Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
Unataka niandike mengine ya chuo kikuu Muhimbili ?Hicho ndio kipimo pekee cha kukosa uzalendo?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka niandike mengine ya chuo kikuu Muhimbili ?Hicho ndio kipimo pekee cha kukosa uzalendo?!
Mamaangu alishakufa kitambo kama utaniruhusu basi nimuambie Shangazi , yeye bado hajafawe kweli bwege, mwambie mamako agombee.
Swadakta
Kwa hiyo yule Tembo kaamua kukutuma useme anachoamini?Huu ndio Ukweli unaofichwa , huyu aliyepo hana uwezo wa kupambana Jukwaani (Chama chake kinajua) , hata hivyo alishawahi kukiri mwenyewe hadharani , ikaandikwa na gazeti la Chama chake , ili kuondoa Taharuki ikakanushwa , hata hivyo awali ni awali , na wala hakuna awali mbaya , sisi tumeshika lile neno la mwanzo tu .
Baada ya Makada kutambua kwamba nafasi ya Urais ya Chama chao iko wazi wameanza kuparurana , unaambiwa hali ni mbaya kiasi cha kufikia kulogana , Yale aliyoyasema Kikwete kwamba wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani yamerejea kwa kishindo .
Lakini katika hawa wanaccm mnaowaona leo yuko hata mwenye uwezo wa kuwa Rais wa Nchi ? Watoto wa viongozi waliotegemewa kupewa nafasi hiyo kama Urithi wa Wazazi wao wote wameboronga , hawavutii na hawatamaniki , watu wameshika mafaili yao zikiwemo idadi za nyumba zao ndogo za kimagumashi , wakthubutu kutangaza nia tu Mkeka unaanikwa ! hakuna hata mmoja wao anayeweza kupambana na Wapinzani Jukwaani , Ni nani atayeweza kupangua hoja za Chadema Majukwaani ?
Taarifa zinadokeza kwamba hata matumizi ya dola ili kuibeba ccm hata kwa wizi yamefifia mno , hii ni kwa sababu mashinikizo ya watoa hela kutoka Ulaya na Marekani kutaka Wakurugenzi wa Halmashauri na Polisi wasiguse karatasi ya kura ni makubwa mno na yanamaanisha hasa ( Mbeleko imetoboka )
Hali ni mbaya kuliko mnavyofahamu , muda si mrefu mtaanza kusikia makubwa zaidi
Tuendelee kutega sikio
View attachment 2830279
CCM hawategemei sanduku la kura, sanduku lao la kura ni TISS na Police, hizi mbeleko zikikatwa, kesho asubuhi tu hawapo.Huu ndio Ukweli unaofichwa , huyu aliyepo hana uwezo wa kupambana Jukwaani (Chama chake kinajua) , hata hivyo alishawahi kukiri mwenyewe hadharani , ikaandikwa na gazeti la Chama chake , ili kuondoa Taharuki ikakanushwa , hata hivyo awali ni awali , na wala hakuna awali mbaya , sisi tumeshika lile neno la mwanzo tu .
Baada ya Makada kutambua kwamba nafasi ya Urais ya Chama chao iko wazi wameanza kuparurana , unaambiwa hali ni mbaya kiasi cha kufikia kulogana , Yale aliyoyasema Kikwete kwamba wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani yamerejea kwa kishindo .
Lakini katika hawa wanaccm mnaowaona leo yuko hata mwenye uwezo wa kuwa Rais wa Nchi ? Watoto wa viongozi waliotegemewa kupewa nafasi hiyo kama Urithi wa Wazazi wao wote wameboronga , hawavutii na hawatamaniki , watu wameshika mafaili yao zikiwemo idadi za nyumba zao ndogo za kimagumashi , wakthubutu kutangaza nia tu Mkeka unaanikwa ! hakuna hata mmoja wao anayeweza kupambana na Wapinzani Jukwaani , Ni nani atayeweza kupangua hoja za Chadema Majukwaani ?
Taarifa zinadokeza kwamba hata matumizi ya dola ili kuibeba ccm hata kwa wizi yamefifia mno , hii ni kwa sababu mashinikizo ya watoa hela kutoka Ulaya na Marekani kutaka Wakurugenzi wa Halmashauri na Polisi wasiguse karatasi ya kura ni makubwa mno na yanamaanisha hasa ( Mbeleko imetoboka )
Hali ni mbaya kuliko mnavyofahamu , muda si mrefu mtaanza kusikia makubwa zaidi
Tuendelee kutega sikio
View attachment 2830279
Hakika !..tatizo ni kwamba Ssh amepwaya ktk nafasi ya Raisi.
..hata jukumu dogo kabisa la Raisi na kufanya uteuzi kwa nafasi mbalimbali inaonekana kumshinda.
..alipoingia alisema falsafa yake ni "4R," lakini jambo la ajabu akaanza kuteua wasaidizi wasioendana na falsafa hiyo.
..labda nitoe mfano; Rais Mwinyi alipoingia madarakani aliamua kuachana na sera za dola kuhodhi uchumi. Katika teuzi zake aliteuliwa wasaidizi wanaoendana na sera hizo.
..kwa hiyo inaelekea Ssh anataka kuwa Raisi wa aina fulani, au kuna mambo anayoyaamini, lakini hajui namna ya kufikia malengo ya Uraisi wake.
Ndiyo ili hoja yako iwe na mashiko.Unataka niandike mengine ya chuo kikuu Muhimbili ?
Wanataka kumsimamisha Galasa Mbowe 😂Sasa Chadema mtakodisha wapi Wagombea?
Nchi itatikisikaNdiyo ili hoja yako iwe na mashiko.
Matusi na uchawi ndio nguzo ya kapukuWanataka kumsimamisha Galasa Mbowe 😂
Huna loloteNchi itatikisika
Waondoke tu tuijenge nchi yetu upyaHuu ndio Ukweli unaofichwa , huyu aliyepo hana uwezo wa kupambana Jukwaani (Chama chake kinajua) , hata hivyo alishawahi kukiri mwenyewe hadharani , ikaandikwa na gazeti la Chama chake , ili kuondoa Taharuki ikakanushwa , hata hivyo awali ni awali , na wala hakuna awali mbaya , sisi tumeshika lile neno la mwanzo tu .
Baada ya Makada kutambua kwamba nafasi ya Urais ya Chama chao iko wazi wameanza kuparurana , unaambiwa hali ni mbaya kiasi cha kufikia kulogana , Yale aliyoyasema Kikwete kwamba wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani yamerejea kwa kishindo .
Lakini katika hawa wanaccm mnaowaona leo yuko hata mwenye uwezo wa kuwa Rais wa Nchi ? Watoto wa viongozi waliotegemewa kupewa nafasi hiyo kama Urithi wa Wazazi wao wote wameboronga , hawavutii na hawatamaniki , watu wameshika mafaili yao zikiwemo idadi za nyumba zao ndogo za kimagumashi , wakthubutu kutangaza nia tu Mkeka unaanikwa ! hakuna hata mmoja wao anayeweza kupambana na Wapinzani Jukwaani , Ni nani atayeweza kupangua hoja za Chadema Majukwaani ?
Taarifa zinadokeza kwamba hata matumizi ya dola ili kuibeba ccm hata kwa wizi yamefifia mno , hii ni kwa sababu mashinikizo ya watoa hela kutoka Ulaya na Marekani kutaka Wakurugenzi wa Halmashauri na Polisi wasiguse karatasi ya kura ni makubwa mno na yanamaanisha hasa ( Mbeleko imetoboka )
Hali ni mbaya kuliko mnavyofahamu , muda si mrefu mtaanza kusikia makubwa zaidi
Tuendelee kutega sikio
View attachment 2830279
Chawa Bana??Sii kweli kuwa CCM haina mgombea wa urais 2025, mgombea urais wa JMT 2025 ni mmoja tuu, Samia, ila kufuatia hoja hii, anaweza akaomba kupumzika!, CCM kuna a pool of 100 able people wa kuchukua urais!.
Ila pia suppose usemayo ni kweli, kuna mtu gani Chadema wa kumpa Ikulu yetu, na hata chama, kuna chama gani cha kuipa ikulu yetu, na kama ni Chadema, ni Chadema ipi?
- Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
- Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
- CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015
- Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
Chadema bado sana!.
P
Umesahau kuweka namba ya simu,ni muhimu sana,huwezijua kuna viongozi mbalimbali wa CCM,wanaweza kupitia hapa,wakaona wakutunuku chochote kitu,kama siyo teuzi hata pesa pia.Kila la heri mpambanaji wa mlengo huo.Kwanza kabisa naamini hata wewe mwenyewe unafahamu kuwa ulichoandika ni uongo mtupu usio na ukweli wa aina yoyote ile.
Pili napenda kukwambia kuwa mgombea wa CCM Ni Rais Dkt Samia Suluhu Hasssan.huyo ndiye chaguo la wana CCM na kiu ya watanzania.hivyo ni lazima CCM iwapelekee Watanzania chaguo lao na hitaji lako ili kukata kiu yao kubwa waliyo nayo ya kuhitaji utumishi wa Rais samia kwa awamu nyingine tena ,baada ya kukoshwa na kuvutiwa na uchapa kazi wake uliotukuka uliyogusa maisha ya mamilioni ya watanzania na kuleta Tabasamu na matumaini katika mioyo ya watanzania.
Tatu ndani ya CCM Hakuna migogoro wala mivutano,.chama ni kimoja ,wana CCM Ni wamoja na sote tunasonga mbele kwa pamoja.ndio maana mambo yanakwenda na ilani Inaendelea kutekelezwa kwa kasi ya mshale.
Nne ni kuwa CHADEMA haina mtu wala kiongozi wala mgombea mwenye uwezo wa kushindana na Rais samia jukwaani na katika sanduku la kura. Ni nani kutoka CHADEMA mwenye ubavu wa kusimama na Rais samia?
CHADEMA ni saccos tu au mradi binafsi wa familia kujipatia kipato cha kuendeshea maisha na ndio maana mwaka 2015 mbowe aliamua akodishe chama chake hicho cha CHADEMA ili atunishe akaunti yake na hakumfanya chochote wala kumuhoji wala kuinua midomo yenu ,maana anawajua akili zenu ni kama manyumbu na hamna Chenu ndani ya Sacco's yake hiyo.
Kwaajili yako hiyo hiyo ya kuvukia barabara unafirikiri mtanzania yupi mwenye akili Timamu anayeweza wapa kura yake ya urais enyi wasaka tonge wa CHADEMA mnaofanya kazi ya kujaza matumbo yenu kwa Ruzuku za chama na michango ya walalahoi mliowafanya kama mahayawani?
Chama mmeshindwa kujenga hata ofisi? Mmeshindwa hata kumiliki Tv tu kwaajili ya kueneza sera zenu japo hamna? Sasa nani wa kuwapa kura yake? Si ni ninyi mlitafuna pesa za sabodo bila huruma? Zipo wapi pesa za join the chain? Zilipatikana kiasi gani? Zilifanya kazi gani?
Ninyi ni madalali wa kisiasa na mnaofanya ujasiriasiasa. Ndio maana kila senti utakayokatisha mbele ya chama Chenu lazima muilambe bila kuacha alama.
NinaloHuna lolote
Ahsante kamanda ingawa ninayo maswali machache kwakoHuu ndio Ukweli unaofichwa , huyu aliyepo hana uwezo wa kupambana Jukwaani (Chama chake kinajua) , hata hivyo alishawahi kukiri mwenyewe hadharani , ikaandikwa na gazeti la Chama chake , ili kuondoa Taharuki ikakanushwa , hata hivyo awali ni awali , na wala hakuna awali mbaya , sisi tumeshika lile neno la mwanzo tu .
Baada ya Makada kutambua kwamba nafasi ya Urais ya Chama chao iko wazi wameanza kuparurana , unaambiwa hali ni mbaya kiasi cha kufikia kulogana , Yale aliyoyasema Kikwete kwamba wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani yamerejea kwa kishindo .
Lakini katika hawa wanaccm mnaowaona leo yuko hata mwenye uwezo wa kuwa Rais wa Nchi ? Watoto wa viongozi waliotegemewa kupewa nafasi hiyo kama Urithi wa Wazazi wao wote wameboronga , hawavutii na hawatamaniki , watu wameshika mafaili yao zikiwemo idadi za nyumba zao ndogo za kimagumashi , wakthubutu kutangaza nia tu Mkeka unaanikwa ! hakuna hata mmoja wao anayeweza kupambana na Wapinzani Jukwaani , Ni nani atayeweza kupangua hoja za Chadema Majukwaani ?
Taarifa zinadokeza kwamba hata matumizi ya dola ili kuibeba ccm hata kwa wizi yamefifia mno , hii ni kwa sababu mashinikizo ya watoa hela kutoka Ulaya na Marekani kutaka Wakurugenzi wa Halmashauri na Polisi wasiguse karatasi ya kura ni makubwa mno na yanamaanisha hasa ( Mbeleko imetoboka )
Hali ni mbaya kuliko mnavyofahamu , muda si mrefu mtaanza kusikia makubwa zaidi
Tuendelee kutega sikio
View attachment 2830279
Acha kurusha mkojo.Upinzani mumekosa la kujadili.. mmeanza kudakia tena matukio.. 🤣🤣🤣
Kazi iendeleeee...