Ukweli ni kwamba ACT wazalendo wamemtendea vyema kiongozi aliyetekwa kuliko CHADEMA kwa wafuasi wao

Ukweli ni kwamba ACT wazalendo wamemtendea vyema kiongozi aliyetekwa kuliko CHADEMA kwa wafuasi wao

Sema bado natafakari sana moyo aliokuwa nao Millard Ayo kupost habari za Nondo leo.
Na jeshi la police..
IMG-20241201-WA0068.jpg
 
Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao

CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
We ni mwehu.
Chadema waliwataha hadi wahusika wakuu ktk utekaji na wahusika wapo mitaani wanaendelea kuteka
 
Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao

CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
Nadhani si vema kutumia matukio mabaya kama haya kuanza kuziweka taasisi kwenye mizani, kwani kwa kiasi fulani inapoteza ule umoja wa asili wa kukimbiliana wakati wa majanga.

Na wakati mwingine inaweza hata kuchochea fikra za huenda hili lilitokea kwa lengo la kupata mwanya wa kuiweka kwenye mizani taasisi ambayo imekumbwa zaidi na madhira haya.

Binafsi, nadhani haikuwa sawa kuleta hoja hii mkuu.

Ova
 
Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao

CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
wamezitoa taarifa hizo muhimu wap? na hao wengine waliwahi kuchelewa kutoa taarifa kama hizo lini?🐒
 
Una matatizo ya akili bila shaka.
yaani unataka kushindanisha jinsi ya kufatilia utekaji wa watu kivyama.kama kwamba kutekwa ni jambo zuri?
suala sio nani anafuatlia vizuri kutekwa kwa watu wake.suala kwanini watu watekwe na kwa FAIDA ya nani?
 
CHADEMA wanatekwa kila siku na ujue chadema ni dude kubwa lililotapakaa nchi nzima ! Nondo ni kiongozi wa kitaifa wa act chama rafiki na ccm chadema viongozi wao mpaka vijijini wanatekwa na kuuwawa kwahiyo usifananishe act na dude kubwa kama chadema.
 
Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao

CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
Wapinzani wenyewe kwa wenyewe mnaanza kurushiana vijembe badala ya kuwa wamoja kipindi kama hiki, hapo kutoboa ni ndoto.
 
Kwa waha hata ndumba inatumika, kwanza wanamuona kwenye CCTV za asili kuanzia mwanzo mwisho, halafu wanatoa ultimatum kabla ya kuanza kuvurumisha makombora-RPG za asili dhidi ya waliohusika na familia zao, wanatungua mmoja mmoja
 
Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao

CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
Wamempambania sana , Chadema wanachoweza NJ Kuandika vi hashtag eti free somebody basi
 
Wapinzani wenyewe kwa wenyewe mnaanza kurushiana vijembe badala ya kuwa wamoja kipindi kama hiki, hapo kutoboa ni ndoto.
Hakuna umoja upinzani na hauwezi kukubalika kuwa na umoja wakati wangine wakifurahia ushindi wa kiti kimoja tena kwa kupika ubwabwa kabisa.

Unawezaje kuwa na umoja wakati wengine wanakubali matokeo na wengine wanapinga?

Kuna waliopo upinzani kama mapandikizi ya chama tawala
 
Back
Top Bottom