Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtandao ganNiwatafute wapi wakati vitu vyote hadharani kwenye mitandao
uganda wazima uko?wale wote mnao acha kujadili mada nakutukana lazima mtakuwa akina bushoke kataeni
KAMA KUUTAFUTA UKWELI NI DHAMBI BASI ACHANA NA HII HABARI ILA TUECHOKA KUONGOPEWA WACHA TULETE MAUZI KAMA HAYA WATU WAJUWE UKWELI, I MEAN DNAMleta uzi we ni popoma kweli kazi kufuatilia maisha ya watu huna kazi ya kufanya afu dnd ndo nini?
UMEELEWA SASA? DNAndio maana........
Hivi hebu yarudie hayo maneno kwa sauti pasi na jinsi ulivyoandika. How does it sound? U sound pathetic and tired of your own life.KAMA KUUTAFUTA UKWELI NI DHAMBI BASI ACHANA NA HII HABARI ILA TUECHOKA KUONGOPEWA WACHA TULETE MAUZI KAMA HAYA WATU WAJUWE UKWELI, I MEAN DNA
Eeeee Muumba usinipe moyo wa wivu na chuki kama mleta mada, Muumba siutaki kwa sababu nitashindwa kufanya yangu ya maana na kuwaza ya Nani kufanya nini niepushe YarabJamani hivi kumbe kaka ndio kaolewa badala ya dada? nimekuwa nikipita kwenye mitandao kufuwatilia ukweli nikagunduwa ukweli,
Facts hizi hapa
Ivan mume wa zari alichukua poa kwa zari kumfuwata diamodi na ktk maojiano na vyombo vya habari jamaa anaonyesha kumdharau kijan Diamond kwa kukurupukia mapenzi ya watu wakati hajuwi ukweli, mtonyaji anasema mshikaji anajuwa ndani nje za zari hivyo domo atashika pembe huku wenzake wakipata ziwa heheheheeheh....
Diamondi kwenda Uganda alichukuliwa na gari la kifahari la zari ambalo hata yeye hana, kwanza kabla yakufika Uganda alipigwa bit na mpenziwe Zari hakuna kuongea na vyombo vya habari kama unabisha tafuta kilp yeyote alio ongea dom na vyombo vya habari alipo enda Uganda, mtonyaji anasema wenye mke walipiga bit akizungumza tu wangemuaribu dom na huyo bi zari. heheheheheheheeheh jamani kaka akichukuliwa picha na paparazzi wa Uganda ananekana kazungukwa na baunsa ili asije ropoka.....
Ktk kile kinaonekana wenye mke kumchafuwa diamond alikutana na kashifa yakumdhulum mwanamziki Fulani dom alijikuta wakai mgum ktk kujitetea
jaman kweli Diamond akapimwe akili uwenda hata yule mtoto sio wake kama kweli waka pime DNA YA MTOTO NA BABA Tz pale ocean road ambapo ukweli utajulikana na sio SA kuficha ukweli........
Angalia picha zote za ivani akiwa na zari yan ivan anakula denda wazi wazi ila kaka hakuna picha anamuinamisha zari na kula denda kama mwenzake yani full kuolewa kakakakaakakkakakaakak.
Diamond hana pesa yakumpa zari yani uniamini mimi wala zari hana kitu anapoteza kuhusu Diamond na kiukweli diamond hana say kwa zari wala hana mamlaka za zari kama unabisha subiri uone ktk nyakati tofauti malezi ya zari kwa diamond yamemfanya diamond kuwa kama mnyonge pesa apate wapi kaka uyo zari waliokuwa wanampa kazi nakumuendesha ni akina Ivan jamaa ndio kiburi dume la ng'ombe hata sasa zari hutomsikia anamtukana au anamsema vibya njooo mh aseme vibaya kama kidume ajamuharibu, yani inatia huruma kwa kaka amepatikana,
Hatakiwi kumchosha dada akizidi kila mu chumba yake. heheheheheehehehehe natania ila kweli
mtonjaji hafungwi yote nimeandika yapo kwenye mtandao
Alitaka kuutaja wimbo mpya wa Mama Some food,Ndindindi,so unajua tatizo la kulishwa maneno ambayo sio yakoMkuu samahani! DND ni kitu gani...?!
Umbea ni kazi moja ya kipumbavu sana.Jamani hivi kumbe kaka ndio kaolewa badala ya dada? nimekuwa nikipita kwenye mitandao kufuwatilia ukweli nikagunduwa ukweli,
Facts hizi hapa
Ivan mume wa zari alichukua poa kwa zari kumfuwata diamodi na ktk maojiano na vyombo vya habari jamaa anaonyesha kumdharau kijan Diamond kwa kukurupukia mapenzi ya watu wakati hajuwi ukweli, mtonyaji anasema mshikaji anajuwa ndani nje za zari hivyo domo atashika pembe huku wenzake wakipata ziwa heheheheeheh....
Diamondi kwenda Uganda alichukuliwa na gari la kifahari la zari ambalo hata yeye hana, kwanza kabla yakufika Uganda alipigwa bit na mpenziwe Zari hakuna kuongea na vyombo vya habari kama unabisha tafuta kilp yeyote alio ongea dom na vyombo vya habari alipo enda Uganda, mtonyaji anasema wenye mke walipiga bit akizungumza tu wangemuaribu dom na huyo bi zari. heheheheheheheeheh jamani kaka akichukuliwa picha na paparazzi wa Uganda ananekana kazungukwa na baunsa ili asije ropoka.....
Ktk kile kinaonekana wenye mke kumchafuwa diamond alikutana na kashifa yakumdhulum mwanamziki Fulani dom alijikuta wakai mgum ktk kujitetea
jaman kweli Diamond akapimwe akili uwenda hata yule mtoto sio wake kama kweli waka pime DNA YA MTOTO NA BABA Tz pale ocean road ambapo ukweli utajulikana na sio SA kuficha ukweli........
Angalia picha zote za ivani akiwa na zari yan ivan anakula denda wazi wazi ila kaka hakuna picha anamuinamisha zari na kula denda kama mwenzake yani full kuolewa kakakakaakakkakakaakak.
Diamond hana pesa yakumpa zari yani uniamini mimi wala zari hana kitu anapoteza kuhusu Diamond na kiukweli diamond hana say kwa zari wala hana mamlaka za zari kama unabisha subiri uone ktk nyakati tofauti malezi ya zari kwa diamond yamemfanya diamond kuwa kama mnyonge pesa apate wapi kaka uyo zari waliokuwa wanampa kazi nakumuendesha ni akina Ivan jamaa ndio kiburi dume la ng'ombe hata sasa zari hutomsikia anamtukana au anamsema vibya njooo mh aseme vibaya kama kidume ajamuharibu, yani inatia huruma kwa kaka amepatikana,
Hatakiwi kumchosha dada akizidi kila mu chumba yake. heheheheheehehehehe natania ila kweli
mtonjaji hafungwi yote nimeandika yapo kwenye mtandao
Unaniogopesha kweli hivi huwa unakula embe au mapapai kweli? Maana wenye tabia kama yako wakila embe au papai vinatoka tu ptuuuAcheni kuwa wajinga anaitwa zarinah Hassan
Mara 1000 Bushoke rijali, ndio maana kaweka ke ndani, je wewe nani?wale wote mnao acha kujadili mada nakutukana lazima mtakuwa akina bushoke kataeni
Mbona una maneno yanayo-sound ukewenza ndugu?! Diamond mwenyewe katulia tuliii; hana haja ya DNA... Bi Sandra mama wa Diamond nae katulia tuliii; hana shida ya DNA... Asma na Queen Darleen ambao ni shangazi wa Tifa; wote wapo kimya... lakini anakuja mtu from nowhere anataka DNA ya mtoto ambae si wake, si wa kakake, si wa babake, si wa mjomba ake, si wa yeyote yule toka kwenye nasaba yake!!! Hivi ukituliza akili japo kwa dakika,huwa hujihisi kwamba upo tofauti?!KAMA KUUTAFUTA UKWELI NI DHAMBI BASI ACHANA NA HII HABARI ILA TUECHOKA KUONGOPEWA WACHA TULETE MAUZI KAMA HAYA WATU WAJUWE UKWELI, I MEAN DNA
check hii on you tube ZARI'S FABULOUSITY CHAMPAGNE PARTY2mwanaume wa daresalama kazi kweli kweli
Daaah!!!!!Mbona una maneno yanayo-sound ukewenza ndugu?! Diamond mwenyewe katulia tuliii; hana haja ya DNA... Bi Sandra mama wa Diamond nae katulia tuliii; hana shida ya DNA... Asma na Queen Darleen ambao ni shangazi wa Tifa; wote wapo kimya... lakini anakuja mtu from nowhere anataka DNA ya mtoto ambae si wake, si wa kakake, si wa babake, si wa mjomba ake, si wa yeyote yule toka kwenye nasaba yake!!! Hivi ukituliza akili japo kwa dakika,huwa hujihisi kwamba upo tofauti?!