Ukweli mchungu: Zanzibar tunaishi kwa kudra za Tanganyika!

Huu si muungano ni uvamizi. Nyerere kwa kuwatumia waZanzibara akina Jumbe, Kisasi na Kina Okello ni. Alimkamata Waziri Mkuu Shamte mpemba wa Ole na akamfunga jela ya Tanganyika pamoja na Baraza lake la mawaziri kwa miaka zaidi ya kumi , bila kuwafikisha mahakamani.
Hapo kuna udugu na uafrika??? . Msidanganywe na CCM . Hakuna cha mwarabu Zanzibar hizo ni mbinu Za Laanatullah Nyerere.
 
Kipi cha muhimu kufanyika sasa ili kurekebisha hali na kwa faida ya kila mmoja?
 
Usiongee kwa maneno,ongea kwa takwimu.zanzibar inafanana kwa vitu vingi na visiwa vya Seychelles & Comoro hali za kiuchumi za hizo nchi unazijua?.uchumi wa Zanzibar ni mdogo hawezi kujiendesha watakuwa maskini wa kutupwa.

Hivi mkuu unaielewa Seychelles lakini?
 
Zenji inatakiwa ivunjwe vunjwe kusiwe na Rais , zanzibar yote iwe na mwenyekiti mmoja tu wa mtaa, hatuwezi kuharibu rasilimali kulipa Rais wa zanzibar mawaziri na wabunge wakati ukipiga filimbi nchi nzima inaskia.
 
Kwa taarifa yako bara inabidi wafanye hivyo kwakua hicho kisiwa watu wengi sn wanakihitaji tena kwa Pesa nyingi sn mmoja wapo ni muarabu yaani anaweza igeuza dubai ya afrika mashariki hio,pia kiusalama km Znz ikiwa chini ya mtu mwingine nihatari ndio mana Nyerere alitamka makao makuu yawe Dodoma’s kwakua route zakutoka km nchi imevamiwa ninyingi kuliko Dar.
Bara hana jinsi they have to do that at any cost
 
Sahihi sana mkuu.
 
Kipi cha muhimu kufanyika sasa ili kurekebisha hali na kwa faida ya kila mmoja?

Ni kila mmoja aende kivyake kwani mote mumeoza. Kila nchi ianze kusafisha uoza ndani mwake. Hakuna cha muungano
 
Usalama kaunganeni na Burundi, silaha zimejaa huko, halafu hawa mafisadi mnaojifanya kuwakamata muwashotaki mahakamani
 
Zenji inatakiwa ivunjwe vunjwe kusiwe na Rais , zanzibar yote iwe na mwenyekiti mmoja tu wa mtaa, hatuwezi kuharibu rasilimali kulipa Rais wa zanzibar mawaziri na wabunge wakati ukipiga filimbi nchi nzima inaskia.
Kwa maneno hayo tutauza mpaka makalio yenu mbali na Loliondo
 
Acha kupotosha watu mkuu ww huijui Zanzibar.

Ukitoa ivo viazi, vitungu maji na nyanya vitu karibia vyote Zanzibar wanaagaza nje. Zanzibar ni kawaida tu kukuta watu wanatumia vitunguu swaum ama mchele kutoka India.

Yaani Zanzibar vitu karibia vyote unavovijua ww wanaagiza nje ni asilimia chache sana ndo wananunua bara

Na kuhus gharama za ulinzi sio kweli kwamba Zanzibar itashindwa kusimamia wanaa vikosi vya SMZ vinalipwa na Serekali ya Zanzibar na kikosi cha KMKM mshahara wake wanatofautiana kdogo san na Hao askar wa Muungano.
 
Umeongea ukweli mtupu! Hiyo mizanzibari yenyewe mdomo mrefu kupayukapayuka wakiwatumainia waarabu!
 
bandari nono imekwenda wapi, na nani aliyesababisha iwe hivyo? huo upagani sijui athari yake inakuwa nini siwezi kutoa comment kwa hilo. Ongezeko hilo la population limesababishwa na nani? Na hiyo karafuu ni kweli haina thamani? Labda tujiulize kwa nini wenzetu akina Mauritius wanaweza sisi tusiweze? Mauritius walikuwa na uchumi wa kutegema sukari (miwa) lakini sasa wako juu kiuchumi kwa utalii, kwa hivyo tegemeo la karafuu siyo hoja.

Zanzibar haipo tena kwa sababu imefanywa isiwepo tena kwa vijana kujifanya 'wazee wetu wamepindua' kwa hivyo tusifanye kazi, lakini ingekuwa hakuna wa kutupa vya bure tungepambana kisawa sawa.

Bado nasema inawezekana sana, kwani hivo vyakula vya wabara wao hawatupi bure wanatuuzia kama wafanyabiashara wengine wa kutoka Kenya .
 
Sasa mbona unajifanya mzanzibar? Kwa hiyo hamna logic unayongea hapo.

Pesa za BOT ni mali ya zenji maana hamkuwa na mtaji wa kuanzisha ,pesa zinazopelekwa zenji lazima kwanza zifike Bra ndio wapewe fungu kaulize pesa za covid19 ili kunusuru sekta ya utalii zanzibar ila zilikuja kutumika TZ.

Znzibar ni nchi kamili wana kila sekta, hawfanani na watanganyika kiasili wala utamaduni except watu wa pwani..Tz inanunua umeme kutoka nje hata zenji ingeshanunua kitambo.

Ulisikia wapi zenji wameomba muungano hata saini pale mmefoji kulazimisha, ishu ya kuunganisha ilikuwa ni maagizo ya Malkia ELizabeth kwa Nyerere ili kungeza ulinzi bahata mbaya mpaka leo wazenji hawafuati tamadnu zenu.
 
Hakuna Mzanzibar anayeponda uislam au Zanzibar

Hata wewe pia inawezekana sio Mmeru
tatizo mnakariri. kwani kuna ubaya gani kukosoa nasaba yako? nina rafiki yangu aliyenikaribisha dar mara ya kwanza ni mzaramo, kutwa alikua akiponda mila za kabila lake. kwa hiyo naye sio mzaramo kwa mantiki kwamba anakosoa dosari anazoziona ktk jamii anayotoka?

mimi ni mmeru na mbona ninapinga ujinga wa vijana wa kwetu uhuni wa usela mavi? kwa hiyo kwa sababu ujinga unafanywa kwetu basi nisiukosoe? akili za wapi? tatizo lenu raia wa ukimani mna falsafa za kijinga ndio kama yale ya kusema mkubwa hakosei. ujinga mtupu.
 
Kwa mfano wakichimba mafuta inakuwaje? Tukumbuke pia Zanzibar hawana mambo ya kifisadi kama sisi Tanganyika.
 
Mchaga huyo hata huyu MK254 nae sio mkenya ni mchaga , huyu Kaka yake shetani ni mchaga pia wasikusumbue..Wote wakimbizi kwao hawapataki wanazunguka kweny mikoa ya watu kama ngedere. Wanaenda tu kufanya makafara December.


Sikujua kama huyu MK254 nae ni mchaga nilijua ni mkenya ila alikuwa ananistajabisha sana mambo yake
 
Umeongea ukweli mtupu! Hiyo mizanzibari yenyewe mdomo mrefu kupayukapayuka wakiwatumainia waarabu!
Kwani hivi sasa mwarabu wetu Wazanzibari ni Mtanganyika? Mnaumia kitu gani hamshughuliki na nchi yenu Tanganyika
Ambayo imeoza kila sehemu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…