Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Ndio mkuu, ila mimi sipendi kuach. Aniache mwenyewe
Sitaki zile lawama umenichezea ukaniacha
Wangapi wamemchezea? Kwani ulimkuta bikira?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu, ila mimi sipendi kuach. Aniache mwenyewe
Sitaki zile lawama umenichezea ukaniacha
Unataka kumpandikiza kijana chukiWangapi wamemchezea? Kwani ulimkuta bikira?
Hahaha,Wangapi wamemchezea? Kwani ulimkuta bikira?
Mix by nyashi1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke
2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..
3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ...
4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu ...nyash ... siku zote wanataka kuolewa na wanaume wenye pesa
5.Wanaume wenye pesa siku zote huchukilia mapenzi kama mchezo TU.
6.Waliozama katika dimbwi la mapenzi watapuuza haya adi watapokuja kupigwa tukio.... shauri lao
Nakazia hapaKosa kubwa mwanaume utakalofanya ni kumpenda mwanamke mmoja ! Na kuweka hisia zako kwa mwanamke mmoja, jitahidi ubalance uwe na faraja zaidi ya moja tena kwa usawa na ukihisi kuna mwanamke unampenda Sana jitahidi kupunguza upendo hata kwa visa ili akija kustuka kumbe ulishamwacha kitambo