Washampata? Dah sijui chadema wamekukosa nini?Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao
CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
Unakubali kitu gani?Haya
tawi la mwandiga au chakechake?ACT ni tawi la CCM pengine hata hili ni drama tu, Watekaji wameacha begi na pingu
Mungu akusamehe na omba yasikukuteNdani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao
CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao
CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .