Ukweli ni kwamba CCM haina Mgombea Urais 2025, ndio chanzo cha kulogana na kuchafuana


..tatizo ni kwamba Ssh amepwaya ktk nafasi ya Raisi.

..hata jukumu dogo kabisa la Raisi na kufanya uteuzi kwa nafasi mbalimbali inaonekana kumshinda.

..alipoingia alisema falsafa yake ni "4R," lakini jambo la ajabu akaanza kuteua wasaidizi wasioendana na falsafa hiyo.


..labda nitoe mfano; Rais Mwinyi alipoingia madarakani aliamua kuachana na sera za dola kuhodhi uchumi. Katika teuzi zake aliteuliwa wasaidizi wanaoendana na sera hizo.

..kwa hiyo inaelekea Ssh anataka kuwa Raisi wa aina fulani, au kuna mambo anayoyaamini, lakini hajui namna ya kufikia malengo ya Uraisi wake.
 
Kwa hiyo yule Tembo kaamua kukutuma useme anachoamini?
 
CCM hawategemei sanduku la kura, sanduku lao la kura ni TISS na Police, hizi mbeleko zikikatwa, kesho asubuhi tu hawapo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakika !
 
Atapata Kwa kuombewa kura na makada kindakindaki majukwaani
 
Waondoke tu tuijenge nchi yetu upya
 
Chawa Bana??
 
Mbona mama yupo imara? anamalizia huu muda wa mpito mpaka 2025 kisha anaanza rasmi mihula yake miwili mpaka 2035 Mungu akijaalia. Na huenda watanzania wakaomba katiba ibadilishwe aongezewa angalau muhula mmoja. Mama chapa kazi. Tanzania ya kesho imeisha fika.

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Umesahau kuweka namba ya simu,ni muhimu sana,huwezijua kuna viongozi mbalimbali wa CCM,wanaweza kupitia hapa,wakaona wakutunuku chochote kitu,kama siyo teuzi hata pesa pia.Kila la heri mpambanaji wa mlengo huo.
 
Ahsante kamanda ingawa ninayo maswali machache kwako
1.Hivi CCM inabidi kupangua hoja za CHADEMA au inabidi kujinadi na sera(ilani) zake ili kupata kupata ushindi?
2.Unasema CCM hamna mgombea wa mwaka 2025, je huko CHADEMA nani anaweza kugombea na kuchukua nchi?
KARIBU KAMANDA
 
VP yuko wapi? Au tuandae nauli kwenda kigoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…