Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I thought the quote was Desmond Tutu's, kumbe ni ya Kenyatta!!!
Haiwezi kwenda dunia bila haramu kuwepo hata pig kitimoto mkuu wa meza anaitwa haramu na baadhi ya imani ila wanaokula hawapelekwi mahakamani hata siku mojaUsifanye biashara haramu (japo wao wanafanya)
Kuna kajimti nilikapanda nyumbani kwa mama nikiwa na miaka 13. Hadi leo kila nikifika kwa mama basi lazima nikaangalie. Huwa nafeel so connected with nature balaa.View attachment 2399941
Ni aibu, una miaka 25 hujawahi kupanda mti hata mmoja, duniani umekuja kufanya nini kama umeshindwa kutunza mazingira? Wewe ni useless
Safi sana mkuu. HongeraKuna kajimti nilikapanda nyumbani kwa mama nikiwa na miaka 13. Hadi leo kila nikifika kwa mama basi lazima nikaangalie. Huwa nafeel so connected with nature balaa.
Haiwezi kwenda dunia bila haramu kuwepo hata pig kitimoto mkuu wa meza anaitwa haramu na baadhi ya imani ila wanaokula hawapelekwi mahakamani hata siku moja
Haramu na iheshimiwe
Juzi nilikua kijiwe kimoja nimepoa na wadau, sasa kumbe mmoja wetu kwenye kijiwe hapo alikua na kiloba cha bangi mimi nilikua sijui maana ndio siku ya kwanza nmeenda kutulia niangalie wanavyocheza draft
Mara ghafla akaja kijana mmoja akaongea na yule jamaa mwenye kiloba, walichoongea mimi sikujua basi wakaelewana jamaa akaelekea kwenye kiloba akaanza kutoa bidhaa zimefungwa kwenye bahasha za kaki akampa
Jamaa akachukua ila hajakaa vizuri naona wametokea Jamaa wengine wawili wakiwa na pingu eeeh hatujakaa vizuri Jamaa katiwa pingu kawekwa chini kukaa sawa gari la polisi hili hapa
Wakamchukua mpaka central akawekwa huko wakaelewana na ilipofika jioni Jamaa akawa amerudi yupo kijiweni na kiloba chake cha bangi anauza pale pale km kawaida
Waliongea nini central wanakubariana nini mimi sijui ila itoshe kusema kwa kweli hakuna haramu ila wewe na Imani yako ndio inatafasiri ya hiki ni haramu na hiki sio haramu
Naweka karumu chini...
Boss mwenye mzigo ni mtu mzito kama Eric boss wa Gabby na UMUGHAKAHaiwezi kwenda dunia bila haramu kuwepo hata pig kitimoto mkuu wa meza anaitwa haramu na baadhi ya imani ila wanaokula hawapelekwi mahakamani hata siku moja
Haramu na iheshimiwe
Juzi nilikua kijiwe kimoja nimepoa na wadau, sasa kumbe mmoja wetu kwenye kijiwe hapo alikua na kiloba cha bangi mimi nilikua sijui maana ndio siku ya kwanza nmeenda kutulia niangalie wanavyocheza draft
Mara ghafla akaja kijana mmoja akaongea na yule jamaa mwenye kiloba, walichoongea mimi sikujua basi wakaelewana jamaa akaelekea kwenye kiloba akaanza kutoa bidhaa zimefungwa kwenye bahasha za kaki akampa
Jamaa akachukua ila hajakaa vizuri naona wametokea Jamaa wengine wawili wakiwa na pingu eeeh hatujakaa vizuri Jamaa katiwa pingu kawekwa chini kukaa sawa gari la polisi hili hapa
Wakamchukua mpaka central akawekwa huko wakaelewana na ilipofika jioni Jamaa akawa amerudi yupo kijiweni na kiloba chake cha bangi anauza pale pale km kawaida
Waliongea nini central wanakubariana nini mimi sijui ila itoshe kusema kwa kweli hakuna haramu ila wewe na Imani yako ndio inatafasiri ya hiki ni haramu na hiki sio haramu
Naweka karumu chini...
Usipigane naye, kule yupo anasulubiwa kichizi, yaani ukifika hata wewe utamuonea hurumaYANI ISHU YA SERIKALI KUNYAN'GANYA HEKTA 15 ZA URITHI WANGU(ubaruku,mbarali) YANI NIKIJA MUONA RAISI PEPONI HAKYAMUNGU TUTAPIGANA
Hii ina harufu ya kukomoana kati ya mitandao ya urais kuelekea 2025Tumia fursa hii kueleza lililoko moyoni mwako, iwe ni kwenye wigo wa siasa, michezo, dini, mapenzi na lolote lile. Nafasi ni yako.
View attachment 2399939
Usimkashifu rais ni hatari kwa uhuru wako kitaa. Ukitaka kupendwa nyumbani, usikosoe, sifia kila kitu, hata ukiona buibui kachafua nyumba kwa utandu wake, weee sema, mama una baraka sana, na mkono wako umejaa neema tangu baba asafiri, kila kitu hapa ndani kina nawiri na kunenepa, hata mabuibui.
Nimeipenda hii [emoji23]View attachment 2399942
Wee jidai ni bingwa wa kuhonga, utaishia kusifiwa tu, ukigeuza sura wanakung'ong'a
Nasikia kuna waziri kaenda nje kuomba msaada wa kuchukukua kiti cha mtezi wake. Kasema ChalamilaHii ina harufu ya kukomoana kati ya mitandao ya urais kuelekea 2025
Lisemwalo lipo kaka.. Kila jambo lilianza kama tetesiNasikia kuna waziri kaenda nje kuomba msaada wa kuchukukua kiti cha mtezi wake. Kasema Chalamila
Nasikia kuna waziri kaenda nje kuomba msaada wa kuHii ina harufu ya kukomoana kati ya mitandao ya urais kuelekea 2025