Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani Aidan na elimu yote ile anakubali kufutwa Kazi kizembeeee?Kwa nini Samia hakutaka kuwa wazi tu kuwahusu hao jamaa na kuamua kutudanganya eti watapewa kazi maalum ilihali sivyo?!
Ukweli humweka mtu huru na kwalo Samia ingetosha alipowateua wengine na kuwaacha kina Lukuvi na wenzake angekaa kimya na kuendelea na hamsini zake.
Hilo la Lukuvi na Kabudi kufanya kazi maalum ni uongo wa mchana kweupe!
Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa kazi ya uwaziri na si vinginevyo.
Haku taka Lukuvi ashtuke agombee uspika. Lukuvi kuwa spika inge mletea shida.Kwa nini Samia hakutaka kuwa wazi tu kuwahusu hao jamaa na kuamua kutudanganya eti watapewa kazi maalum ilihali sivyo?!
Ukweli humweka mtu huru na kwalo Samia ingetosha alipowateua wengine na kuwaacha kina Lukuvi na wenzake angekaa kimya na kuendelea na hamsini zake.
Hilo la Lukuvi na Kabudi kufanya kazi maalum ni uongo wa mchana kweupe!
Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa kazi ya uwaziri na si vinginevyo.
Usisahau mkoa wetu wa pwani una mawaziri watanoKwa nini Samia hakutaka kuwa wazi tu kuwahusu hao jamaa na kuamua kutudanganya eti watapewa kazi maalum ilihali sivyo?!
Ukweli humweka mtu huru na kwalo Samia ingetosha alipowateua wengine na kuwaacha kina Lukuvi na wenzake angekaa kimya na kuendelea na hamsini zake.
Hilo la Lukuvi na Kabudi kufanya kazi maalum ni uongo wa mchana kweupe!
Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa kazi ya uwaziri na si vinginevyo.
Maza kaamua kuwaacha anaoweza kuwamudu!Kwa nini Samia hakutaka kuwa wazi tu kuwahusu hao jamaa na kuamua kutudanganya eti watapewa kazi maalum ilihali sivyo?!
Ukweli humweka mtu huru na kwalo Samia ingetosha alipowateua wengine na kuwaacha kina Lukuvi na wenzake angekaa kimya na kuendelea na hamsini zake.
Hilo la Lukuvi na Kabudi kufanya kazi maalum ni uongo wa mchana kweupe!
Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa kazi ya uwaziri na si vinginevyo.
Ndio wanefutwa so what?Kwa nini Samia hakutaka kuwa wazi tu kuwahusu hao jamaa na kuamua kutudanganya eti watapewa kazi maalum ilihali sivyo?!
Ukweli humweka mtu huru na kwalo Samia ingetosha alipowateua wengine na kuwaacha kina Lukuvi na wenzake angekaa kimya na kuendelea na hamsini zake.
Hilo la Lukuvi na Kabudi kufanya kazi maalum ni uongo wa mchana kweupe!
Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa kazi ya uwaziri na si vinginevyo.
Tatizo la wazenj ni uswazi mwingi! Aliwaweka pembeni ili spika wake apatikane!Kwa nini Samia hakutaka kuwa wazi tu kuwahusu hao jamaa na kuamua kutudanganya eti watapewa kazi maalum ilihali sivyo?!
Ukweli humweka mtu huru na kwalo Samia ingetosha alipowateua wengine na kuwaacha kina Lukuvi na wenzake angekaa kimya na kuendelea na hamsini zake.
Hilo la Lukuvi na Kabudi kufanya kazi maalum ni uongo wa mchana kweupe!
Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa kazi ya uwaziri na si vinginevyo.
Na wewe unajuaje kama wamepewa hizo/hiyo kazi maalumu?Wewe umejuaje kama hawajapewa hiyo kazi maalumu?
Ni kuendelea kula mshahara kwa kusoma gazeti.Kazi maalum hazitangazwi hazarani. Wako kazini as of now
na wao ni wajinga, yaani SSH aliwa zuga eti atawapa 'kazi nyingine' na wao wakamwamini na kuingia cha kike, nyuma ya pazia dhamira ya ya mama ilikuwa ni kuwang'oa madarakani ma- 'pro magufuli', adi sasa wanaweza wasiamini masikio yao lakini ndiyo imetoka hiyoo
Sasa mkuu ulitaka wapigane baada ya kufutwa kwa uwazir wao?? Lazima uheshimu maamuz ya mamlaka kama walivyofanya na c vinginevyo!!na wao ni wajinga, yaani SSH aliwa zuga eti atawapa 'kazi nyingine' na wao wakamwamini na kuingia cha kike, nyuma ya pazia dhamira ya ya mama ilikuwa ni kuwang'oa madarakani ma- 'pro magufuli', adi sasa wanaweza wasiamini masikio yao lakini ndiyo imetoka hiyoo
Unawalaumu kwani waliombwa? Si anamamlka hayo aliyewatoa?na wao ni wajinga, yaani SSH aliwa zuga eti atawapa 'kazi nyingine' na wao wakamwamini na kuingia cha kike, nyuma ya pazia dhamira ya ya mama ilikuwa ni kuwang'oa madarakani ma- 'pro magufuli', adi sasa wanaweza wasiamini masikio yao lakini ndiyo imetoka hiyoo
Walikuwa wapewe kazi maalum pengine ya uchawa wa kikubwa Lakini system ikawakataa kwakuwa hata kwenye katiba hakuna hizo nafasiKwa nini Samia hakutaka kuwa wazi tu kuwahusu hao jamaa na kuamua kutudanganya eti watapewa kazi maalum ilihali sivyo?!
Ukweli humweka mtu huru na kwalo Samia ingetosha alipowateua wengine na kuwaacha kina Lukuvi na wenzake angekaa kimya na kuendelea na hamsini zake.
Hilo la Lukuvi na Kabudi kufanya kazi maalum ni uongo wa mchana kweupe!
Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa kazi ya uwaziri na si vinginevyo.
Umefikia wapi na Umoja Party?Kwa nini Samia hakutaka kuwa wazi tu kuwahusu hao jamaa na kuamua kutudanganya eti watapewa kazi maalum ilihali sivyo?!
Ukweli humweka mtu huru na kwalo Samia ingetosha alipowateua wengine na kuwaacha kina Lukuvi na wenzake angekaa kimya na kuendelea na hamsini zake.
Hilo la Lukuvi na Kabudi kufanya kazi maalum ni uongo wa mchana kweupe!
Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa kazi ya uwaziri na si vinginevyo.
Kama kulikuwa na umuhimu wakutangaza watapewa,kwanini isitangazwe wameshapewa?Think deep bro.