Uchaguzi 2020 Ukweli ni kwamba CCM tuliiba uchaguzi kishamba

Uchaguzi 2020 Ukweli ni kwamba CCM tuliiba uchaguzi kishamba

True, ndio ilikuwa lengo. Alitaka kutawala milele. Tumempa nafasi akatawale huko kuzimu bila bugudha ya wapinzani.
Kuzimu amekataliwa pia👇😁
0000.jpg
 
Kama unaipenda nchi yako rukia behewa la katiba mpya sasa ili angalau mlipie udhalimu mlioifanyia nchi hii.
 
Kazi yake haina makosoa. Ni Bwana wa wote - wajane, yatima, nk.
Mungu kama alivyotukomboa watanzania kwa alivyomwondoa Magufuli kwa mkono wake wa nguvu, kama alivyowakomboa waisrael nchini Misri, ndivyo atakavyokuja kutukomboa watanzania chini ya CCM. Na wao hawatoamini Kama ambavyo hawajaamini mpaka leo kuondolewa kwa jiwe duniani. " Nitawapigania nanyi mtanyamaza kimya".. Kutoka 14:14
 
Back
Top Bottom