Uchaguzi 2020 Ukweli ni kwamba CCM tuliiba uchaguzi kishamba

Uchaguzi 2020 Ukweli ni kwamba CCM tuliiba uchaguzi kishamba

Nia na madhumuni ilikua ni kuhakikisha wale wabunge wa Chadema wenye itikadi kali hawarudi Bungeni. Mbowe, Msigwa, Heche, Lema, Sugu hawa wange kwamisha swala la kumuongezea Jembe kutoka Chato miaka saba ya nyongeza.
True, ndio ilikuwa lengo. Alitaka kutawala milele. Tumempa nafasi akatawale huko kuzimu bila bugudha ya wapinzani.
 
Zile vurugu sitasahau. Kuteka wagombe wakiwa vituo vya wakurugenzi wa uchaguzi live live. Unatekwa unalala selo unaambiwa unauza madawa ya kulevya. Kwisha kazi. Kama tumesalimika moto ule basi wembe ni ule ule.
Ndiyo maana natamka kwa uhakika wa 100%, marehemu Magufuli alikuwa uzao wa shetani, na katika empire ya shetani, lazima atakuwa alikuwa na cheo kikubwa.

Hakuna, hakuna hata mmoja mwenye Roho wa Mungu ambaye angeweza kufanya unyama na ushenzi ule aliokuwa akifanya marehemu.
 
Polepole ndiye aliyekua mfereji wa kupatia teuzi. Huko Bongo Movie ninasikia aliwatafuna kweli kweli kwa ahadi za ubunge wa viti maalum na u DC.
 
Mungu kama alivyotukomboa watanzania kwa alivyomwondoa Magufuli kwa mkono wake wa nguvu, kama alivyowakomboa waisrael nchini Misri, ndivyo atakavyokuja kutukomboa watanzania chini ya CCM. Na wao hawatoamini Kama ambavyo hawajaamini mpaka leo kuondolewa kwa jiwe duniani. " Nitawapigania nanyi mtanyamaza kimya".. Kutoka 14:14
Wafuasi wa ibilisi waliosalia, Mungu amewapa nafasi ya kubadilika na kutubu, lakini wenye kiburi wataendelea kushuhudia ukuu wa Mungu.
 
Ingekuwa vyema vyama vya upinzani vikaacha kabisa kujihusisha na masuala ya uchaguzi mpaka hapo katiba mpya na tume huru vitakapopatikana. Vinginevyo hujaandika kipya kwa sababu hizi kelele zilianza tangu 1995 kisa tume huru na sasa katiba mpya havipo.
 
Sababu walikuwa na mwenyekiti mshamba, ndio maana waliiba kishamba a.k.a kindezi
 
Ingekuwa vyema vyama vya upinzani vikaacha kabisa kujihusisha na masuala ya uchaguzi mpaka hapo katiba mpya na tume huru vitakapopatikana. Vinginevyo hujaandika kipya kwa sababu hizi kelele zilianza tangu 1995 kisa tume huru na sasa katiba mpya havipo.
Tatizo vyama imara vinaweza kususia, ila vyama mamluki vya wale kina mama tanzania na propesa pumba wakashiriki. Halafu ccm watauhadaa ulimwengu uchaguzi ulishirikisha vyama vingi na ulikuwa huru na wa haki.
 
hahahaa walimwaga damu aana za watu. Si ajabu Magufuli asingemaliza miezi sita kwa mauaji yale.
IMG_20210704_153830.jpg
 
Yaani Daniel Wa Karatu Hajui Hata Kujieleza Leo Hii Eti Kashinda Ubunge. Jambo Hili Limewatia Aibu Ccm Mpaka Wanatembea
Wanaona Aibu

Eti Tumeshinda Kwa Kishindo Kazi Wizi
NEC,Msajiri Ndiyo Mbeleko Ya Ccm
 
Back
Top Bottom