True, ndio ilikuwa lengo. Alitaka kutawala milele. Tumempa nafasi akatawale huko kuzimu bila bugudha ya wapinzani.Nia na madhumuni ilikua ni kuhakikisha wale wabunge wa Chadema wenye itikadi kali hawarudi Bungeni. Mbowe, Msigwa, Heche, Lema, Sugu hawa wange kwamisha swala la kumuongezea Jembe kutoka Chato miaka saba ya nyongeza.
Nilishuhudia wazi wazi Bara na zanzibar. Magufuli kwa laana ile angevuka mwaka ningesema Mungu hayupo.Nilisimamia uchaguzi.yaani magufuli sijui amejibu nini huko alikoenda.
Kwa uchaguzi wa kawaida asingeshindaMpaka Waziri Mkuu eti alipita bila kupingwa.
Sasa viongozi wanaoingia madarakani kwa hila hivi ndiyo wanakabidhiwa dhamana ya kuliongoza Taifa!Kwa uchaguzi wa kawaida asingeshinda
a Big ShameSasa viongozi wanaoingia madarakani kwa hila hivi ndiyo wanakabidhiwa dhamana ya kuliongoza Taifa!
Mkuu Sijakuelewa Please fafanua baba!!!!Urais wa damu umem-cost life😅😅
Ndiyo maana natamka kwa uhakika wa 100%, marehemu Magufuli alikuwa uzao wa shetani, na katika empire ya shetani, lazima atakuwa alikuwa na cheo kikubwa.Zile vurugu sitasahau. Kuteka wagombe wakiwa vituo vya wakurugenzi wa uchaguzi live live. Unatekwa unalala selo unaambiwa unauza madawa ya kulevya. Kwisha kazi. Kama tumesalimika moto ule basi wembe ni ule ule.
Wafuasi wa ibilisi waliosalia, Mungu amewapa nafasi ya kubadilika na kutubu, lakini wenye kiburi wataendelea kushuhudia ukuu wa Mungu.Mungu kama alivyotukomboa watanzania kwa alivyomwondoa Magufuli kwa mkono wake wa nguvu, kama alivyowakomboa waisrael nchini Misri, ndivyo atakavyokuja kutukomboa watanzania chini ya CCM. Na wao hawatoamini Kama ambavyo hawajaamini mpaka leo kuondolewa kwa jiwe duniani. " Nitawapigania nanyi mtanyamaza kimya".. Kutoka 14:14
Hitler mpaka leo, anakumbukwa.Bado mna kumbukumbu zake safi sana
Kuoza hiyo kawaida hata ww utaoza.....Ndio tunafuraha anaoza huko minyoo inafaidi kula protein ya dikiteta
Sawa kabisa kwa kupaisha uchumi wa mjerumani....Hitler mpaka leo, anakumbukwa.
Wote hao, wasiwalainishe kwa maneno nyororo, ni uzao wa shetani. Na hawataikwepa hasira ya Mungu, labda wafanye toba kuu.Mpaka Waziri Mkuu eti alipita bila kupingwa.
Sijakuelewa. Ni mwendakuzimu, mwendawazimu au mwendazake?True, ndio ilikuwa lengo. Alitaka kutawala milele. Tumempa nafasi akatawale huko kuzimu bila bugudha ya wapinzani.
Tatizo vyama imara vinaweza kususia, ila vyama mamluki vya wale kina mama tanzania na propesa pumba wakashiriki. Halafu ccm watauhadaa ulimwengu uchaguzi ulishirikisha vyama vingi na ulikuwa huru na wa haki.Ingekuwa vyema vyama vya upinzani vikaacha kabisa kujihusisha na masuala ya uchaguzi mpaka hapo katiba mpya na tume huru vitakapopatikana. Vinginevyo hujaandika kipya kwa sababu hizi kelele zilianza tangu 1995 kisa tume huru na sasa katiba mpya havipo.
hahahaa walimwaga damu aana za watu. Si ajabu Magufuli asingemaliza miezi sita kwa mauaji yale.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mpaka Waziri Mkuu eti alipita bila kupingwa.