Ukweli Mchungu

Ukweli Mchungu

IMG-20221027-WA0039.jpg
 
Usifanye biashara haramu (japo wao wanafanya)
Haiwezi kwenda dunia bila haramu kuwepo hata pig kitimoto mkuu wa meza anaitwa haramu na baadhi ya imani ila wanaokula hawapelekwi mahakamani hata siku moja

Haramu na iheshimiwe

Juzi nilikua kijiwe kimoja nimepoa na wadau, sasa kumbe mmoja wetu kwenye kijiwe hapo alikua na kiloba cha bangi mimi nilikua sijui maana ndio siku ya kwanza nmeenda kutulia niangalie wanavyocheza draft

Mara ghafla akaja kijana mmoja akaongea na yule jamaa mwenye kiloba, walichoongea mimi sikujua basi wakaelewana jamaa akaelekea kwenye kiloba akaanza kutoa bidhaa zimefungwa kwenye bahasha za kaki akampa

Jamaa akachukua ila hajakaa vizuri naona wametokea Jamaa wengine wawili wakiwa na pingu eeeh hatujakaa vizuri Jamaa katiwa pingu kawekwa chini kukaa sawa gari la polisi hili hapa

Wakamchukua mpaka central akawekwa huko wakaelewana na ilipofika jioni Jamaa akawa amerudi yupo kijiweni na kiloba chake cha bangi anauza pale pale km kawaida

Waliongea nini central wanakubariana nini mimi sijui ila itoshe kusema kwa kweli hakuna haramu ila wewe na Imani yako ndio inatafasiri ya hiki ni haramu na hiki sio haramu

Naweka karumu chini...
 
View attachment 2399941
Ni aibu, una miaka 25 hujawahi kupanda mti hata mmoja, duniani umekuja kufanya nini kama umeshindwa kutunza mazingira? Wewe ni useless
Kuna kajimti nilikapanda nyumbani kwa mama nikiwa na miaka 13. Hadi leo kila nikifika kwa mama basi lazima nikaangalie. Huwa nafeel so connected with nature balaa.
 
Haiwezi kwenda dunia bila haramu kuwepo hata pig kitimoto mkuu wa meza anaitwa haramu na baadhi ya imani ila wanaokula hawapelekwi mahakamani hata siku moja

Haramu na iheshimiwe

Juzi nilikua kijiwe kimoja nimepoa na wadau, sasa kumbe mmoja wetu kwenye kijiwe hapo alikua na kiloba cha bangi mimi nilikua sijui maana ndio siku ya kwanza nmeenda kutulia niangalie wanavyocheza draft

Mara ghafla akaja kijana mmoja akaongea na yule jamaa mwenye kiloba, walichoongea mimi sikujua basi wakaelewana jamaa akaelekea kwenye kiloba akaanza kutoa bidhaa zimefungwa kwenye bahasha za kaki akampa

Jamaa akachukua ila hajakaa vizuri naona wametokea Jamaa wengine wawili wakiwa na pingu eeeh hatujakaa vizuri Jamaa katiwa pingu kawekwa chini kukaa sawa gari la polisi hili hapa

Wakamchukua mpaka central akawekwa huko wakaelewana na ilipofika jioni Jamaa akawa amerudi yupo kijiweni na kiloba chake cha bangi anauza pale pale km kawaida

Waliongea nini central wanakubariana nini mimi sijui ila itoshe kusema kwa kweli hakuna haramu ila wewe na Imani yako ndio inatafasiri ya hiki ni haramu na hiki sio haramu

Naweka karumu chini...
Haiwezi kwenda dunia bila haramu kuwepo hata pig kitimoto mkuu wa meza anaitwa haramu na baadhi ya imani ila wanaokula hawapelekwi mahakamani hata siku moja

Haramu na iheshimiwe

Juzi nilikua kijiwe kimoja nimepoa na wadau, sasa kumbe mmoja wetu kwenye kijiwe hapo alikua na kiloba cha bangi mimi nilikua sijui maana ndio siku ya kwanza nmeenda kutulia niangalie wanavyocheza draft

Mara ghafla akaja kijana mmoja akaongea na yule jamaa mwenye kiloba, walichoongea mimi sikujua basi wakaelewana jamaa akaelekea kwenye kiloba akaanza kutoa bidhaa zimefungwa kwenye bahasha za kaki akampa

Jamaa akachukua ila hajakaa vizuri naona wametokea Jamaa wengine wawili wakiwa na pingu eeeh hatujakaa vizuri Jamaa katiwa pingu kawekwa chini kukaa sawa gari la polisi hili hapa

Wakamchukua mpaka central akawekwa huko wakaelewana na ilipofika jioni Jamaa akawa amerudi yupo kijiweni na kiloba chake cha bangi anauza pale pale km kawaida

Waliongea nini central wanakubariana nini mimi sijui ila itoshe kusema kwa kweli hakuna haramu ila wewe na Imani yako ndio inatafasiri ya hiki ni haramu na hiki sio haramu

Naweka karumu chini...
Boss mwenye mzigo ni mtu mzito kama Eric boss wa Gabby na UMUGHAKA
 
YANI ISHU YA SERIKALI KUNYAN'GANYA HEKTA 15 ZA URITHI WANGU(ubaruku,mbarali) YANI NIKIJA MUONA RAISI PEPONI HAKYAMUNGU TUTAPIGANA
 
Usipigane naye, kule yupo anasulubiwa kichizi, yaani ukifika hata wewe utamuonea huruma
 
Tumia fursa hii kueleza lililoko moyoni mwako, iwe ni kwenye wigo wa siasa, michezo, dini, mapenzi na lolote lile. Nafasi ni yako.

View attachment 2399939
Usimkashifu rais ni hatari kwa uhuru wako kitaa. Ukitaka kupendwa nyumbani, usikosoe, sifia kila kitu, hata ukiona buibui kachafua nyumba kwa utandu wake, weee sema, mama una baraka sana, na mkono wako umejaa neema tangu baba asafiri, kila kitu hapa ndani kina nawiri na kunenepa, hata mabuibui.
Hii ina harufu ya kukomoana kati ya mitandao ya urais kuelekea 2025
 
Back
Top Bottom