Ukweli ni kwamba hakuna mwanaCHADEMA aliyewahi kupambana na CHADEMA na akashinda, wengi wanaishia kudhalilika tu hata kama watapewa vyeo

Ukweli ni kwamba hakuna mwanaCHADEMA aliyewahi kupambana na CHADEMA na akashinda, wengi wanaishia kudhalilika tu hata kama watapewa vyeo

Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali , Mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.

Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.

Muda utaongea .....
Pole Sana na hali ngumu unayopitia
Ila tu tunakukaribisha CCM
achana na hao watu utazeeka siku so zako
 
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali , Mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.

Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.

Muda utaongea .....
Umeshasahau yooote ulioandika huko nyuma!
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Mimi na familia Yangu tulikuwa royal sana na chadema tulivumilia mlipomleta Edward mamvi mkamdhalilisha MTU aliyepigania chama Dr slaa

Kadiri siku znavyokwenda chadema inapoteza uaminifu kwa wanachama.wake kinachouma wale waloojidai wafia chama akina mdee na wenzie Leo ndio wavurugaji sasa niambie n nan huko chadema ambaye alikuwa anaaminika kama HALIMA ?

Amekuwa mbunge kwa miaka 10 na zaid kama sikosei lakini kukosa ajira ndani ya mwez tu amechanganyikiwa kabisa harlewi lolote

Tujiulize hivi ndio hawa wanaweza kutupigania juuu ya ajira kwa Watoto wetu au wanapigania ajira zao

WATANZANIA TUSHTUKE SASA TUSIWE MISUKULE YA WANASIASA WENZETU WANAPIGANIA MATUMBO YAO NA SI WAPIGA KURA WAO
 
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali , Mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.

Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.

Muda utaongea .....

Pamoja na kukosa wabunge? Kusalitiwa?

Sio mbowe wewe?
 
Mi nadhani bavicha tawi la Jf mngekuwa na akiba ya maneno hadi Mbowe atakapoongea. Kama kwenye 19 mmoja ni mke wa John Mrema na mwingine ni mke wa Salum Mwalim(makam wa rais😀) nadhani kuna kitu kinaendelea ambacho kikijulikana kitawafanya baadae muyaonee aibu matamko yenu hapa.

Mwenzenu Lord denning jana kawakana chadema hata jogoo hajawika
 
Lord denning unaitwa hukuuuu??!
 
Hii ni stage III ya the communist Party of China "The art of political war", kuna stages 10, stage ya III tuu, Tuna chemka.

Stage III inasema :

a) Unatakiwa katika any political contest mshindani wako umpige sana achakae na adhalilike , na umwache hajitambui na hata kuomba msaada ashindwe kwa kuwa hajui anahitaji nini na afanye nini.

( you have to strike hard and once to eliminate you leave him for dead, this must be beyond self examinstion )

b) Hata ikitokea amejikusanya kurudisha shambulizi, mashambulizi yake hayo yawe hafifu mno kiasi hayawezi kuwa na madhara na bila kulenga.

c) Lazima umwachie makovu makubwa (in his body politics and leadership) ambayo akitaka kuyatibu haraka basi makovu hayo yatamuuwa.

Na muda si mrefu stage IV inakuja na tunaweza tusibaki salama.

Stage IV naweka akiba nitaishusha muda muaafaka.

Wanateremsha scripts tuu, wanaroho mbaya sana CCM.
 
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Yule chali wa Kigoma Zitto Kabwe.... mpuuzi sana
 
Kama chama kina jeuri kina jiamini kiwatimue tuu uanachama lakini pamoja na hayo wakidanya hivyo msaada kutoka nje nao watakosa maana kitakuwa hakina wawakilishi bungeni
Wazo hili umepewa na bibi yako au babu yako?
Pumba tupu
 
Katiba ya CHADEMA imeweka wazi kabisa kuhusu adhabu ya wasaliti , maamuzi si yangu ni ya kamati kuu , na wala hayaangalii chochote zaidi ya kuwashughulikia wakosefu bila huruma yoyote , mtu pekee kwenye kundi lile anayeweza kunusurika ni Nusrat .
Wewe utakuwa Mnyika kabisa wewee. Le Parode
 
Angalia hii tweet hapa chini.

IMG-20201125-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom