Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaahaa mnyalukolo umenichekesha Sana nimekumbuka enzi hizo nikiwa dogo tu Njombe mbunge wa enzi hizo mzee Makweta alikua anawashika akili Sana wazee wa huku kila mwaka wanampitisha agombee hakuna anayepinga yaani watu wapo Kama mazuzu tu kila kitu ndio ndio nikaamini ama kweli mtaji wa CCM ni wajinga!Sijawahi kumuona mwanaCCM mwenye akili timamu
jamaa alifanya kitu Cha kishamba Sana Aisee daaa Kama nchi tulipotea njia kumwingiza mtu pori jiwe IkuluHakuna kitu kilinikera mwaka jana kama kuzima internet.. wiki mbili zote nikawa nafanya kazi kwa vpn kwa ajiri ya ushamba wa mtu mmoja.
Na kuna watu kazi zilisimama kabisa maana hata vpn wengine hawakujua wazitumieje.
Kwa nini unitukane bila sababu? Siwezi kukurudisjia tusi kwa kuwa nitakuwa mpumbavu kama wewe.mkuu hata kama unawashwa matako usitangaze hadharani,jadili hoja kama msomi.
magufuli alikubaka sawa,amekufa sasa pumzika,asijekutokea ndotoni akaendelea[emoji38][emoji38]
Kama ni kweli wewe ni CCM na kweli haswa, basi CCM waliiba kura! Lakini, kama wewe unaongopa na wewe siyo CCM kweli, basi CCM hawakuiba kura.Binafsi mie ni CCM toka mwaka 2011.
Kilichotokea mwaka Jana ni aibu tupu, na ushenzi uliopitiliza, hivi inawezekanaje CCM tushide majimbo yote kiasi kile, inawezekanaje Magufuli ashinde kwa kiwango kile.
Ni hivi kila mwaka CCM tunaibaga kura Ila kiakili, mfano tunaiba baadhi ya majimbo, Ila kwenye stronghold za upinzani tunawaachia.
Kilichotokea mwaka Jana ni upumbavu wa hali ya juu, niwaambie kuwa CCM wanaitaji Sana upinzani bungeni, kina Magufuli, Bashiru, polepole na Tiss walivyoshtuka kuwa bunge lazima liwe na kambi rasmi ya upinzani bungeni ndo wakaja kununua hao Covid-19, lakini ilikuwa too late, yaani kwa wizi ule walijipaka kinyesi usoni.
Na watu wengi wa CCM hatukupenda ushenzi ule,, na matokeo yanaonekana wapinzani wamekuwa very strong, wanajenga ofisi nchi nzima na wizi wa mwaka Jana umekuja ku-backfire na Sasa vuguvugu la katiba mpya linazidi kuwa kubwa.
Viongizi wa CCM najua mmejifuza, kutumia manguvu, kununua upinzani na kuiba uchaguzi ni hatari si kwa taifa Bali kwa chama pia
Pole, lakini sioni kwa nini kikukere. Mwisho wa mwezi internet huzimika watu wakizidisha matumizi. Hata simu za TTCL zinakuwaga busy kwa sababu ya heavy traffic, ni jambo la kawaida. Kama una hela kidogo na akili ungetumia kitu wanaita VPN kama alivyotushauri tundulissu. CNN na BBC na Google ziliendelea kama kawaida. Ila nasikia kuna timu ya UKAWA ilikamatwa Mazsons Hotel mjimkongwe wakiwa tayari kurusha congrats za ushindi wa maalim Visiwani na Amsterdam, nadhani walishikiliwa hadi Uchaguzi ukapita wakaachiwa.Hakuna kitu kilinikera mwaka jana kama kuzima internet.. wiki mbili zote nikawa nafanya kazi kwa vpn kwa ajiri ya ushamba wa mtu mmoja.
Na kuna watu kazi zilisimama kabisa maana hata vpn wengine hawakujua wazitumieje.
sasa mlikubalije kuibiwa na mshamba!!!Kwa nini unitukane bila sababu? Siwezi kukurudisjia tusi kwa kuwa nitakuwa mpumbavu kama wewe.
Lete hoja, ni nani na wapi Magufuli anlikuwa anakubalika? Laiti angekuwa anakubalika asingetumia NEC, Polisi na TISS kuiba uchaguzi wote wa mwaka 2020.
Bottom line ni kwamba alikuwa HAKUBALIKI, mshamba na DIKTETA ndiyo maana aliiba na uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019
Damu ya mtu haimwagiki bure
Nashnagaaga hata yale maswali wnaauliza ya nini?Halafu wakiwa bungeni linauzwa swali lahoja imepita sasa apinge Nani?
Vijana walidanganywa na wengine kutishwa wakabebeshwa kura 10, 20 hadi 30 wanatupia kwenye sandukuSisi tulikua mawakala tunajua jinsi walivyoingiza makula fek
Tunazidi kumlaani huko akijo achomeke kisawasawa na washirika wake nao walaanike wao na vizazi vyao. Hakumbukqi mtu hapa. Bali tunamlaani na ameshalaaniwa.Ninachofurahi Magufuli CHADEMA bado anaishi mioyoni mwenu mtu ameshafariki miezi Mitatu na ushee na akina hawa vibaraka bado wanamjadili kila uchao,Nimeamini Hayati Magufuli daima ataishi kwenye mioyo ya Watanzania hasa Wazalendo wa kweli
Aliyeiba ili akae milele ametangulia sasa akakae sawa sawa huko kuzimu😅😅sasa mlikubalije kuibiwa na mshamba!!!
uchaguzi aliiba na mtaibiwa tena 2025,kama mnakubalika jinsi mnavyojidanganya wananchi wataingia barabarani kuwatetea.
vinginevyo endeleeni kulia lia mpaka Yesu arudi.
Hatukuruhusiwa kuingia kwenye vyumba vya kupigia kula mpaka saa5 huku uchaguzi ukiendeleaVijana walidanganywa na wengine kutishwa wakabebeshwa kura 10, 20 hadi 30 wanatupia kwenye sanduku
Magufuli alimwogopa sana Lissu
😅😅😅Yaani Daniel Wa Karatu Hajui Hata Kujieleza Leo Hii Eti Kashinda Ubunge. Jambo Hili Limewatia Aibu Ccm Mpaka Wanatembea
Wanaona Aibu
Eti Tumeshinda Kwa Kishindo Kazi Wizi
NEC,Msajiri Ndiyo Mbeleko Ya Ccm
na bado hamna ubunge[emoji23][emoji23]Aliyeiba ili akae milele ametangulia sasa akakae sawa sawa huko kuzimu[emoji28][emoji28]
mna magufuli marehemu😄😄na bado hamna ubunge[emoji23][emoji23]