wewe ni mchaga kutoka machame wacha uongo hata uandushi wako unaonyesha hivo
 
Zenji inatakiwa ivunjwe vunjwe kusiwe na Rais , zanzibar yote iwe na mwenyekiti mmoja tu wa mtaa, hatuwezi kuharibu rasilimali kulipa Rais wa zanzibar mawaziri na wabunge wakati ukipiga filimbi nchi nzima inaskia.
Pole sana mtanganyika
 
Wazanzibari wengi ni watoto wa kambo. Baba mwarabu mama mswahili au vice versa. Wakitaka ardhi yao ipo uarabuni, suala la kuitenganisha Zanz na Tanganyika ili baba zao waje ni gumu.
 
Ila cha kuwakumbusha wazenj, sasa hv, Rais wa muungano na wa, zenj,wote ni wazenj! Mwinyi, na samia,vunja CCM, jiungeni na act na chadema zenj, muidai zenj yenu, !
 
Wazanzibari wengi ni watoto wa kambo. Baba mwarabu mama mswahili au vice versa. Wakitaka ardhi yao ipo uarabuni, suala la kuitenganisha Zanz na Tanganyika ili baba zao waje ni gumu.
Hatuombi mabaya yatokee huko visiwani, ila siku muungano unavunjika, Basi ndio utakuwa mwisho wa amani visiwani

Huwa wanajiona wanatii sheria za dini, lakini ukweli ni kwamba wanachokifanya katika sheria za dini, wanatekeleza kwa angalau 35%

Wakimuona mtu kutoka bara wanaona kama wameona mtu asiye na dini

Maovu kibao wanafanya huko
 
Reactions: Tsh
Haaa Umeongea Kwa Sauti Ya Mzilankende
Natamani Ningekuwa Iigiiipii
 
Kucheka Mtacheka Ila Muungano Unavunjika!!
 
Wana mbwembwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…