Uchaguzi 2020 Ukweli ni kwamba CCM tuliiba uchaguzi kishamba

Uchaguzi 2020 Ukweli ni kwamba CCM tuliiba uchaguzi kishamba

Ingekuwa vyema vyama vya upinzani vikaacha kabisa kujihusisha na masuala ya uchaguzi mpaka hapo katiba mpya na tume huru vitakapopatikana. Vinginevyo hujaandika kipya kwa sababu hizi kelele zilianza tangu 1995 kisa tume huru na sasa katiba mpya havipo.
Lakini mwaka Jana ilikuwa too much
 
Yaani Daniel Wa Karatu Hajui Hata Kujieleza Leo Hii Eti Kashinda Ubunge. Jambo Hili Limewatia Aibu Ccm Mpaka Wanatembea
Wanaona Aibu

Eti Tumeshinda Kwa Kishindo Kazi Wizi
NEC,Msajiri Ndiyo Mbeleko Ya Ccm
Acha tu mkuu CCM hatukushida majimbo Aya

Karatu
Arusha mjin
Bukoba mjini
Mbeya mjini
Tunduma
Shinyanga mjini
Talime vijijini
Talime mjini
Bunda
Kawe
Mikumi
Hai
Moshi mjini
Nyamagana
n.k huo Ni mfano tu
 
Binafsi mie ni CCM toka mwaka 2011.

Kilichotokea mwaka Jana ni aibu tupu, na ushenzi uliopitiliza, hivi inawezekanaje CCM tushide majimbo yote kiasi kile, inawezekanaje Magufuli ashinde kwa kiwango kile.

Ni hivi kila mwaka CCM tunaibaga kura Ila kiakili, mfano tunaiba baadhi ya majimbo, Ila kwenye stronghold za upinzani tunawaachia.

Kilichotokea mwaka Jana ni upumbavu wa hali ya juu, niwaambie kuwa CCM wanaitaji Sana upinzani bungeni, kina Magufuli, Bashiru, polepole na Tiss walivyoshtuka kuwa bunge lazima liwe na kambi rasmi ya upinzani bungeni ndo wakaja kununua hao Covid-19, lakini ilikuwa too late, yaani kwa wizi ule walijipaka kinyesi usoni.

Na watu wengi wa CCM hatukupenda ushenzi ule,, na matokeo yanaonekana wapinzani wamekuwa very strong, wanajenga ofisi nchi nzima na wizi wa mwaka Jana umekuja ku-backfire na Sasa vuguvugu la katiba mpya linazidi kuwa kubwa.

Viongizi wa CCM najua mmejifuza, kutumia manguvu, kununua upinzani na kuiba uchaguzi ni hatari si kwa taifa Bali kwa chama pia
Kwa lugha unayotumia moja moja wewe unaonekana siyo upande unao tushawishi upo.
 
Kumbe miaka mingine hamjawahi kuibiwa ila 2020 tu ndo mkaibiwa kihalali ee?

Nyumbu ni nyumbu tu
Mbwa mwizi hata ukimpa pilau ataenda kwenye makombo aliyozoea!
Nzi makazi yake chooni! biriani hajazoea!
Mwizi mbobezi akikosa cha kuiba hata kujiibia ruksa.
Akina halima walipelekwa kuapishwa chini ya mtutu wa bunduki! Hadi leo wanalindwa wasitoke bungeni!
 
Mungu kama alivyotukomboa watanzania kwa alivyomwondoa Magufuli kwa mkono wake wa nguvu, kama alivyowakomboa waisrael nchini Misri, ndivyo atakavyokuja kutukomboa watanzania chini ya CCM. Na wao hawatoamini Kama ambavyo hawajaamini mpaka leo kuondolewa kwa jiwe duniani. " Nitawapigania nanyi mtanyamaza kimya".. Kutoka 14:14
Mnachangia kama Tanzania ina wananchi wa aina mbili. Nchi ikikombolewa chini ya CCM ni sawa ni kakombolewa pia. Sio lazima wawe wengine wakombozi, hakuna nchi mbili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?.
 
Sikuuona huo mtutu wa bunduki. Halafu mkuu uchaguzi hamuukubali mnawasakama akina halima mbona yule mbunge wenu wa pekee jimboni huwa hamumuongelei wala kumtishia kumvua uanachama?
Mbwa mwizi hata ukimpa pilau ataenda kwenye makombo aliyozoea!
Nzi makazi yake chooni! biriani hajazoea!
Mwizi mbobezi akikosa cha kuiba hata kujiibia ruksa.
Akina halima walipelekwa kuapishwa chini ya mtutu wa bunduki! Hadi leo wanalindwa wasitoke bungeni!
 
Binafsi mie ni CCM toka mwaka 2011.

Kilichotokea mwaka Jana ni aibu tupu, na ushenzi uliopitiliza, hivi inawezekanaje CCM tushide majimbo yote kiasi kile, inawezekanaje Magufuli ashinde kwa kiwango kile
Kwani hukuona kazi na uongozi wa magufuli jinsi ulivyowagusa waliyo wengi? Yaani watu wa kawaida. Pia hukuona kampeni ya magufuli na ccm? Mbona wenye akili walijua chadema haipati kitu.

Hivi ile kampeni ya lissu ndio mlitegemea chadema ishinde? Wewe ni ccm tangu 2011 kama ni kweli. Mimi ni ccm tangu tanu. Ni mtu pragmatic sio mfuata mkumbo...nakwambia chadema ishukuru hata kupata kiti kimoja.
 
Binafsi mie ni CCM toka mwaka 2011.

Kilichotokea mwaka Jana ni aibu tupu, na ushenzi uliopitiliza, hivi inawezekanaje CCM tushide majimbo yote kiasi kile, inawezekanaje Magufuli ashinde kwa kiwango kile...
Na mungu alivyokuwa hachelewi kumuhukumu mtu anaedhulumu tumeona hatua alizowachukulia wale waliokuwa mstari wa mbele katika dhulma ile kubwa lao ndio kachukuliwa mzima mzima bashiru chini na pole pole wake ni aibu tupu.
 
Lissu hakua na nguvu ya kuwabeba chadema. kwa kifupi muambie huyo lissu ndo muuaji wa chadema
Pumbavu tu wala hujui kitu. Kwani hukuona kazi na uongozi wa magufuli jinsi ulivyowagusa waliyo wengi? Yaani watu wa kawaida. Pia hukuona kampeni ya magufuli na ccm? Mbona wenye akili walijua chadema haipati kitu. Hivi ile kampeni ya lissu ndio mlitegemea chadema ishinde? Wewe ni ccm tangu 2011 kama ni kweli. Mimi ni ccm tangu tanu. Ni mtu pragmatic sio mfuata mkumbo...nakwambia chadema ishukuru hata kupata kiti kimoja.
 
Hata kura za Rais wajanja wanaiba kati ya 5- 10% tu, lakini Magufuli alivyokuwa mpumbavu akaiba 50%.

Utamdanganya nani kwa Tanzania ya Leo kuwa eti Magufuli kashinda kwa 82%. HAIWEZEKANI
mkuu hata kama unawashwa matako usitangaze hadharani,jadili hoja kama msomi.

magufuli alikubaka sawa,amekufa sasa pumzika,asijekutokea ndotoni akaendelea[emoji38][emoji38]
 
Kazi zote alizo fanya JPM naziheshimu ila alipo anza kupambana na upinznai na kuiba uchaguzi..niliona huyu na mjinga..na mpumbafu kati ya wote bora Muumba aliingilia kati angeipeleka nchi pabaya sana dikteta uchwara yule.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
na alifanya jambo la maana sana,maana tofauti na kutumia matako kufikiri sijui mngetumia nini kingine.
 
Kiukweli ile hali ya mwaka jana October 2020 sijawahi kuona.. Kuna mgombea wa ACT alikuwa anatafutwa na OCD siku moja kabla ya kurejesha fomu apewe kesi ya utakatishaji..

Ilibidi mgombea wa ACT avae baibui wakati wa kurejesha fomu.

Tukiendelea hivi huko mbeleni wagombea itabidi warejeshe fomu na silaha za moto na jadi
 
Munaiba mpaka mnajishitukia wenyewe, tume yenyewe haikuwa tume ya uchaguzi ilikuwa nitume ya kuhakikisha ushindi kwa CCM, tume wenyewe waliingia na mikoba iliyojaa kura zilizopigwa kwa CCM tayari kilichokuwa kinafanyika ni kuzijaza kwenye masanduku ya kura, bodaboda walitumika kusambaza kura fake kwenye vituo vya kupigia kura, Safari hii mpaka wagombea vichaa wanao karibia kuokota makopo jalalani walishinda mladi wawewaligombea kwa chama cha CCM.
 
Wakuu kusema ukweli Kama kijana mdogo tu ambaye nimebahatika kujitambua najua siku zote wanasiasa smart hufanya hujuma za uchaguzi Kwa akili yaani Ile style ya kuuma na kupuliza CCM najua ni chama Dola nimezaliwa nimekikuta na Bibi na babu zangu ndio chama Chao sipingi

Nilijiandisha katika Jimbo la kawe uchaguzi wa 2020 pale msasani Oysterbay wadau siku ambayo niliamua kumfuta jiwe kichwani mwangu na kumwona ni mshamba na mjinga Sana licha ya kua Kuna mambo mazuri yake yalinivutia ndio siku Ile

Wakuu nilishuhudia Kwa macho yangu Pale Oysterbay wale wapuuzi wakifanya hujuma kubwa Sana kiasi kwamba Kama kijana nayejitambua na napenda kuona nchi yangu inakua na usawa nilitoa mbaka chozi nikajiuliza Kama mti mkavu unatendewa Hivi je mti mbichi itakuaje?

Yaani ulikua ni wizi wa kijinga Sana mbaka Kuna mmasai wa maeneo Yale akasema
'Nanukuu'
Japo Mimi Sina ujuzi wowote,sijasoma,sijui siasa kiundani ila Kwa haya niliyoyashuhudia kuona hii nchi hakuna haki na wanavunja wazi wazi hakika huyu jamaa huko Jehanamu atachomwa Kama kuni'

Jiwe nilivyosikia kafa nikajua kabisa yule mmasai laana aliyoitamka Kwa jiwe imetimia maana aliongea Kwa uchungu Sana Sana yule mzee wa watu nilisikitika Sana jinsi hii nchi inavyochezewa na wanasiasa

Toka hapo nikajiapiza nitaanza harakati zangu uchwara za kuwapiga spana humu wapuuzi dizaini ya mtu pori jiwe!
 
Binafsi mie ni CCM toka mwaka 2011.

Kilichotokea mwaka Jana ni aibu tupu, na ushenzi uliopitiliza, hivi inawezekanaje CCM tushide majimbo yote kiasi kile, inawezekanaje Magufuli ashinde kwa kiwango kile.

Ni hivi kila mwaka CCM tunaibaga kura Ila kiakili, mfano tunaiba baadhi ya majimbo, Ila kwenye stronghold za upinzani tunawaachia.

Kilichotokea mwaka Jana ni upumbavu wa hali ya juu, niwaambie kuwa CCM wanaitaji Sana upinzani bungeni, kina Magufuli, Bashiru, polepole na Tiss walivyoshtuka kuwa bunge lazima liwe na kambi rasmi ya upinzani bungeni ndo wakaja kununua hao Covid-19, lakini ilikuwa too late, yaani kwa wizi ule walijipaka kinyesi usoni.

Na watu wengi wa CCM hatukupenda ushenzi ule,, na matokeo yanaonekana wapinzani wamekuwa very strong, wanajenga ofisi nchi nzima na wizi wa mwaka Jana umekuja ku-backfire na Sasa vuguvugu la katiba mpya linazidi kuwa kubwa.

Viongizi wa CCM najua mmejifuza, kutumia manguvu, kununua upinzani na kuiba uchaguzi ni hatari si kwa taifa Bali kwa chama pia
Asante kwa taarifa, bila shaka hukuyaona kwa macho bali ni ya kuambiwa kwa vile kwa jinsbi nomjuavyo, sioni utamwibiaje Mbowe au Sugu au Lema, ni watoto wa mjini wale, wahuni wa kupindukia. Can you imagine uibe kura ya Padri Msigwa? Mlishindwa tu, loud and clear, ni matusi ya tundulissu ndo yaliwaharibia mvuto wenu wote. Ndo maana tundulissu alipowaamuru kina Heche waingie barabarani siku ile mezakuu kwenye press conference, wote walimwangalia kwa jicho la huzuni in disbelief.

Sasa na mie nikuambie ya kuambiwa, sina proof, lakini nina imani na walioniambia. Sharrifhamad na CUF hawajawahi kushinda Zanzibar hata siku moja, siku zote ni kura za wizi. Safari hii kamwinyi kakawa macho and there was no contest. Mwingine ambaye inasemekana hajawahi kushinda ni tundulissu kule Iramba: ana sifa ya kuhongahonga Mawakala wa CCM dongenono. Kwa huyu kuna ushahidi wa kibenki na kilugha, watu maaroof.
 
Hakuna kitu kilinikera mwaka jana kama kuzima internet.. wiki mbili zote nikawa nafanya kazi kwa vpn kwa ajiri ya ushamba wa mtu mmoja.
Na kuna watu kazi zilisimama kabisa maana hata vpn wengine hawakujua wazitumieje.
 
Back
Top Bottom