Ukweli mchungu, Zari ndie kamuoa Diamond...

wale wote mnao acha kujadili mada nakutukana lazima mtakuwa akina bushoke kataeni
 
Mleta uzi we ni popoma kweli kazi kufuatilia maisha ya watu huna kazi ya kufanya afu dnd ndo nini?
KAMA KUUTAFUTA UKWELI NI DHAMBI BASI ACHANA NA HII HABARI ILA TUECHOKA KUONGOPEWA WACHA TULETE MAUZI KAMA HAYA WATU WAJUWE UKWELI, I MEAN DNA
 
KAMA KUUTAFUTA UKWELI NI DHAMBI BASI ACHANA NA HII HABARI ILA TUECHOKA KUONGOPEWA WACHA TULETE MAUZI KAMA HAYA WATU WAJUWE UKWELI, I MEAN DNA
Hivi hebu yarudie hayo maneno kwa sauti pasi na jinsi ulivyoandika. How does it sound? U sound pathetic and tired of your own life.
 
Eeeee Muumba usinipe moyo wa wivu na chuki kama mleta mada, Muumba siutaki kwa sababu nitashindwa kufanya yangu ya maana na kuwaza ya Nani kufanya nini niepushe Yarab
 
hivi diamond alimkuta zari kwa Ivan? au ni mazoea ya majungu tu
 
Umbea ni kazi moja ya kipumbavu sana.
 
Reactions: MTK
Ujinga amabao vijana wengi wa dar mnao nikushabikia uongo na mambo yasio kuwa ya kweli najuwa hamuwezi kupenda hii thread kwavile niwavivu wakusoma nakufuwatilia mambo in shot imekuwa kama diamond kaowa wanaume kwa wanawake na kwa vile wengi wenu mwajuwa kile kinaendelea hampendi haya mambo yajulikane ila sikizi mitandao inavujisha ukweli wote wala huu sio umbea tena haya ni mambo ya kweli sasa kwa vile macho yenu ni ya ukipofu ni vyema muendelee kuwa vipofu
 
KAMA KUUTAFUTA UKWELI NI DHAMBI BASI ACHANA NA HII HABARI ILA TUECHOKA KUONGOPEWA WACHA TULETE MAUZI KAMA HAYA WATU WAJUWE UKWELI, I MEAN DNA
Mbona una maneno yanayo-sound ukewenza ndugu?! Diamond mwenyewe katulia tuliii; hana haja ya DNA... Bi Sandra mama wa Diamond nae katulia tuliii; hana shida ya DNA... Asma na Queen Darleen ambao ni shangazi wa Tifa; wote wapo kimya... lakini anakuja mtu from nowhere anataka DNA ya mtoto ambae si wake, si wa kakake, si wa babake, si wa mjomba ake, si wa yeyote yule toka kwenye nasaba yake!!! Hivi ukituliza akili japo kwa dakika,huwa hujihisi kwamba upo tofauti?!
 
Daaah!!!!!
pasho la kweli hlo
AJITAFAKARIII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…