jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Idara gani hawakopi?Akiingia kwenye mamikopo tu kwisha habari yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idara gani hawakopi?Akiingia kwenye mamikopo tu kwisha habari yake
Labda kama ww peke yako ndio dereva wa bodaboda tuna vijana tumewapa hizo bodaboda kwenye maeneo tofauti nchi hii.Kitu km hujui/huna experience nacho,nivema ukae kimyaaaaa itaficha ujinga ulonao.tulia usome comment tu ndugu...zitakusaidia kufungua ulimwengu usioujua
Ndo hoja yako?Ficha ujinga wako
Kujenga sio shida ni aina gani ya ujenzi?Sio kweli. Mbagala asilimia kubwa huko ndowamejenga
Hongera ila kikubwa umeelewa kakaKiswahili sijafundishwa na mwalimu mm
Yani mwalimu anifundishe mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo uone watu wanalia heka 200 huku mpungaSio kweli abadani
Idara gani hawana makato ya loan board au makato ya selikalUkitoa makato na loan board unabaki na laki tano
Na hiyo nyingine ni m6 au siyo ?Tangu lini milion 7 ikawa na sifuri 5?
Mafanikio hayoKwahiyo kuwa na nyumba, ni kipimo cha utajir au nini ?
Mafanikio pia ndo utajirKwahiyo kuwa na nyumba, ni kipimo cha utajir au nini ?
Umeandika nini hapo ?Laki saba ndonanatamba
Parefu kiasi gani? Lakini pia risk na mazingira ya kazi Ni tofauti sana.Hayo ya matumizi hata walimu walevi na Malaya wapo ila bodaboda Kwa mwezi anapiga parefu
Hauwezi kupata hata wa kwenye Miji Mikjbwa wakijitahidi kuanzia asubuh Hadi usiku ndio 30,000 ila huku mwingine huwa wanapata 10,000-15,000 in most cases..Mshakaa na boda boda mkawauliza? Mtafute bodaboda muulize kama hiyo 50elfu anapata kwa siku.
Zamani bodaboda walipiga pesa si siku hizi, mtaani vijana wanalalama.
Yaani awe ameshakula, ameweka mafuta, apeleke hesabu kwa bosi kisha abakiwe na 50 elfu 😂
Siku hizi akitoa hesabu, mafuta, na kula yake kuipata 15 tu kazi.
Nina kama mdogo wangu ambae hapo awali alishaendesha pikipiki zangu kabla ya kuachana na hii biashara kichaa.
Sijui mapato ya walimu ila nawajua bodaboda kiasi chake.
Kwa Tanzania hapa salary ya kuanzia 600k unaishi vizuri na change ya 150-200k una sevu..Kama boda boda pikipiki ni yake anamzidi . Sababu wastani hapo ni kama 16,000/ kwa siku. Mi Namjua dereva mmoja wa boda ya mkaa analipa kila siiku 15, kwa boss wake nae anapata ya kula na kuishi. Hata wanao uza maji tu wana hela ndefu kwa siku. Mwalimu anajazia tuiton na vi semina vinginevyo ananufaika na bima ya afya na pesheni akistaafu lakini kula nyama tu kwenye bucha inabidi achungulie mfukoni sababu kg1 ni 9000/= bila viungo shida sana ajira jamani. labda awe na mshahara wa laki 8 mbele hukoo
Hakuna kitu Kama hicho,boda Wana maisha magumu hatariUko sawa, walimu waache kazi wakapige bodaboda ambayo kwa siku wataingiza elfi 50 hadi 60!!!!
Umetisha mpwayungu. Mwalimu aliyekuchapa ataipata, na siku ukipata mwanya utamtoa Uhai!
Labda DarKuna bodaboda wana vichwa vyao vya asubuhi na jioni yani go and return. Unakuta anapoamka tu saa kumi na moja ana vichwa vyake kumi vya kila siku kuwapeleka na kuwarudisha kutoka kazini. Tufanye kila kichwa ni buku nne yani kwenda buku mbili kurudi buku mbili hapo sijapiga hesabu wa buku tano nawale wakudaka njiani na kijiweni
kwa hiyo boda akisev hiyo pesa anaweza nunua pkpk 3 walau kwa mwaka? hahaahahaa,,,bodaboda siku hizi ni nyingi mno 15k inapatikana kwa shida na kama ingekuwa kweli wanapata 50k per day nafikiri kusingekuwa na tatizo la ajira tz na Africa kwa ujumlaHii ndio point watu wengi hatuna nidhan ya pesa kama inaingia kidogo kidogo kwa siku tunashindwa ku manage ndipo wanapokwama wengi hapa wanao hustle nje ya ajira sio boda tu..
Mtu deile anaingiza efu 30 net kwa kuwa deile ipo anapiga bia, anagongea wake za watu by the of the month saving haifiki laki tano...
Na mademu wanalijua hili ndio mana wanashobokea boda boda pesa ipo...
Ukikuta boda anajielewa anakua na maendeleo sana anakua anacheza ligi moja na wanaolamba net 1.5 milion kwa mwezi
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app