GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama kawaida yenu ya Kujisifu ( Kujimwambafai ) Kizembe na kupenda Kudanganya Mashabiki wenu Oya Oya ( Washamba ) wengi leo mmedanganya tena kwa kusema Klabu yenu ya Jezi Mbovu na Kituko FC FC inamleta Kocha Pitso Mosimane katika 'Wananchi Day' yenu.
Ukweli ni kwamba CEO Wenu Jezi Mbovu na Kituko FC Senzo Mbatha Mazingisa ndiyo amemualika Swahiba na Home Boy wake mkubwa Kocha Pitso Mosimane kuhudhuria Wananchi Day yenu na hajaalikwa au haletwi na Klabu.
Halafu nyie Jezi Mbovu na Kituko FC kwanini mnapenda sana 'Kujibebisha' kwa Kocha Pitso Mosimane? Sasa kama mnampenda si mumpe tu Ajira ya Ukocha kama mna Msuli wa Kiuchumi ( Kipesa ) wa Kumlipa na muachane na Kocha Nasredine Mohammed Nabi na yule Msaidizi wenu mbana Pua ambaye anajifanya hajui Kiswahili ila akiwa anawatongoza Waandishi wa Habari wa Kike huwa anaongea vyema tu Kiswahili na anakipatia kweli kweli kuliko hata akiwa anafanya Pre and Post Interviews na Media za hapo Dar es Salaam Tanzania.