Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
- Thread starter
- #21
Utapata Kuna mtu anataka kusettle😅jinga kabisaHua tunasema kaa kijanja Linda wako moyo na zako hisia , utakuja kushukuru kuwepo duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapata Kuna mtu anataka kusettle😅jinga kabisaHua tunasema kaa kijanja Linda wako moyo na zako hisia , utakuja kushukuru kuwepo duniani
COMMENT BORA YA KUFUNGIA MWAKA...All in all, focus on money, foods and hobbies love is a scam
Usettle kwa mwanamke ili iweje wewe siku ya kwanza mnaonana moyoni hesabu huyu nimepita tayari, akianza visa ushaondoka kitambo unamwachia maumivu kidogo aishi nayo awe anakukumbuka Tu , hakuna muda wa kuwekeza kwa mtu uliyemuona ukubwaniUtapata Kuna mtu anataka kusettle😅jinga kabisa
Huwezi kukimbia uhalisia wewe😅Fuuck love
Mmepitia mengi huku nje😅turudini kwa Mungu sasaUsettle kwa mwanamke ili iweje wewe siku ya kwanza mnaonana moyoni hesabu huyu nimepita tayari, akianza visa ushaondoka kitambo unamwachia maumivu kidogo aishi nayo awe anakukumbuka Tu , hakuna muda wa kuwekeza kwa mtu uliyemuona ukubwani
Well said.1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke
2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..
3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ...
4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu ...nyash ... siku zote wanataka kuolewa na wanaume wenye pesa
5.Wanaume wenye pesa siku zote huchukilia mapenzi kama mchezo TU.
6.Waliozama katika dimbwi la mapenzi watapuuza haya adi watapokuja kupigwa tukio.... shauri lao
Ata ulinde hisia kupigwa tukio kupo pale paleHua tunasema kaa kijanja Linda wako moyo na zako hisia , utakuja kushukuru kuwepo duniani
Maneno mujaraab kabisa haya.Usiwekeze maarifa yako yote, muda, fedha na Mali kwa mwanamke mmoja likitokea jambo ndio utajua yeye ana akili au wewe ni kilaza
1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke
2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..
3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ...
4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu ...nyash ... siku zote wanataka kuolewa na wanaume wenye pesa
5.Wanaume wenye pesa siku zote huchukilia mapenzi kama mchezo TU.
6.Waliozama katika dimbwi la mapenzi watapuuza haya adi watapokuja kupigwa tukio.... shauri lao
Katika uongo mkubwa ni hiyo kauli.1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke
2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..
3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ...
4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu ...nyash ... siku zote wanataka kuolewa na wanaume wenye pesa
5.Wanaume wenye pesa siku zote huchukilia mapenzi kama mchezo TU.
6.Waliozama katika dimbwi la mapenzi watapuuza haya adi watapokuja kupigwa tukio.... shauri lao
M akikambia hawezi kuishi bila ww kaa nae mita miaKatika uongo mkubwa ni hiyo kauli.
"Siwezi ishi bila wewe" ni utapeli.
Noma sana mkuuHyo nmba nane ni noma
Umekopi mahali nimeiona hii 😅😅😅😅1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke
2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..
3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ...
4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu ...nyash ... siku zote wanataka kuolewa na wanaume wenye pesa
5.Wanaume wenye pesa siku zote huchukilia mapenzi kama mchezo TU.
6.Waliozama katika dimbwi la mapenzi watapuuza haya adi watapokuja kupigwa tukio.... shauri lao
Nipitie, Twende huko,,,,,,,,!! Ni wapi?Mmepitia mengi huku nje😅turudini kwa Mungu sasa
Wacha umbea 😅ntakuchoma visuUmekopi mahali nimeiona hii 😅😅😅😅
We sasa njoo tuyajengeNipitie, Twende huko,,,,,,,,!! Ni wapi?
Basi mkuu🤣🤣🤣👐👐👐Wacha umbea 😅ntakuchoma visu
Nakuja 🏃🏿♂️➡️,,,,,,,,,,,,,,We sasa njoo tuyajenge