Ukweli mtamu ila mchungu kwenye mahusiano

Ukweli mtamu ila mchungu kwenye mahusiano

1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke

2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..

3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ...

4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu ...nyash ... siku zote wanataka kuolewa na wanaume wenye pesa

5.Wanaume wenye pesa siku zote huchukilia mapenzi kama mchezo TU.

6.Waliozama katika dimbwi la mapenzi watapuuza haya adi watapokuja kupigwa tukio.... shauri lao
#7. Utamu wa mapenzi huzidi maradufu kutoka kwa mwanamke aliyekusotesha sana kumpata.
 
Kosa kubwa mwanaume utakalofanya ni kumpenda mwanamke mmoja ! Na kuweka hisia zako kwa mwanamke mmoja, jitahidi ubalance uwe na faraja zaidi ya moja tena kwa usawa na ukihisi kuna mwanamke unampenda Sana jitahidi kupunguza upendo hata kwa visa ili akija kustuka kumbe ulishamwacha kitambo
kwahiyo hivi ndio unamfundisha mume wa dada yako?
 
Kanuni ni zilezile;
  1. Ukiwa kwenye uhusiano, jua saa yoyote linaweza kutokea lolote
  2. Usiwe serious sana, penda kwa kiasi
  3. Muda wowote kuwa na passive replacement (wa kumpandisha kutoka friendzone kuwa lover)
Ata uingie na style gani kuachwa ni constant 😂mkuu
 
Back
Top Bottom