acha ukwae angalia hii wanaume wanatumia achene ukwareMbona una maneno yanayo-sound ukewenza ndugu?! Diamond mwenyewe katulia tuliii; hana haja ya DNA... Bi Sandra mama wa Diamond nae katulia tuliii; hana shida ya DNA... Asma na Queen Darleen ambao ni shangazi wa Tifa; wote wapo kimya... lakini anakuja mtu from nowhere anataka DNA ya mtoto ambae si wake, si wa kakake, si wa babake, si wa mjomba ake, si wa yeyote yule toka kwenye nasaba yake!!! Hivi ukituliza akili japo kwa dakika,huwa hujihisi kwamba upo tofauti?!
ZARI'S FABULOUSITY CHAMPAGNE PARTY 2Cheki mimacho inavokutoka ....sasa hapo kinachokuuma nn?
Tukuvishe shela ukaolewe wewe basi...
ZARI'S FABULOUSITY CHAMPAGNE PARTY 2Kwa huu mwandiko wako nimeshindwa kujua kama wewe ni m.. hau f... Na kama ni m... Basi wewe gay.
Kiswahili mtuachie watanzania. Hujaelewa aliyekujibu kwa hili. Tunafahamu anaitangaza Zarinah Hassan Rudi usome vizuri uelewe kabla hujajibu hoja. Huyu Zari na Diamond wanawaumiza sana vichwa. Acheni wafanye walipendalo maisha ni kuchagua bana!Acheni kuwa wajinga anaitwa zarinah Hassan
Mwenzio anajilia gem mdogomdogo we povu looote la nn....kawataftie wanao japo hela ya soda sikukuu imefkaZARI'S FABULOUSITY CHAMPAGNE PARTY 2
cc alie kutuma
Sasa ndo madudu gani hayo uliyoniandikia?! Yaani unataka niangalie video ya mwaka 2011 ili hatimae ni-prove nini? Yaani ulivyosema kwamba wanaume wa Dar hawasomi na kutafuta ukweli ni kv uliangalia video ya mwaka 2011? Hoyaaa, kimbia shamba huko; njoo mjini... mtu kama mimi huwezi kuniambia niangalie video ya Zari Party ya mwaka 2011 manake huku town kila siku kuna mambo mapya! By the way, hiyo cc diamond umemaanisha nini hasa? Usione tu watu wa mjini wanaandika na wewe ukaamua kuandika kumbe wenzako wanamaanisha kitu! Sasa wewe hapo unamaanisha nini?!ac
acha ukwae angalia hii wanaume wanatumia achene ukware
you tube ZARI'S FABULOUSITY CHAMPAGNE PARTY
cc diamond
Mbona una maneno yanayo-sound ukewenza ndugu?! Diamond mwenyewe katulia tuliii; hana haja ya DNA... Bi Sandra mama wa Diamond nae katulia tuliii; hana shida ya DNA... Asma na Queen Darleen ambao ni shangazi wa Tifa; wote wapo kimya... lakini anakuja mtu from nowhere anataka DNA ya mtoto ambae si wake, si wa kakake, si wa babake, si wa mjomba ake, si wa yeyote yule toka kwenye nasaba yake!!! Hivi ukituliza akili japo kwa dakika,huwa hujihisi kwamba upo tofauti?!
Mwanaume kukaa kumjadili nwanaume mwenzio inabidi ujitafakari
Sasa huyo mwanaume mwenzako ndo anaitwa Zarinah Hassani? Au Mamaya umekosea hapo kwenye mwanaume ulitakiwa kuandika mwanamke ili majibu ya-match!!!Acheni kuwa wajinga anaitwa zarinah Hassan
Behind the Scenes with Zari Part 7 with Baby King Dalvin on UGPulse.com Ugandan South African Musicwewe wa kike eeeh !???
Sasa inahusiana nini hiyo na Diamond uliyemfungulia uzi?asaBehind the Scenes with Zari Part 7 with Baby King Dalvin on UGPulse.com Ugandan South African Music nte check you tube
Dar hakuna watu kama hao wewe... labda kama ndo kadondoka jana kaleta viroba vya ubuyu kutoka Simiyu!wanaume wa dar hawa mda wote umbeya maendeleo zero
answer my question! type you 're gender please !Behind the Scenes with Zari Part 7 with Baby King Dalvin on UGPulse.com Ugandan South African Music
Eti ``hakili``
Hata kuhandika hujuhi kajifunze kuhandika ndiho huje na humbeha wako