Ukweli ni kwamba ACT wazalendo wamemtendea vyema kiongozi aliyetekwa kuliko CHADEMA kwa wafuasi wao

Ukweli ni kwamba ACT wazalendo wamemtendea vyema kiongozi aliyetekwa kuliko CHADEMA kwa wafuasi wao

Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao

CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
UWT sahivi mmeambiwa mjiunge kwenye vikundi maza ataanza kutoa mikopo kwa UWT wote
 
Hakuna umoja upinzani na hauwezi kukubalika kuwa na umoja wakati wangine wakifurahia ushindi wa kiti kimoja tena kwa kupika ubwabwa kabisa.

Unawezaje kuwa na umoja wakati wengine wanakubali matokeo na wengine wanapinga?

Kuna waliopo upinzani kama mapandikizi ya chama tawala
90% ni mapandikizi
 
Kamanda Sirro alisema wanansubili Lissu arudi kutoka Ubelgiji wamhoji ili waanze uchunguzi wa tukio la jaribio la kumuuwa lililotokea kwenye makazi ya viongozi area D. Sehemu yenye ulinzi masaa 24 ila siku ya tukio walinzi hawakuwepo.
Na kabla ya tukio zilitolewa info za wanaomfuatilia lisu. Gari na plate namba. Sijui anazungumza nini huyu bwana km haelewi yanayoendelea nchini
 
Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao

CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
Wafuasi wengi wa CHADEMA wanajiteka ndo maana chama kinashindwa kutoa taarifa sahihi za utekwaji.
 
Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao

CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
Hii ni kutumia utekaji kuwagombanisha watu, labda wanaofanya hivyo ni wahusika wa utekaji huo.
 
Back
Top Bottom