Uchaguzi 2020 Ukweli ni kwamba CCM tuliiba uchaguzi kishamba

Uchaguzi 2020 Ukweli ni kwamba CCM tuliiba uchaguzi kishamba

Tunazidi kumlaani huko akijo achomeke kisawasawa na washirika wake nao walaanike wao na vizazi vyao. Hakumbukqi mtu hapa. Bali tunamlaani na ameshalaaniwa.
Wewe unajua Siri ya kaburini au nikujifariji TU like imagination?!!
 
Asante kwa taarifa, bila shaka hukuyaona kwa macho bali ni ya kuambiwa kwa vile kwa jinsbi nomjuavyo, sioni utamwibiaje Mbowe au Sugu au Lema, ni watoto wa mjini wale, wahuni wa kupindukia. Can you imagine uibe kura ya Padri Msigwa? Mlishindwa tu, loud and clear, ni matusi ya tundulissu ndo yaliwaharibia mvuto wenu wote. Ndo maana tundulissu alipowaamuru kina Heche waingie barabarani siku ile mezakuu kwenye press conference, wote walimwangalia kwa jicho la huzuni in disbelief.

Sasa na mie nikuambie ya kuambiwa, sina proof, lakini nina imani na walioniambia. Sharrifhamad na CUF hawajawahi kushinda Zanzibar hata siku moja, siku zote ni kura za wizi. Safari hii kamwinyi kakawa macho and there was no contest. Mwingine ambaye inasemekana hajawahi kushinda ni tundulissu kule Iramba: ana sifa ya kuhongahonga Mawakala wa CCM dongenono. Kwa huyu kuna ushahidi wa kibenki na kilugha, watu maaroof.
MUNGU AKUSAMEHE BURE.
 
Binafsi mie ni CCM toka mwaka 2011.

Kilichotokea mwaka Jana ni aibu tupu, na ushenzi uliopitiliza, hivi inawezekanaje CCM tushide majimbo yote kiasi kile, inawezekanaje Magufuli ashinde kwa kiwango kile.

Ni hivi kila mwaka CCM tunaibaga kura Ila kiakili, mfano tunaiba baadhi ya majimbo, Ila kwenye stronghold za upinzani tunawaachia.

Kilichotokea mwaka Jana ni upumbavu wa hali ya juu, niwaambie kuwa CCM wanaitaji Sana upinzani bungeni, kina Magufuli, Bashiru, polepole na Tiss walivyoshtuka kuwa bunge lazima liwe na kambi rasmi ya upinzani bungeni ndo wakaja kununua hao Covid-19, lakini ilikuwa too late, yaani kwa wizi ule walijipaka kinyesi usoni.

Na watu wengi wa CCM hatukupenda ushenzi ule,, na matokeo yanaonekana wapinzani wamekuwa very strong, wanajenga ofisi nchi nzima na wizi wa mwaka Jana umekuja ku-backfire na Sasa vuguvugu la katiba mpya linazidi kuwa kubwa.

Viongizi wa CCM najua mmejifuza, kutumia manguvu, kununua upinzani na kuiba uchaguzi ni hatari si kwa taifa Bali kwa chama pia
kwani wakuu wenyewe wa ccm wanasemaje?
 
Yaani Daniel Wa Karatu Hajui Hata Kujieleza Leo Hii Eti Kashinda Ubunge. Jambo Hili Limewatia Aibu Ccm Mpaka Wanatembea
Wanaona Aibu

Eti Tumeshinda Kwa Kishindo Kazi Wizi
NEC,Msajiri Ndiyo Mbeleko Ya Ccm
Huwezi ukaharibu uchaguzi kwa kiwango kile na ukabaki kuwa hai, never. Mtu ambaye hakupiga hata push-up moja ndiye Rais. Hili ni fundisho kubwa sana.
 
Baada ya uchaguzi wa 2015, sehemu kubwa ya wakurugenzi walioruhusu wapinzani washinde waliondolewa kwenye nafasi zao. 2020 walijifunza, namna pekee ya kubaki ni kuhakikisha mpinzani hashindi kwenye eneo lako.

Tunahitaji Tume huru yenye watendaji wasiotegemea huruma za Rais kubaki kwenye nafasi zao.
 
Pumbavu tu wala hujui kitu. Kwani hukuona kazi na uongozi wa magufuli jinsi ulivyowagusa waliyo wengi? Yaani watu wa kawaida. Pia hukuona kampeni ya magufuli na CCM?...
Mavi ya popo kabsa, Magufuli alikuwa na wasaniii wote, Tiss,pilisi,wakurugenzi,mambango nchi nzima,media zote,convey ya 30 V8, lakini Lissu hana msanii Hana bango, coverage ndogo lakini mziki wake mnaukumbuka
 
Kiukweli ile hali ya mwaka jana October 2020 sijawahi kuona.. Kuna mgombea wa ACT alikuwa anatafutwa na OCD siku moja kabla ya kurejesha fomu apewe kesi ya utakatishaji.. Ilibidi mgombea wa ACT avae baibui wakati wa kurejesha fomu..
Tukiendelea hivi huko mbeleni wagombea itabidi warejeshe fomu na silaha za moto na jadi
Mkuu wengne hawayaoni ayo
 
Kiukweli ile hali ya mwaka jana October 2020 sijawahi kuona.. Kuna mgombea wa ACT alikuwa anatafutwa na OCD siku moja kabla ya kurejesha fomu apewe kesi ya utakatishaji.. Ilibidi mgombea wa ACT avae baibui wakati wa kurejesha fomu..
Tukiendelea hivi huko mbeleni wagombea itabidi warejeshe fomu na silaha za moto na jadi
kwa lile lishetani Lijiwe fomu ungenyanganywa ukishafikisha ofsini hapo hapo na Mashetani wenzie wadogo MaDED wanakana hawajaiona fomu yako. Unakumbuka kile kisanga kilitokea Ubungo na Kibamba??
 
Ni mtu mjinga ndio ataamini ule ulikua uchaguzi..

Na pia ataamini CCM ilishinda kwa kura walizoziita za kishindo..
Ukiona mtu wa hivyo kama ni jirani yako basi ujue unakaa jirani na Jambazi na Muuaji. Anaweza kukutoa roho siku moja. Majitu yalikuwa hayana hata dhamiri yakutambua jema na baya
 
na alifanya jambo la maana sana,maana tofauti na kutumia matako kufikiri sijui mngetumia nini kingine.
Jiwe alitumia shithole kabisa. Sasa yuko kwenye hole ya kuzimu. Na wafuasi wake mtateseka sana na Mungu ameamua kuwaadhibu
 
Back
Top Bottom