Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #281
Anyway asilimia tisini walisoma Kwa mkopo kada ya ualimu wengi wametokea Familia masikini hivyo wanategemea mkopo. Fanya vyovyote ila kama hadaiwi loan board basi take home ni laki Sita. Na huyo wa tgts d3 ni sayansi wa art ni tgts 1 pesa Yao take home ni ndogoAliyekwambia walimu wote wamesomeshwa na Loan Board au wana Makato ya benki ni nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Bagale lako la million Tatu la chumba na sebule tayari umeanza kejeli. Usimdharau usiemjua bwege weweKm Yupo bodaboda aliyenizidi kipato aje inbox .....
Pia Kuna bodaboda wana pikipiki zaidi ya Tatu wamegawa nawanaletewa hesabuwateja wakubwa wa hao bodaboda ni walimu vip kuhusu walimu wenye boda boda zao wanaletewa pesa kwa kutwa huku wakidaka mishaara?
Iyo ni basic. Hapo makato yake unabaki na dola mia TatuWew ni mwalimu au unaleta upumbavu tu hapa....
Tgts D ni 756k
Tgts E 990k
Tgts F ni 1250k
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe dogo huna Cha kunizidi hata ukijumuika na bodaboda wenzio....Bagale lako la million Tatu la chumba na sebule tayari umeanza kejeli. Usimdharau usiemjua bwege wewe
Au una ndugu yako mwalimu ana mshahara wa laki tatu? Kama yupo mwambie akasome apayte kshahara kadogo hadi mil 2 kwa mwrziSio rahisi million 2 ya kununua bodaboda ticha atainyea wp
Ndugu mbona unakuwa kama hazimo. Nani kakudanganya madaraja yanapanda tu kama mountaineer. Unapanda daraja baada ya miaka mitano. Mwalimu aliyeanza na tgts D1 baada ya miaka kumi anakuwa F nahapo kama atakizi sifa za kupandishwa daraja maana wengine wana makosa ya kinidhamu. Hata hivyo mbona unakimbilia degree tu kwani wa certificate in primary education sio walimu. Mwalimu wa certificate shule ya msingi anapewa laki Tatu na sabini take home. Sasa Kwa mshahara huu sibora niwe muokota makopo tuD ni 4 yrs
E ni 3yrs
Kwaiyo mwalimu aliyekaaa kazini miaka 7 anakuwaa amefika F ww unaongele umri wa kustaafu hapa.....Haya mambo unayajua lakini au wewe ni bodaboda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwalimu yoyote yule wa sekondari au primary au wakufunzi wa vyuo vya Kati wanalipwa million mbili take homeAu una ndugu yako mwalimu ana mshahara wa laki tatu? Kama yupo mwambie akasome apayte kshahara kadogo hadi mil 2 kwa mwrzi
Tuishie hapaHata wewe dogo huna Cha kunizidi hata ukijumuika na bodaboda wenzio....
Yawezekana lakini hebu ngoja....Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.
Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Hebu nenda pale International School of Tanganyika afu urudi hapa kufuta kauli yako....Hakuna mwalimu yoyote yule wa sekondari au primary au wakufunzi wa vyuo vya Kati wanalipwa million mbili take home
Pole sana,nakuhurumia kwa sababu unakaririHakuna mwalimu yoyote yule wa sekondari au primary au wakufunzi wa vyuo vya Kati wanalipwa million mbili take home
Mmiliki wa bodaboda na dereva wa bodaboda ni watu wawili tofauti kabisa.Alaf kitu unatakiwa kujua walim ndio wana pik pik na ndio sehem kubwa Hao boda boda upata ajira za mikataba huko
Unaongea kiwepesi sana haujawahi kuifanya hiyo biashara kichaa ya bodabodaKiuhalisia bodaboda unaweza jiwekea pension na kujikatia bima ya afya.
Ni vile hawana muamko wa kufuatilia hayo mambo.
Kwahiyo kuwa na nyumba, ni kipimo cha utajir au nini ?Tanzania hakuna bodaboda aliyejenga nyumba ya kisasa
Ila wapo wanao panga za angalau vyumba viwili akijitahid 3
Mwishooooooooo
Kifupi ni watu wa mageton
Nimegungua mkuu wewe ni mwalimu umejaribubkutumia njia hii ya uwasilishaji.Khabisa ili iwaongezee mshahara walimu, wanaishi kama mambwa
Kifupi mwalimu na mshahara mdg anafanya mambo makubwa.. asilimia kubwa watoto wa walimu wanasoma shule Bora nchini.Kipimo cha hoja yako yamkini ni dhaifu sana,hatuwezi kupima nani anazidi kipato mwingine kwa kuhesabu nani anapata pesa nyingi kwa mwezi....ila tunaweza kuangalia mambo anayofanya kwa kutumia pesa mfano kujenga, kulima, kufuga, biashara, usafiri, kusomesha, family standard nk....hapo si rahisi bodaboda kumkuta mwalimu labda atakuwa mwalimu wa enzi za kale lakini kwa sasa walimu si viwango vya bodaboda......