Uchaguzi 2020 Ukweli ni kwamba CCM tuliiba uchaguzi kishamba

RC??
 
sasa mlikubalije kuibiwa na mshamba!!!
uchaguzi aliiba na mtaibiwa tena 2025,kama mnakubalika jinsi mnavyojidanganya wananchi wataingia barabarani kuwatetea.

vinginevyo endeleeni kulia lia mpaka Yesu arudi.
Mwizi huyo kachukua adhabu ya Mungu. Saa hizi huko Chato minyoo na sisimizi wanajirusha kwenye mabaki ya Mwendazake. Unaiba uchaguzi halafu hutawali zaidi ya siku 110

Wizi aliofanya yeye ulikuwa wa KIBWEGE hauwezi kurudiwa tena mwaka 2025, tutakuwa na Taasisi Imara
 
Ule ulikua ujinga sio uchaguzi.Alafu ujinga uliofanywa na kusimamiwa na watu walioenda shule tena kwa kutumia kiwango kikubwa cha fedha za wananchi zinazokusanywa kwa shida.Badae tunalalamika nchi ni maskini uku tukiwatupia lawama mabeberu.Kumbe ujinga ni wetu wenyewe.
 
Japo hekima ya Mungu siyo wanadamu, lakini hivi kweli Magufuli kwa matendo yote yale kishetani, aione mbingu? Basi jehanamu itakuwa haipo.
Which means watu wote tutaenda mbinguni
 

Ndio hizi mtadai mkiongozwa na mdude nyagali!!!
 
Jiwe alitumia shithole kabisa. Sasa yuko kwenye hole ya kuzimu. Na wafuasi wake mtateseka sana na Mungu ameamua kuwaadhibu
Mungu kama anaadhibu ccm pekee na wafuasi wa jiwe maalim asingefariki.

Acha unduza manyoya.
 
Wewe mda mwingine uwe unatumia akili tatizo lako unyumbu tu.Hivi kwa akili yako huyo Lisu alikuwa na uwezo wa kumshinda Magufuli? Mda mwingine mpunguze ujuaji kila kitu unajua hata Lisu mwenyewe alijua hatashinda wewe upo hapa unabweka tu hujui kitu.
Kuna ushindi wa namna 3. kushinda,kumshinda na kushindana.hadi hapo wewe ndio unayetakiwa utumie akili alafu ujiulize kilichofanyika kilikua kipi kati ya hivyo 3 maana vyote vina sifa tofauti.
 
Mbona hilo liko too obvious..... Ilikuwa ni kazi ya Mahela na Wakurugenzi kwa kufuata maelekezo toka juu.
 
Ndo maana watu wanaona katiba mpya ni kipaumbele kikubwa ili kuondoa sintofahamu hizi........
 
Mkaiba wapinzani 19 kwa kufoji nyaraka.
Mmewaharibia future kwa jamii
 
Acha uongo, wewe mfuasi wa Tundu Lissu
 
Ninaomba majibu. Mbona watu wengi walilia sana hata wengine kufia kwenye kuuaga mwili wake kama vile alikuwa kipenzi cha wengi. Hawakuyaona haya yaliyokuwa yakitendeka katika utawala wake ya ubaya uliopitiliza.
 
Uchaguzi ulitekwa wote, baada ya matokeo ndio mchakato wa kuwanunua Covid 19 ukalazimishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…