Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
UWT sahivi mmeambiwa mjiunge kwenye vikundi maza ataanza kutoa mikopo kwa UWT woteNdani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao
CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
90% ni mapandikiziHakuna umoja upinzani na hauwezi kukubalika kuwa na umoja wakati wangine wakifurahia ushindi wa kiti kimoja tena kwa kupika ubwabwa kabisa.
Unawezaje kuwa na umoja wakati wengine wanakubali matokeo na wengine wanapinga?
Kuna waliopo upinzani kama mapandikizi ya chama tawala
Kuna kitu hakiko sawa kwenye tukio la jana kwa sababu hata mpuuzi Kawaida kaandika kwa busara kitu ambacho sio kawaida.Na jeshi la police..View attachment 3166897
Na kabla ya tukio zilitolewa info za wanaomfuatilia lisu. Gari na plate namba. Sijui anazungumza nini huyu bwana km haelewi yanayoendelea nchiniKamanda Sirro alisema wanansubili Lissu arudi kutoka Ubelgiji wamhoji ili waanze uchunguzi wa tukio la jaribio la kumuuwa lililotokea kwenye makazi ya viongozi area D. Sehemu yenye ulinzi masaa 24 ila siku ya tukio walinzi hawakuwepo.
Wafuasi wengi wa CHADEMA wanajiteka ndo maana chama kinashindwa kutoa taarifa sahihi za utekwaji.Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao
CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
Yaani umeamini hiki alichosema?Hii ni ukweli mchungu
Ni comedy ya kuwasahaulisha watu uchaguzi feki wa serikali za mitaaHi ya nondo Ni comedy ipo siku mtajua
Hii ni kutumia utekaji kuwagombanisha watu, labda wanaofanya hivyo ni wahusika wa utekaji huo.Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao
CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
Uko sahihiUWT sahivi mmeambiwa mjiunge kwenye vikundi maza ataanza kutoa mikopo kwa UWT wote
Nadhani Lucas Mwashambwa ana taarifa sahihiUko sahihi
🤣🤣🤣Nadhani Lucas Mwashambwa ana taarifa sahihi
Mtu muhimu sn ndani ya UWT