Ukweli ni kwamba CCM haina Mgombea Urais 2025, ndio chanzo cha kulogana na kuchafuana

Sera za ccm zimeshindwa kuondoa umasikini kwa zaidi ya miaka 60 , kwa hiyo ilani yao ni bomu .

Hoja za Chadema zimejikita kwenye kushindwa kwao na hawajawahi kuzijibu .

Mwisho , Chadema ina hazina ya Wagombea Magwiji wa Haki na ambao watasikiliza matakwa ya Wananchi na kuwaletea Katiba mpya kama watavyotaka wenye nchi ambao ni wananchi wenyewe , jambo hili ccm imeshindwa , inataka kuendesha nchi kwa matakwa ya kikundi chao (viongozi na familia zao) , Jambo hili halikubaliki popote
 
SOSIEMU NI [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90] TU
 
Kwenye kumchezea inabidi ufafanu3 maana rais wetu ni wa kike kwa sasa
 
Kama magufuli alikua rais(rahisi)nchi hii,nani anashindwa kua rais??hata wewe unaweza kua rais,sugu,msigwa,lisu,mbowe nk nk nk wako zaidi ya 1000.tusaidie tupate katiba mpya,tume huru ya uchaguzi na wakurugenzi wasisimamie uchaguzi.utakuja kunishukuru baadae
 
Hapa vipi?πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C0WxVTBIFB1/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…