Ukweli mtupu: Hayati Magufuli atakumbukwa tu by any means necessary. Bila uthubutu wake haya yasingetokea

Ukweli mtupu: Hayati Magufuli atakumbukwa tu by any means necessary. Bila uthubutu wake haya yasingetokea

Sasa kama atakumbukwa mbona unalazimisha kila siku kwa kumuanzishia uzi?
Nchi inasonga mbele, marais wote tutawakumbuka, ila hakuna special zaidi ya baba wa taifa
Mwendazake atakumbukwa zaidi kwa Mabaya aliyotenda tu
 
Jiwe alikua fisadi kubwa bn89 ya shilling marekebisho tu ya meri moja tu, wakati I kuangiza na ku assemble meri mpya ni btn bn 120 hadi 200, kualikua na umuhimu gani wa kutumia hicho kiasi chote cha pesa wakati tayari kuna meri mbili zinazo enda bukoba na ukulewa hata kujaa hazijae, hiyo pesa angeiweka kwenye afya bkb kungekua na hospitali kubwa kama ya bugando mwz.
Meri ndiyo nini?au unamahanisha merichrisimasi.
 
Jiwe alikua fisadi kubwa bn89 ya shilling marekebisho tu ya meri moja tu, wakati I kuangiza na ku assemble meri mpya ni btn bn 120 hadi 200, kualikua na umuhimu gani wa kutumia hicho kiasi chote cha pesa wakati tayari kuna meri mbili zinazo enda bukoba na ukulewa hata kujaa hazijae, hiyo pesa angeiweka kwenye afya bkb kungekua na hospitali kubwa kama ya bugando mwz.
Acha ushamba ww hio ni meli mpya imekua assembled na si marekebisho km unavyoota..na km uzushi wako kua ku assemble ni kati ya 120 na 200 na yy kaifanya kwa b89 huoni ka save zaidi ya b30?
nway next time uwe unasoma kuelewa sio kusoma kujibishana....
unaonekana mweupe sana kichwani, kuandika tu kunakupa shida kuchambua mambo na kujenga hoja utaweza kweli?
 
Back
Top Bottom