Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kuzimu amekataliwa pia👇😁True, ndio ilikuwa lengo. Alitaka kutawala milele. Tumempa nafasi akatawale huko kuzimu bila bugudha ya wapinzani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuzimu amekataliwa pia👇😁True, ndio ilikuwa lengo. Alitaka kutawala milele. Tumempa nafasi akatawale huko kuzimu bila bugudha ya wapinzani.
Anakwenda Wapi Hana BarakoaKuzimu amekataliwa pia👇😁
View attachment 1842049
🤣🤣🤣Anakwenda Wapi Hana Barakoa
Umesema mshamba, hakuna mshamba anaeshaurika, nae Magufuli alikuwa kiongozi wao.Oktoba 2020 ilioneaha Magufuli ni mshamba sana. hata PK akaamua kuachana naye. Hivi huko kwenu hakuna washauri?
Mbinguni hakuna kuvaa barakoa, atakuwa amepokelewa mbinguni. Na sisi tulio na uhakika wa kufika mbinguni tutafurahi kumkuta mpendwa wetu kule!!Anakwenda Wapi Hana Barakoa
Inaitwa akili bila maarifaMimi sikuwa naufagilia upinzani lakini kweli ndo walibwagwa kiasi kile?
Ile itakuwa OverTheft
Kabsa mkuuWenyewe wanasema waliteka mchakato mzima wa uchaguzi.
Mkuu roho zinawasuta saaana hadi ndugai imembidi abake katiba ili angalau kuwepo na wabunge wa upinzani bungeni
Alizidiwa na kina Mseveni wanaiba kwa akiriOktoba 2020 ilioneaha Magufuli ni mshamba sana. hata PK akaamua kuachana naye. Hivi huko kwenu hakuna washauri?
Magufuli alikuwa mshamba SanaHata kura za Rais wajanja wanaiba kati ya 5- 10% tu, lakini Magufuli alivyokuwa mpumbavu akaiba 50%.
Utamdanganya nani kwa Tanzania ya Leo kuwa eti Magufuli kashinda kwa 82%. HAIWEZEKANI
Ukweli Ni kuwa Wana CCM tulimchoka MagufuliDaah!!! Sio Ulikuwa Ushindi wa Sunami kwa Mzalendo wa Africa JPM.
Mungu kama alivyotukomboa watanzania kwa alivyomwondoa Magufuli kwa mkono wake wa nguvu, kama alivyowakomboa waisrael nchini Misri, ndivyo atakavyokuja kutukomboa watanzania chini ya CCM. Na wao hawatoamini Kama ambavyo hawajaamini mpaka leo kuondolewa kwa jiwe duniani. " Nitawapigania nanyi mtanyamaza kimya".. Kutoka 14:14
Yaani kijinga sanaWaliiba uchaguzi kijambazi kabisa!
Aongezewe sasaNia na madhumuni ilikua ni kuhakikisha wale wabunge wa Chadema wenye itikadi kali hawarudi Bungeni. Mbowe, Msigwa, Heche, Lema, Sugu hawa wange kwamisha swala la kumuongezea Jembe kutoka Chato miaka saba ya nyongeza.
Acha tu mkuuNilisimamia uchaguzi.yaani magufuli sijui amejibu nini huko alikoenda.
Kazi ya CCM hii
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]True, ndio ilikuwa lengo. Alitaka kutawala milele. Tumempa nafasi akatawale huko kuzimu bila bugudha ya wapinzani.
DuuuuuNilishuhudia wazi wazi Bara na zanzibar. Magufuli kwa laana ile angevuka mwaka ningesema Mungu hayupo.