Ukweli ni kwamba ACT wazalendo wamemtendea vyema kiongozi aliyetekwa kuliko CHADEMA kwa wafuasi wao

Ukweli ni kwamba ACT wazalendo wamemtendea vyema kiongozi aliyetekwa kuliko CHADEMA kwa wafuasi wao

Huo ndyo ukweli.chadema ni wazembe kwa wafuasi wao wanaotekma
 
Kwani chadema hawatoi info?? Ni vile tu hazifanyiwi kazi. Hata hizo info nikweli nzuri ila hazitafanyiwa kazi.
Chadema wanaongeza na matamko nisahihi kukemea hakuna kurembaremba. Wanajua wanachokifanya watekaji
 
Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao

CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
Washampata? Dah sijui chadema wamekukosa nini?
 
Kamanda Sirro alisema wanansubili Lissu arudi kutoka Ubelgiji wamhoji ili waanze uchunguzi wa tukio la jaribio la kumuuwa lililotokea kwenye makazi ya viongozi area D. Sehemu yenye ulinzi masaa 24 ila siku ya tukio walinzi hawakuwepo.
 
Yaweza kuwa drama tu ili kuonyesha wenye mashaka kuwa na wao ACT ambao kimsingi ni ccm-B huwa wanatekwa
 
Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao

CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .

Kama kawaida yenu mna laumu watekwaji badala ya kuongelea watekaji. Yaani wewe imekuwa kama msukule
 
Back
Top Bottom