Ukweli ni kwamba CCM haina Mgombea Urais 2025, ndio chanzo cha kulogana na kuchafuana

"Ikulu yetu" Hiyo sentensi duni umepata wapi nguvu ya kuiweka hapa , ikulu yenu wewe na nani ?

Ni hivi , Watakaoipa Ikulu Chadema ni wananchi wenyewe wenye nchi , siyo kikundi cha watu 1000 , Kwa mujibu wa Chadema Digital , Chadema ina wanachama hai mil 15 Nchi nzima , achilia mbali wafuasi wengine wasio na Kadi

Inauma sana lakini ndio hivyo , hutaki unaacha , Nothing lasts longer
 
Hueleweki kama unalia au unalalamika
 
Mtu yeyeote atakae pewa jukumu la kupeperusha bendera ya CCM uchaguzi mkuu 2025, atashinda kwa kishindo kuliko mgombea urasi yeyote kuwahi kutokea Tanzania.

Mgombea urasi wa CCM lazima awe mzalendo mwenywe weledi katika kazi, mahiri katika utendaji, muadilifu na makini katika kutekeleza ilani na majukumu ya urasi na anae kubalika na Wananchi wote ikiwa ni pamoya na watoa taarifa waliogawanyika na wasio elewana wala kuwa na dira wala uelekeo....
 
Usijipe utukufu kiasi hichi kuwa chama kitabaki milele tawala kubwa kama rumi zilizokuwa na nguvu lakini ziliangushwa
CCM kuendelea kubaki Madarakani au "Kushinda Uchaguzi Mkuu" kamwe HAITEGEMEI kupigiwa Kura na mtu yoyote yule katika nchi hii ya Tanzania.
Siku zote weka akilini mwako suala
 
Shughulikieni yenu
Mnawapa sisiem promo nyingi
Hivi chadema nani aliwaloga?
sisiem left right n center waacheni wafanye yao

Hamjui ni kiasi gani mnawapa hawa watu promo ya bure
Ni sawa na kumsukuma mlevi lakini kuna siku mlevi huyu atafika

Hamsomi alama za nyakati
 
Upo sahihi kabisa, presidential material hakuna kwa nchi hii saivi. Kidogo Bwana Mwinyi wa Zanzibar anaweza akajaribu.
 
NJOZI ZA AJABU KABISA HIZI, CCM HAINA HAJA NA KAMPENI, MH, SAMIA HATA BILA KUZUNGUKA NA KAMPENI AMESHASHINDA MAPEMA KABISA, ISPOKUWA KUNA MABADILIKO YA AJABU AJABU YANATOKEA HUENDA YAKAIGHARIMU CCM, UMAKINI UNAHITAJIKA HASA KIPINDI HIKI, KINANA ANAJUFAHAMU KILA KITU,AND HE KNOW WELL HOW TO RESCUE!, PLS TUNAOMBA ASIINGILIWE KATIKA MAAMUZI YAKE!
 
Kwa kuwa hatuna choyo,hata iwapo P akaunga juhudi na kukidhi vigezo ataweza pandishwa jukwaani kwa bendera ya chama kikubwa ,chama makini,chana chaukumbozi dhidi ya wanakijani wasiowajali watanzania bendera pendwa ya CHADEMA
 
2025 , ccm nje, aya maneno ya kujifariji kwamba hakuna chama cha kupewa, ikulu anaweza lizungumza mwenda wazim tu, kama hakuna chama nje ya ccm why huwa mnakwapua kura , safari mtashangaa sana uchaguzi ukifanyika 2025,

Leteni mchezo kwamba ni ileole ya kila siku, hata Zambia watawala na wapambe wao walikua na maneno ya kejeli hata kuzidi ya kwenu , kikowapi
 


Kiherehere huachi tu, Mbowe anakulipa kila siku unakesha humu
 
Sio kweli CCM ina hazina kubwa sana ya viongozi, kama wakiamua kuwatumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…