Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #81
Sera za ccm zimeshindwa kuondoa umasikini kwa zaidi ya miaka 60 , kwa hiyo ilani yao ni bomu .Ahsante kamanda ingawa ninayo maswali machache kwako
1.Hivi CCM inabidi kupangua hoja za CHADEMA au inabidi kujinadi na sera(ilani) zake ili kupata kupata ushindi?
2.Unasema CCM hamna mgombea wa mwaka 2025, je huko CHADEMA nani anaweza kugombea na kuchukua nchi?
KARIBU KAMANDA
Hoja za Chadema zimejikita kwenye kushindwa kwao na hawajawahi kuzijibu .
Mwisho , Chadema ina hazina ya Wagombea Magwiji wa Haki na ambao watasikiliza matakwa ya Wananchi na kuwaletea Katiba mpya kama watavyotaka wenye nchi ambao ni wananchi wenyewe , jambo hili ccm imeshindwa , inataka kuendesha nchi kwa matakwa ya kikundi chao (viongozi na familia zao) , Jambo hili halikubaliki popote