trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Hela ya bodaboda ni kama ina mapepo vile, anaweza akawa na hela ila bila sababu asiipeleke kwa boss. Nina rafiki yangu bodaboda yeye kupeleka hela kwa boss ni eidha afatwe kijiweni au alazimishwe sana au asikie anatafutwa na boss na sio kwamba anakuwa hana anayo ila hajisikii kupeleka peaceful.Ukitaka kujua hao bada wako wamekupa figa zsizo za ukwel nunua pikpki mpya mpe boda mmoja unaeamn n mpambanaj mwambie kila siku akuletee 10000 kwa muda wa miez 15 pikpk inakua yake uone ataishia mwez wa ngap akikuletea iyo ten ten
Kuna kipindi aliumwa siku 4 hajafanya kazi nikamuuliza sasa utamlipaje hesabu hiyo akasema hii chap leo napiga kazi nitaipata na kweli jioni kaja kujificha sehemu yangu ya kazi( karibu na kijiwe chao) ili boss asimwone na hapo mfukoni hela anayo yote 40000, sio kwamba hawapati hela ila wanahisi kumpelekea boss ni kama anampa bure labda.
Sent using Jamii Forums mobile app